Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndanda yahamia Dar kusaka makali

NDANDA FC ya Mtwara, moja ya timu ngeni katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara, inatarajia kutua jijini Dar es Salaam leo kuanza kambi itakayowapa makali ya kuhimili kishindo cha ligi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Yanga SC kusaka makali Ulaya

Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga wanajiandaa kwenda Ureno ambako wataweka kambi ya maandalizi ya mashindano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame), Ligi Kuu Tanzania Bara na ile ya Mabingwa Afrika.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga kusaka makali Barcelona

KLABU ya Yanga chini ya Mwenyekiti wake Yusuf Manji, imepanga kuipeleka timu nchini Hispania kujifua kwa raundi ya pili ya Ligi Kuu itakayoanza Januari 22 na Ligi ya Mabingwa Afrika...

 

9 years ago

Mtanzania

Ame Ali kusaka makali Chalenji

AME-3NA ZAINAB IDDY

MSHAMBULIAJI wa timu ya Azam FC, Ame Ali ‘Zungu’, amesema ana imani kubwa na michuano ya Kombe la Chalenji yanayofanyika nchini Ethiopia kuanzia leo yatamrudisha kiwango chake.

Ame amejiunga na Azam katika usajili wa msimu huu kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Mtibwa Sugar ya Morogoro, baada ya kuonyesha umahiri wa kufumania nyavu msimu uliopita akiwa amefunga mabao tisa.

Tangu kujiunga kwake na Azam ameonekana kupotea katika ramani ya soka baada ya kukosa nafasi katika...

 

11 years ago

Mtanzania

Stars yaenda Afrika Kusini kusaka makali

Timu ya Taifa, Taifa Stars

Timu ya Taifa, Taifa Stars

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imeondoka jana kuelekea Afrika Kusini kujiandaa na mchezo wake wa marudiano dhidi ya Msumbiji, utakaochezwa Agosti 3 katika Uwanja wa Zimpeto, mjini Maputo.

Stars imeondoka huku ikiahidi ushindi kwa Watanzania katika mchezo huo wa kusaka kucheza hatua ya makundi ya michuano ya Afrika, itakayofanyika mwakani nchini Morocco.

Awali Stars ilitoka sare ya 2-2 na Msumbiji katika mchezo wake wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Azam kuanza kusaka makali ya Ligi Kuu Jumatatu

KIKOSI cha mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC, kinatarajiwa kuanza mazoezi kesho kuelekea msimu ujao ambapo itakuwa ikitetea taji hilo na kuiwakilisha nchi katika Ligi ya Mabingwa Afrika....

 

10 years ago

Vijimambo

Mauzauza ya BVR yahamia Dar

Fundi wa mashine za Biometric Voters Registration (BVR) zinazotumika kuandikisha wananchi kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura, Neema Mbwambo akiirekebisha moja ya mashine hizo katika kituo kilichopo Shule ya Sekondari ya Zawadi, Tabata Dar es Salaam jana. Picha na Venance Nestory

By Waandishi Wetu, Mwananchi
Dar es Salaam. Kasoro za uandikishaji wananchi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura zilizokuwa zikitokea katika mikoa mbalimbali nchini, zimejitokeza pia jijini Dar es Salaam ikiwa ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi kupinga Bunge la Katiba yahamia Dar

 Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa Mahakama Kuu Moshi na wananchi wawili wakitaka kusimamishwa kwa mchakato wa Katiba Mpya likiwamo Bunge la Maalumu la Katiba, sasa imehamishiwa Jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

MAFURIKO YA LOWASSA YAHAMIA JIJINI DAR, AKOMBA UDHAMINI WA WANACCM 212, 150

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akifurahia jambo wakati Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Ramadhan Madabida (hayupo pichani) akizungumza jambo, wakati Mh. Lowassa alipofika ofisi ya CCM Mkoa huo, Mtaa wa Lumumba, leo Juni 27, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZIMwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Ramadhan Madabida akizungumza jambo kumuhusu, Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani