Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Julio atambia washambuliaji

KOCHA wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ametamba washambuliaji wake wakiongozwa na Jeryson Tegete watatisha hivyo kila timu ijiandae kupata kipigo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Pluijm atambia ushambuliaji

YANGJUDITH PETER NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR

KOCHA Mkuu wa Yanga Mholanzi, Hans van Der Pluijm, amedai kuwa moto wa mshambuliaji wake, Amissi Tambwe anayeshirikiana vema na mawinga, Mrisho Ngassa na Simon Msuva utamwezesha kuiua FC Platinum ya Zimbabwe ugenini.

Yanga itachuana na Platinum keshokutwa kwenye mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika, utakaofanyika Uwanja wa Mandava, uliopo jijini Zvishavane.

Kikosi cha Yanga kinaondoka nchini kesho kikiwa kifua mbele kutokana na ushindi wa...

 

9 years ago

Habarileo

Mkwasa atambia kambi Uturuki

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars Charles Mkwasa amesema anaamini kambi ya Uturuki itawapika wachezaji wake vya kutosha kuikabili Nigeria. Stars ipo Uturuki tangu mwishoni mwa wiki iliyopita na itarejea nchini siku chache kabla ya kuivaa Nigeria jijini Dar es Salaam Septemba 5 mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Nassari atambia mafanikio yake

Joshua NassariMBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema) amesema atapita tena katika jimbo hilo mchana kweupe, kwani amefanya mambo mengi, ikiwemo kuhakikisha usafi wa Soko la Tengeru, hivyo wafanyabiashara kufanya biashara sehemu safi na salama.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bocco atambia mafanikio Azam FC

NAHODHA wa Azam FC, John Rafael Bocco ‘Adebayor’ametambia rekodi na mafanikio ya kikosi chake, huku akiitaja namba 19 kuwa ni namba ya bahati katika maisha yake ya soka Azam Complex,...

 

11 years ago

Mwananchi

Washambuliaji hakuna

Tatizo la ushambuliaji limeendelea kuwa sugu nchini jambo linalowalazimisha makocha na viongozi wa klabu kubwa Yanga, Simba na Azam kuhangaika huku na kule kufanya usajili wachezaji wa katika nafasi hizo.

 

9 years ago

Habarileo

Shein atambia tuzo ya Sheria ya Watoto

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema ushindi wa tuzo ya dhahabu iliyopewa Sheria ya Watoto ya Zanzibar ni kielelezo cha matokeo ya kazi nzuri iliyofanywa na wengi kwa maslahi mapana ya watu wa Zanzibar.

 

10 years ago

GPL

AISHA BUI ATAMBIA KAZI YAKE

Stori: Mwandishi Wetu
WAKATI filamu yake ya Mshale wa Kifo ikiingia mtaani, Aisha Fathi ‘Aisha Bui’ amesema kazi yake hiyo itadhihirisha uwezo alionao kwani hata wazo la kuandika simulizi hiyo ni lake mwenyewe. Msanii wa Muvi Bongo, ‘Aisha Bui’ akipozi. “Najua kila mtu ana uwezo wake, lakini unaweza kushindwa kufanya hivyo kwa sababu ya kukosa nafasi, ndiyo maana mimi nimeamua kutumia kampuni...

 

9 years ago

GPL

JACK CHUZ ATAMBIA NDOA YAKE

Imelda Mtema STAA wa filamu za Kibongo Jacqueline Pentzel maarufu kama Jack wa Chuz ametamba kuwa ndoa yake na Gardner Dibibi ipo imara licha ya kukumbwa na misukosuko ya kuachana na kurudiana. Akiteta na gazeti hili hivi karibuni, msanii huyo alisema kuwa hakwenda kucheza kwenye ndoa kama wasanii wenzake wanavyodhani, kwani licha ya kumuombea mabaya, amemudu kuwa imara kwa kumaliza matatizo yao kila yanapotokea na maisha...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa aionya NEC, Magufuli atambia barabara

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesifu kazi ya ujenzi wa barabara katika miaka 10 iliyopita, huku mgombea wa Chadema, Edward Lowassa akiituhumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa imempotosha Rais Jakaya Kikwete.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani