Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wadau wakosoa kambi ya Stars

Uamuzi wa Shirikisho la Soka Tanzania  (TFF) kuitisha kambi ya timu ya Taifa wakati klabu zikiwa kwenye maandalizi ya msimu mpya wa ligi, umepokewa kwa hisia tofauti na wadau wa mchezo huo, baadhi wakizilaumu Yanga na Azam kwa kuzuia wachezaji wao na wengine wakiliponda shirikisho hilo kwa kutokuwa makini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wadau wakosoa Malengo ya Milenia

Baadhi ya wadau wa maendeleo wamekosoa ripoti ya Malengo ya Milenia iliyotolewa na mwakilishi wa Wizara ya Fedha katika mjadala ulioandaliwa na Taasisi ya Policy Forum jijini Dar es Salaam jana.

 

10 years ago

Mwananchi

Wadau wa elimu wakosoa ufaulu la saba

>Wadau wa elimu nchini wamekosoa ufaulu wa matokeo ya darasa la saba yaliyotangazwa juzi kwa kusema siyo ishara ya kukua kwa sekta hiyo, ilhali kuna tatizo la kisera.

 

9 years ago

Michuzi

STARS YAMALIZA KAMBI UTURUKI

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro chini ya Kocha wake Mkuu Charles Boniface Mkwasa imefanya mazoezi yake ya mwisho leo asubuhi katika viwanja vya hoteli ya Green Park Kartepe – Kocaeli nchini Uturuki.Taifa Stars ambayo imeweka kambi nchini Uturuki kwa takribani wiki moja, inajiwinda na mchezo wake dhidi ya Nigeria siku ya Jumamosi Septemba 5, 2015 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuwania kufuzu kwa fainali za Mataifa Afrika mwaka...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Stars kuweka kambi Uturuki

TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuaondoka nchini Agosti 23 kwenda Uturuki kwa ajili ya kambi ya wiki mbili kujiandaa na mchezo wao wa kufuzu kucheza fainali za mataifa ya Afrika mwaka (Afcon) 2017 nchini Gabon dhidi ya Nigeria.

Stars inatarajia kucheza mchezo wao wa pili wa kufuzu Afcon dhidi ya Nigeria Septemba 5 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Awali Stars ilicheza na Misri na kufungwa mabao 3-1 ugenini wakiwa chini ya kocha Mholanzi Mart Nooij ambae...

 

9 years ago

BBCSwahili

Taifa stars kupiga kambi Uturuki

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itaondoka nchini siku ya jumapili kuelekea Istambul nchini Uturuki

 

10 years ago

Mwananchi

Kambi ya Taifa Stars yaiharibia Azam

Kocha msaidizi wa Azam FC, Kally Ongalla amesema kambi ya Taifa Stars imeharibu programu yao kuelekea mechi ya Ngao ya Hisani dhidi ya Yanga, lakini anawaamini wachezaji wake kuwa watafanya maajabu siku hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Kambi Twiga Stars Zanzibar yayeyuka

KAMBI ya timu ya soka ya Taifa ya wanawake Twiga Stars iliyokuwa iwekwe Zanzibar tangu jana, imeyeyuka.

 

9 years ago

Mwananchi

Taifa Stars kuweka kambi Afrika Kusini kujiandaa na Algeria

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itaweka kambi Afrika Kusini kujiandaa na mchezo wa raundi ya pili wa kutafuta tiketi ya kufuzu kushiriki Kombe la Dunia 2018 dhidi ya Algeria, mwezi ujao.

 

10 years ago

Mwananchi

Wadau: Stars imepoteza mvuto

Wachambuzi wa soka wamesema timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ haina kiwango cha kuvutia uwanjani na imepoteza mvuto.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani