Yanga SC yakubali kuweka kambi Chamazi
Na Khadija Mngwai UONGOZI wa Klabu ya Yanga umefunguka kuwa upo tayari kuweka kambi Chamazi kufuatia ofa waliyoitoa Azam ya kuwataka wakaweke kambi huko kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri. Inaelezwa kuwa wiki iliyopita uongozi wa Azam FC ulikataa ombi la Al Ahly kuweka kambi kwenye eneo lao hilo pindi watakapokuja nchini kucheza dhidi ya Yanga katika hatua...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMSD YAKUBALI AGIZO LA SERIKALI KUWEKA ALAMA KATIKA DAWA NA VIFAA TIBA
KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa nchini (MSD),Cosmas Mwaifwani amesema bohari ya dawa imepokea agizo la serikali kuweka alama katika dawa za umma pamoja na vifaa tiba ili kuweza kudhibiti upotevu wa dawa pamoja na vifaa tiba.
Mwaifwani aliyasema hayo jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya mikakati bohari hiyo katika kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi.
Alisema katika mkakati mwingine ni kuanzisha maduka ya jumla...
10 years ago
Raia Tanzania03 Aug
Stars kuweka kambi Uturuki
TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuaondoka nchini Agosti 23 kwenda Uturuki kwa ajili ya kambi ya wiki mbili kujiandaa na mchezo wao wa kufuzu kucheza fainali za mataifa ya Afrika mwaka (Afcon) 2017 nchini Gabon dhidi ya Nigeria.
Stars inatarajia kucheza mchezo wao wa pili wa kufuzu Afcon dhidi ya Nigeria Septemba 5 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Awali Stars ilicheza na Misri na kufungwa mabao 3-1 ugenini wakiwa chini ya kocha Mholanzi Mart Nooij ambae...
11 years ago
GPLAzam kuweka kambi Hispania
10 years ago
BBCSwahili20 Jan
Tanzania:Azam Fc kuweka Kambi Dr Congo
10 years ago
BBCSwahili13 Feb
Red Arrow FC kuweka kambi Tanzania
10 years ago
BBCSwahili16 Jun
Uchina kuweka kambi ya kijeshi Djibouti
9 years ago
Bongo511 Dec
Kayumba wa BSS kuweka kambi Afrika Kusini
Mshindi wa shindano la Bongo Star Search (BSS) 2015, Kayumba Juma anasafiri usiku wa Ijumaa hii kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya video ya wimbo wake mpya.
Muimbaji huyo ambaye alijinyakulia kitita cha shilingi milioni 60 baada ya kuibuka mshindi katika kinyang’anyiro hicho kilichokuwa na ushindani mkubwa, atasafiri akiwa pamoja na timu ya BSS ikiongozwa na mkurugenzi wake Madam Rita.
Akizungumza na Bongo5 leo mmoja kati ya viongozi wa msanii huyo, Said Fella, amesema kila...
10 years ago
MichuziRED ARROWS FC YA ZAMBIA KUWEKA KAMBI NCHINI
Uongozi wa klabu hiyo chini ya mwenyekiti wake Col Nolacso K Chilando ulifika leo makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania - TFF sambamba na Afisa habari wa klabu Lt Col Melody Siisii, Bw Alex Chila ofisa ubalozi wa Zambia nchini Tanzania...
10 years ago
MichuziWACHEZAJI WA SIMBA KAMILI YAENDA ZANZIBAR KUWEKA KAMBI YA MAZOEZI