Washambuliaji hakuna
Tatizo la ushambuliaji limeendelea kuwa sugu nchini jambo linalowalazimisha makocha na viongozi wa klabu kubwa Yanga, Simba na Azam kuhangaika huku na kule kufanya usajili wachezaji wa katika nafasi hizo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo04 Sep
Julio atambia washambuliaji
KOCHA wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ametamba washambuliaji wake wakiongozwa na Jeryson Tegete watatisha hivyo kila timu ijiandae kupata kipigo.
11 years ago
BBCSwahili16 Jun
Washambuliaji waleta maafa Lamu
10 years ago
Habarileo14 Aug
Washambuliaji wamuumiza kichwa Hall
KOCHA Mkuu wa timu ya Azam FC Stewart Hall amesema kuwa atalifanyia kazi suala la umaliziaji wa washambuliaji wake ambalo wamelionesha katika mechi ya kirafiki kati yake na KMKM juzi.
11 years ago
BBCSwahili05 Jun
'Wahubiri' wageuka washambuliaji Nigeria
11 years ago
BBCSwahili24 Mar
Washambuliaji kanisa Kenya wasakwa
10 years ago
Habarileo02 Aug
Kerr akerwa na washambuliaji Simba
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dlyan Kerr amesikitishwa na washambuliaji wake ambao walikosa nafasi nyingi za wazi katika mchezo wao wa juzi wa kirafiki dhidi ya Polisi, ambapo Simba ilishinda mabao 2-0.
11 years ago
BBCSwahili06 Jul
Washambuliaji wauwawa magharibi Uganda
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Kerr awatwisha mzigo washambuliaji Simba
9 years ago
Habarileo19 Oct
Pluijm ashika ‘uchawi’ washambuliaji Yanga
SIKU moja baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, kocha wa timu ya soka ya Yanga, Hans van der Pluijm amelia na safu yake ya ushambuliaji, akisema imemwangusha, huku akiahidi kuanzia mchezo ujao watarejesha jeuri ya kuzoa pointi tatu kwa kila timu watakayokutana nayo.