Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBRAZIL EMERSON KUZIBA PENGO LILILOACHWA NA JAJA ALIYEKATISHA MKATABA NA YANGA

Geilson Santana Santos ‘Jaja’. KLABU ya Yanga inatarajia kumsajili kiungo mkabaji mpya kutoka Brazil Emerson De Oliveira Neves Rouqe kuziba nafasi hiyo iliyoachwa na mshambuliaji Geilson Santana Santos ‘Jaja’ aliyekatisha mkataba wake na klabu hiyo kutokana na kukabiliwa na matatizo ya kifamilia. Jaja akishangilia bao lake alilofunga kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya Yanga na Thika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

JAJA, COUTINHO, EMERSON WADHIHIRISHA SI KILA MBRAZIL ANAJUA KUCHEZA MPIRA…KIIZA BADO ‘KIDUME’

Na Shaffih Dauda, Dar es salaam.
YANGA SC wamekuwa wateja wa Simba katika mechi mbili za ‘Nani Mtani Jembe’.Desemba 21 mwaka jana walifungwa mabao 3-1 na Mnyama Simba na jana walitandikwa mabao 2-0.Katika mechi ya jana, wachezaji wa kigeni wa Yanga walikuwa Emerson Oliveira, Andrey Coutinho, Kpah Sherman, Mbuyu Twite na Haruna Niyonzima.Hamis Friday Kiiza tayari walishamtoa, lakini cha kuwashauri Yanga ni kufanya kila wawezalo kumbakisha Mganda huyu kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa...

 

10 years ago

Michuzi

Kiungo Mbrazil Emerson De Olivera amwaga wino Yanga



Kiungo Mbrazil Emerson De Olivera Neves Roque pichani kushoto akisaini mkataba leo jijini Dar,wa kutumikia Klabu ya Young Africans,Kulia ni Afisa Habari wa klabu hiyo Baraka Kizuguto.

Dar es Salaam. Wakati Yanga ikimpa mkataba wa mwaka mmoja kiungo Emerson De Oliveira, watani zao Simba wamemtema rasmi mshambuliaji Paul Kiongera.
Emerson amesaini mkataba huo baada ya benchi la ufundi chini ya Mbrazil Marcio Maximo kuridhika na kiwango chake na sasa ataitumikia timu hiyo ya Jangwani.
Emerson...

 

10 years ago

Mwananchi

Emerson apewa mkataba Yanga

Klabu ya Yanga imempa mkataba wa mwaka mmoja kiungo mkabaji, raia wa Brazil, Emerson de Oliveira Neves Roque baada ya kufuzu majaribio.

 

10 years ago

BBCSwahili

Simba kusajili wachezaji kuziba pengo

Katika kile kinachoonekana ni kuweka mikakati ili kuchukua ubingwa msimu ujao, wekundu wa Msimbazi.

 

9 years ago

Mwananchi

Wahitimu ITA kuziba pengo TRA

Kati ya wahitimu 146 wa kozi za kodi za forodha na za ndani kutoka Chuo cha Usimamizi wa Kodi nchini (ITA), wataziba nafasi ya watumishi 36 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) waliosimamishwa kazi na Rais John Magufuli.

 

5 years ago

Bongo5

Mchungaji Lwakatare azungumzia kuziba pengo la Sophia Simba

Mchungaji wa kanisa la Assemblies Of God maarufu kama ‘Mlima wa moto’ Dk Getrude Lakwatare, lililopo Mikocheni B, amemshukuru Rais Dk. John Magufuli kwa kumkumbuka na kumteua katika nafasi ya ubunge wa Viti Maalumu.

Mama Lwakatare alitoa shukrani hizo wakati wa Ibada ya Pasaka katika kanisa hilo.

“Tunasherehekea kumbukumbu ya kufufuka kwa mwokozi wetu Yesu ambaye alitufia pale msalabani. Pasaka ya mwaka huu ni yangu, Mungu ameniona. “Nina furaha ya mwili na roho kwa sababu Yesu amefufuka...

 

11 years ago

GPL

Mbrazil mpya wa Yanga...

Hans Mloli na Sweetbert Lukonge
YANGA noma! Ndivyo unavyoweza kusema kwa sasa baada ya jana kutimiza idadi ya Wabrazili wanne watakaoitumikia klabu hiyo msimu ujao kwa kumleta nchini mshambuliaji mpya kutoka nchini humo, Genilson Santana Santos ‘Jaja’. Genilson Santana Santos ‘Jaja’ alipowasili nchini. Jaja ambaye ametua nchini jana majira ya saa 8.30 mchana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbrazil mwingine atua Yanga

MSHAMBULIAJI wa kimataifa kutoka nchini Brazil, Geilson Santos Santana ‘Jaja’ amewasili jijini Dar es Salaam jana mchana akitokea Sao Paulo, Brazil, tayari kwa kuanza kazi ya kuitumikia klabu ya Yanga....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkataba wa Jaja wasukwa Brazil

KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Marcio Maximo, amesema mchezaji mpya, Geilson Santos ‘Jaja’ anachelewa kusaini mkataba na timu hiyo kutokana na mkataba wake kuandaliwa nchini Brazil, pia akiendelea kufuatilia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani