Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANANCHI MKOANI KAGERA KUNUFAIKA NA WIKI YA MSAADA WA SHERIA.


Na Abdullatif Yunus wa Michuzi TV.

Wiki ya msaada wa Sheria imezinduliwa Mkoani Kagera Wilayani Karagwe na Mkuu wa Mkoa Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti katika Viwanja vya Changarawe Wilayani humo, lengo likiwa ni kusogeza huduma hiyo karibu na wananchi hususani makundi maalumu.
Uwepo wa huduma hii itakayotolewa katika Wilaya za Karagwe, Ngara na Biharamlo Mkoani Kagera inafanyika wakati ambapo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa imekuwa ikipokea kwa wingi malalamiko ya Wananchi wanaohitaji msaada wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA UCHUKUZI KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA MAZINGIRA YANAYOFANYIKA KITAIFA MKOANI TANGA

Mhandisi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhandishi Ephraim Minde, akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kupata ufafanuzi kuhusu utunzaji wa Mazingira katika miundombinu ya Uchukuzi, leo asubuhi katika banda la Wizara ya Uchukuzi katika maonyesho ya Wiki ya Mazingira Mkoani Tanga. Maonyesho hayo yanafanyika kitaifa mkoani Tanga.Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira kutoka Wizara ya Uchukuzi, Bi. Tumpe Mwaijande (aliyekaa kwenye kiti), akifafanua kwa mwananchi aliyembelea banda...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI SIMANJIRO KUNUFAIKA NA HOSPITALI MPYA YA WILAYA

MKUU wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Mhandisi Zephania Chaula amezindua hospitali ya Wilaya hiyo hivyo waliokuwa wakisafiri umbali wa zaidi ya kilomita 180 hadi 200 kufuata huduma hiyo jijini Arusha au Mkoani Kilimanjaro wataondokana na adha hiyo. 
Mhandisi Chaula akizungumza jana wakati akizindua hospitali hiyo alimshukuru Rais John Magufuli kwa kuwapatia fedha za ujenzi huo uliogharimu shilingi bilioni 1.8 zilizotumika hadi sasa. 
Alisema tangu wilaya hiyo ianzishwe mwaka 1994...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wananchi kata ya Kisaki kunufaika na nishati ya Jotoardhi

IMG_9904-lb

Mkurugenzi Mhandisi Kato Kabaka wa Kampuni ya Uendelezaji wa Jotoardhi Tanzania.

Na Lilian Lundo – Maelezo

Wananchi kata  ya Kisaki, wilaya ya Morogoro Vijijini kunufaika na nishati ya jotoardhi inayotokana na chanzo cha maji ya moto yaliyoko katika kata hiyo.

Akiongea na kamati ya maendeleo ya kata ya Kisaki leo, Mkurugenzi Mhandisi Kato Kabaka wa Kampuni ya Uendelezaji wa Jotoardhi Tanzania aliiambia kamati hiyo kuwa, Kisaki ni mojawapo ya Kata ambazo zitanufaika na nishati ya umeme...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi kunufaika na viwanja 444 vya NSSF

NSSF-Kiluvya

Frank Mvungi-Maelezo

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) laanza kuuza viwanja takribani 444 vyenye jumla ya mita za mraba 465,161 katika eneo la Kiluvya A Halmashauri ya Kisarawe Mkoa wa Pwani.

Hayo yamesema na Meneja Miradi wa NSSF Bw.Abdallah Mseli  wakati wa ziara ya waandishi wa habari walipotembelea eneo la mradi huo kuona maendeleo ya mradi huo .

 “Eneo hili litakuwa na makazi mapya ya kisasa, litakuwa na huduma muhimu za maji,umeme,barabara na pia kuna maeneo ya kujenga...

 

10 years ago

GPL

WANANCHI WAENDELEA KUNUFAIKA NA SEMINA YA DR.DIDAS JIJINI DAR

Akina mama wakionesha vitenge vya batiki vilivyotengenezwa katika semina hiyo. vitenge vya batiki vikiwa tayari vimetengenezwa.…

 

10 years ago

StarTV

Wananchi Kusini kunufaika na ujenzi wa Reli ya Mbamba Bay.

Na Adam Nindi,

Songea.

 

Wananchi wanaoishi Kusini mwa Tanzania jirani na Nchi za Msumbiji na Malawi wanatarajia kunufaika na Reli itakayojengwa kutoka Mbamba Bay wilayani Nyasa hadi mkoani Mtwara ambayo ujenzi wake utaanza mwezi Juni mwaka huu.

Katika ziara ya siku moja mkoani Ruvuma, Waziri wa Uchukuzi Dokta Harrison Mwakyembe amebainisha kuwa reli hiyo ya Mtwara Kolido itagharimu fedha za kimarekani dola Bilioni tatu mpaka kumalizika kwake.

 

Waziri Mwakyembe amesema ujenzi wa Reli hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI VIJIJINI KUNUFAIKA NA MAWASILIANO YA SIMU KUTOKA TTCL

Kampuni ya Simu Tanzania(TTCL) kuwapatia wananchi waishio vijijini zaidi ya Laki Moja mawasiliano ya Simu ifikapo mwaka 2016. Jumla USD 3.3 (sawa na Bilioni 6.8 Tsh) zitatumika kwa ajili ya kupeleka mawasiliano kwenye kata 41 zenye vijiji 41 kupitia ruzuku kutoka kwa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote(UCSAF) ikiwa ni awamu ya 2B.
Kata hizo ni pamoja; Oljoro –Arusha, Olmotonyi- Arusha, Olorieni – Arusha, Chikola- Dodoma, Mpalanga- Dodoma, Farkwa-Dodoma, Iduo-Dodoma, Masagalu-Tanga,...

 

9 years ago

Michuzi

WAKULIMA ZAIDI YA 12,000 KUNUFAIKA NA MBEGU BORA ZA MAHINDI NA ALIZETI MKOANI

Baadhi ya wakuliwa wa mkoani Shinyanga, wakiwa na maofisa wa Agrics wakati wa mafunzo na uingiaji mkataba wa makubaliano yliofanyika Kijiji cha Ishololo, Wilaya ya Shinyanga Vijijini. Warsha hiyo iliongozwa na Lazaro Japhet (aliyesimama wa tatu kushoto mstari wa mbele. Zaidi ya wakulima 12,000 wanataraji kufaidika na mbegu za mahindi na alizeti kutoka Kampuni ya Agrics. Mahindi yaliyooteshwa kisayansi na kampuni ya Agrics kwa lengo la kuthibitisha ubora wa mbegu zinazotolewa kwa wakulima wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani