Adebayor aendelea kutokomeza vilabu
Emmanuel Adebayor aliifungia Tottenham bao na kuimarisha matumaini yao ya kucheza ligi ya klabu bingwa barani Ulaya
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili13 Feb
Adebayor aendelea kung'aa Tottenham
Tottenham imeilaza Newcastle magoli 4-0 na kuimarisha nafasi yake ya kucheza ligi ya ulaya mwaka ujao
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tZHhhMhD8MBTZAla8n8zHIc*ttVdGy5N4E74bE4EUbHJLeNN1plWrLxkD8w9yPoaeK8B-wIN-EPcYHDNy1mxM0YNQuQDs1Ip/ADEBAYOR.jpg?width=550)
SAKATA LA ADEBAYOR NA FAMILIA YAKE: ADEBAYOR KUMWAGA 'UBUYU' MWINGINE WA MDOGO WAKE ROTIMI
Adebayor ametupia picha hii Facebook na kuahidi kutoa sehemu ya 2 ya stori ya kaka yake Rotimi. SAKATA la straika wa Klabu ya Tottenham ya nchini Uingereza, Emmanuel Adebayor na familia yake limechukua sura mpya ambapo staa huyo ameahidi kutoa sehemu ya pili ya stori 'ubuyu' mwingine kuhusu kaka yake mwingine aitwaye Rotimi Adebayor muda muafaka ukifika. Adebayor ameahidi kutoa ubuyu huo ikiwa ni siku chache tangu aachie waraka...
10 years ago
BBCSwahili18 May
UEFA:Matumizi ya vilabu kuangaziwa
Shirikisho la soka barani Ulaya linajiandaa kuondoa sheria ya mwaka 2011 itakayozuia vilabu kufanya matumizi ya ziada.
11 years ago
BBCSwahili19 Feb
Kanisa na Vilabu vyakomeshwa DRC
Serikali ya mkoa wa Kinshasa imechukua hatua ya kupiga marufuku kelele za muziki, kutoka kwa watu wanaokesha usiku kucha kanisani, na pia wale wanaokesha kwenye vilabu vya burudani.
10 years ago
BBCSwahili21 Jun
Vilabu ruksa kusajili 7 wa kigeni
vilabu kuruhusiwa kusajili wachezaji 7 wa kigeni kuanzia msimu ujao ujao wa ligi.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-9b9xdIU05rY/Vm8e8sIjH4I/AAAAAAAIMbI/4pR19PKpEnI/s72-c/agm.png)
TFF YAVITAKA VILABU KUHESHIMU TARATIBU
![](http://2.bp.blogspot.com/-9b9xdIU05rY/Vm8e8sIjH4I/AAAAAAAIMbI/4pR19PKpEnI/s400/agm.png)
TFF inachukua fursa hii kuwakumbusha viongozi wote wa vilabu kuhusu kalenda ya mwaka ya usajili ambayo ina vipindi viwili,
(i) Dirisha Kubwa la Usajili (Juni 15 – Agosti 20)
(ii) Dirisha Dogo la Usajili (Novemba 15 –...
10 years ago
BBCSwahili16 Feb
Michuano ya Vilabu Afrika yapamba moto
Mashindano ya Kombe la Shirikisho na Klabu Bingwa barani Afrika ilianza kutimua vumbi mwishoni mwa wiki iliyopita.
11 years ago
BBCSwahili16 Jul
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
Vilabu vya Manchester vyawika EPL
Sergio Aguero alifunga bao lake la kwanza tangu mwezi Disemba na kuisadia Manchester City kuimarisha harakati zake za ligi ya Epl
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania