Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Julio awaza kusajili kimataifa

Huku ikisisitiza kutokubaliana na uamuzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wa kuipa pointi tatu Stand United, klabu ya Mwadui FC imesema itafanya usajili wa nguvu wa wachezaji kutoka ndani na nje ya nchi kama uliofanywa na Azam FC.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Shija Awaza ‘Safari ya Zanzibar’

Baada ya Love&Pain  muongozaji na muongozaji wa filamu, Deogratius Shija anatarajia kutoa filamu mpya ya ‘Safari ya Zanzibar’

Akizungumza na gazeti la Nipashe, Shija alisema Safari ya Zanzibar’ inasubiri kidogo kutolewa ili kuipanafasi ya mauzo Love&pain.

“Filamu yangu mpya  natarajia kutoa siku yoyote  kwa sababu  nimeipa nafasi  filamu ya  kwanza ambayo  nimeitoa mwezi uliopita ,”alisema Shija.

“Na hii naamini itauzika vizuri kutokana na kile nilichokifanya katika filamu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga sasa awaza nafasi ya tatu

BAADA ya Simba kukosa mwelekeo katika Ligi Kuu Tanzania Bara, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Zdravko Logarusic, ametamba kuhakikisha wanashinda mechi zilizosalia ili walau washike nafasi tatu za juu. Simba...

 

9 years ago

Habarileo

Simba kusajili watano

KOCHA Mkuu wa Simba Dylan Kerr, amesema amependekeza kwa uongozi kusajili wachezaji watano wapya kwenye dirisha dogo la usajili kwa ajili ya kuimarisha kikosi chake ili kiweze kuhimili ushindani wa kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

10 years ago

BBCSwahili

Azam kusajili wapya

Klabu ya Azam ina mipango ya kusajili wachezaji kutoka nchi za Zambia, Ivory Coast na Rwanda.

 

11 years ago

Mwananchi

Namna ya kusajili biashara yoyote

Imekuwa ni kawaida kwa watu hapa nchini kufanya biashara bila kufuata taratibu na kanuni za kisheria.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wateja wahimizwa kusajili laini

KAMPUNI ya simu za mikononi ya Zantel imezindua zoezi la kuhamasisha wateja kusajili laini zao. Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Pratap Ghose, alisema juzi kuwa kampeni hiyo inalenga kutambua wateja wote...

 

10 years ago

BBCSwahili

Vilabu ruksa kusajili 7 wa kigeni

vilabu kuruhusiwa kusajili wachezaji 7 wa kigeni kuanzia msimu ujao ujao wa ligi.

 

11 years ago

Mwananchi

Barcelona yapigwa ‘stop’ kusajili

Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa) limeizuia klabu ya soka ya Barcelona kusajili wachezaji wapya kwa miezi 12.

 

9 years ago

Mtanzania

Yanga yahofia kusajili ‘makapi’

yanga-jjjj1NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

UONGOZI wa klabu ya soka ya Yanga umesema hauna mpango wa kufanya usajili wa dirisha dogo kwa kuhofia kukosa wachezaji wenye sifa wanazohitaji, jambo ambalo limeungwa mkono na kocha mkuu wa timu hiyo, Hans van der Pluijm.

Kabla ya kuanza kwa zoezi la usajili, kocha huyo raia wa Uholanzi alikuwa akisisitiza kuwa hatasajili mchezaji yeyote kutokana na kuridhishwa na viwango vya nyota waliopo kwenye kikosi hicho ambacho kinashika nafasi ya pili kwenye msimamo wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani