Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbrazil mpya wa Yanga...

Hans Mloli na Sweetbert Lukonge
YANGA noma! Ndivyo unavyoweza kusema kwa sasa baada ya jana kutimiza idadi ya Wabrazili wanne watakaoitumikia klabu hiyo msimu ujao kwa kumleta nchini mshambuliaji mpya kutoka nchini humo, Genilson Santana Santos ‘Jaja’. Genilson Santana Santos ‘Jaja’ alipowasili nchini. Jaja ambaye ametua nchini jana majira ya saa 8.30 mchana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mbrazil mwingine atua Yanga

MSHAMBULIAJI wa kimataifa kutoka nchini Brazil, Geilson Santos Santana ‘Jaja’ amewasili jijini Dar es Salaam jana mchana akitokea Sao Paulo, Brazil, tayari kwa kuanza kazi ya kuitumikia klabu ya Yanga....

 

11 years ago

GPL

MBRAZIL MWINGINE WA YANGA AANZA MAZOEZI YA NGUVU

Wabrazil, Andrey Coutinho na Jaja (nyuma yake) wakijifua na wachezaji wenzao wa Yanga.
Jaja akiwa mbele ya wachezaji wenzake.
Ilifikia wakati wa kuzunguka uwanja.…

 

10 years ago

Michuzi

Kiungo Mbrazil Emerson De Olivera amwaga wino Yanga



Kiungo Mbrazil Emerson De Olivera Neves Roque pichani kushoto akisaini mkataba leo jijini Dar,wa kutumikia Klabu ya Young Africans,Kulia ni Afisa Habari wa klabu hiyo Baraka Kizuguto.

Dar es Salaam. Wakati Yanga ikimpa mkataba wa mwaka mmoja kiungo Emerson De Oliveira, watani zao Simba wamemtema rasmi mshambuliaji Paul Kiongera.
Emerson amesaini mkataba huo baada ya benchi la ufundi chini ya Mbrazil Marcio Maximo kuridhika na kiwango chake na sasa ataitumikia timu hiyo ya Jangwani.
Emerson...

 

10 years ago

GPL

MBRAZIL EMERSON KUZIBA PENGO LILILOACHWA NA JAJA ALIYEKATISHA MKATABA NA YANGA

Geilson Santana Santos ‘Jaja’. KLABU ya Yanga inatarajia kumsajili kiungo mkabaji mpya kutoka Brazil Emerson De Oliveira Neves Rouqe kuziba nafasi hiyo iliyoachwa na mshambuliaji Geilson Santana Santos ‘Jaja’ aliyekatisha mkataba wake na klabu hiyo kutokana na kukabiliwa na matatizo ya kifamilia. Jaja akishangilia bao lake alilofunga kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya Yanga na Thika...

 

11 years ago

GPL

Straika Mbrazil, Maximo watua Dar

Kocha Mkuu wa Yanga SC, Marcio Maximo amesani mkataba wa miaka miwili na anatua kesho. Na Walusanga Ndaki
UNAWEZA kusema ni kufuru, kwani tayari Yanga imefanikiwa kumsainisha Marcio Maximo mkataba wa miaka miwili na anatua nchi kesho saa saba 7:55 mchana tayari kuanza kazi. Maana yake kuanzia leo, hesabu saa 24 wakati Wabrazil hao watatu watakapotua Yanga ambayo inaweka rekodi mpya ya kuajiri Wabrazil watatu kwa wakati mmoja....

 

10 years ago

Vijimambo

JAJA, COUTINHO, EMERSON WADHIHIRISHA SI KILA MBRAZIL ANAJUA KUCHEZA MPIRA…KIIZA BADO ‘KIDUME’

Na Shaffih Dauda, Dar es salaam.
YANGA SC wamekuwa wateja wa Simba katika mechi mbili za ‘Nani Mtani Jembe’.Desemba 21 mwaka jana walifungwa mabao 3-1 na Mnyama Simba na jana walitandikwa mabao 2-0.Katika mechi ya jana, wachezaji wa kigeni wa Yanga walikuwa Emerson Oliveira, Andrey Coutinho, Kpah Sherman, Mbuyu Twite na Haruna Niyonzima.Hamis Friday Kiiza tayari walishamtoa, lakini cha kuwashauri Yanga ni kufanya kila wawezalo kumbakisha Mganda huyu kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yatangaza kamati mpya

 Uongozi wa Yanga umeteua kwa mara nyingine tena kamati mpya za kisheria kwa ajili ya kushughulikia masuala mbalimbali ndani ya klabu hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Silaha mpya zatua Yanga

Yanga imezidi kujiimarisha kwa msimu ujao wa ligi na mashindano ya kimataifa baada ya kuwasajili wachezaji wapya watatu.

 

11 years ago

GPL

Mbrazili mpya atua Yanga SC

Mshambuliaji mpya wa Yanga,Genilson Santana Santos ‘Jaja’ Na Mwandishi Wetu
SASA Yanga imekamilika, kwa kuwa yule mshambuliaji raia wa Brazil, anatua nchini kati ya kesho au keshokutwa.Genilson Santana Santos ‘Jaja’, anatarajia kutua nchini akiongozana na wakala wake ili kumalizana na wakongwe hao wa soka nchini. Jaja ambaye anasifika kwa mashuti, pasi zinazozaa mabao, amefunga zaidi ya mabao 10 akiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani