WANANCHI VIJIJINI KUNUFAIKA NA MAWASILIANO YA SIMU KUTOKA TTCL

Kampuni ya Simu Tanzania(TTCL) kuwapatia wananchi waishio vijijini zaidi ya Laki Moja mawasiliano ya Simu ifikapo mwaka 2016. Jumla USD 3.3 (sawa na Bilioni 6.8 Tsh) zitatumika kwa ajili ya kupeleka mawasiliano kwenye kata 41 zenye vijiji 41 kupitia ruzuku kutoka kwa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote(UCSAF) ikiwa ni awamu ya 2B.
Kata hizo ni pamoja; Oljoro –Arusha, Olmotonyi- Arusha, Olorieni – Arusha, Chikola- Dodoma, Mpalanga- Dodoma, Farkwa-Dodoma, Iduo-Dodoma, Masagalu-Tanga,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA TTCL YAZINDUA MNARA WA MAWASILIANO, WAISHIO VIJIJINI KUNUFAIKA ZAIDI
11 years ago
Dewji Blog02 Jul
Vijiji vya Mgandu, Manyoni kunufaika na Mnara wa mawasiliano wa TTCL
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa.(Picha na Maktaba).
Na Nathaniel Limu, Itigi.
Shirika la TTCL,linatarajia kutumia zaidi ya shilingi 503 milioni kugharamia ujenzi wa mnara wa mawasiliano katika kata ya Mgandu jimbo la Manyoni magharibi kabla ya oktoba 31 mwaka huu.
Kwa mujibu wa barua ya Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa yenye kumbukumbu no.WMST/GL/DOM.vol.3/01 ya mei 16 mwaka huu,mnara huo utanufaisha vijiji vya...
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
TTCL yaahidi ufanisi mawasiliano vijijini
KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imeahidi kutekeleza kwa ufanisi na kwa wakati zabuni iliyoshinda ya mradi wa kutoa huduma za mawasiliano vijijini. Ahadi hiyo ilitolewa na Ofisa Mkuu wa Masoko...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ashuhudia makampuni ya simu yakiweka saini mkataba wa makabaliano ya usambazaji huduma za mawasiliano vijijini
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Michuzi.jpg)
TTCL yaahidi makubwa mradi wa mawasiliano vijijini
10 years ago
MichuziTTCL yazindua mnara wa mawasiliano ya simu mkoani Tanga
Akihutubia mamia ya wananchi waliohudhuria tukio hilo, Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Selemani Liwowa alisema kwa kupata mawasiliano itasaidia wananchi kuwasiliana pamoja na kutafuta fursa mbalimbali kwa ajili maendeleo. Aidha, Mkuu wa Wilaya alisisitiza wananchi kutumia mawasiliano ya simu kwa ajili ya shughuli za...
10 years ago
GPLMBARAWA ASHUHUDIA MKATABA WA KUPELEKA HUDUMA ZA MAWASILIANO YA SIMU VIJIJINI
11 years ago
Michuzi
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL) NA OFISI ZA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO


