Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mauzauza ya BVR yahamia Dar

Fundi wa mashine za Biometric Voters Registration (BVR) zinazotumika kuandikisha wananchi kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura, Neema Mbwambo akiirekebisha moja ya mashine hizo katika kituo kilichopo Shule ya Sekondari ya Zawadi, Tabata Dar es Salaam jana. Picha na Venance Nestory

By Waandishi Wetu, Mwananchi
Dar es Salaam. Kasoro za uandikishaji wananchi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura zilizokuwa zikitokea katika mikoa mbalimbali nchini, zimejitokeza pia jijini Dar es Salaam ikiwa ni...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ndanda yahamia Dar kusaka makali

NDANDA FC ya Mtwara, moja ya timu ngeni katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara, inatarajia kutua jijini Dar es Salaam leo kuanza kambi itakayowapa makali ya kuhimili kishindo cha ligi...

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi kupinga Bunge la Katiba yahamia Dar

 Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa Mahakama Kuu Moshi na wananchi wawili wakitaka kusimamishwa kwa mchakato wa Katiba Mpya likiwamo Bunge la Maalumu la Katiba, sasa imehamishiwa Jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

MAFURIKO YA LOWASSA YAHAMIA JIJINI DAR, AKOMBA UDHAMINI WA WANACCM 212, 150

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akifurahia jambo wakati Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Ramadhan Madabida (hayupo pichani) akizungumza jambo, wakati Mh. Lowassa alipofika ofisi ya CCM Mkoa huo, Mtaa wa Lumumba, leo Juni 27, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZIMwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Ramadhan Madabida akizungumza jambo kumuhusu, Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward...

 

10 years ago

Michuzi

MAFURIKO YA LOWASSA YAHAMIA JIJINI DAR, KINGUNGWE AMWAGA WINO HADHARANI KUMUUNGA MKONO

Mwanasiasa Mkongwe hapa nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru akisani fomu ya udhamini mbele ya Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa ikiwa ni ishara ya kumuunga mkono mgombea huyo. zoezi hili limefanyika jioni ya leo Juni 27, 2015 kwenye Ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni, Mkwajuni Jijini Dar. ambapo kwa wilaya ya Kinondoni amepata udhamini wa wanaCCM 95, 251 na kufanya jumla kuu kuwa 212, 150 na kuifanya Dar es salaam kuwa Mkoa wa kwanza kuwa na idadi kubwa ya WanaCCM...

 

9 years ago

CCM Blog

MAUZAUZA





(Dkt. MUHAMMED SEIF KHATIB) Mwanadamu ameumbwa na milango ya fahamu.  Milango hiyo ya utambuzi humsaidia mtu kuelewa kitu au jambo liliopo.  Huweza kutambua kitu kwa kukishika, kukisia, kufikiria au kudhani.  Lakini kwa vile  milango hiyo ni mingi, binadamu anao uwezo wa kugusa, kuonja, kunusa au kusikia.  Hata hivyo, mwanadamu huweza kumghilibu binadamu mwingine au kumdanganya kwa kutumia milango hiyo ya utambuzi na hatimaye kumpotosha.  Upo uwezo wa kudanganya macho ili yaone mambo kinyume...

 

10 years ago

Vijimambo

BVR zawasili Dar.

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Julius Mallaba.
Hatimaye mashine 248 za kisasa za kuandikisha wapigakura katika daftari la kudumu la wapigakura kwa kutumia mfumo wa elektroniki wa Biometric Voters Registration (BVR) zimewasili nchini, ili kuongeza kasi ya mwenendo wa mchakato huo, ambao umekuwa wa kusuasua.

Kusuasua kwa mchakato huo ulioanza mkoani Njombe, Februari 23, mwaka huu kabla ya kusimama, kunatokana na mashine 250 za awali za kuandikisha wapigakura zilizokuwa...

 

10 years ago

Raia Tanzania

BVR zakera Dar

MCHAKATO wa uandikishaji wapiga kura kutumia mfumo wa kielektroniki (BVR) ulioanza jana jijini Dar er Salaam, umeonekana kusuasua huku baadhi ya vituo kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi kutokana na vifaa kuharibika au kuchelewa kufika, anaripoti CHRISTINA MWAGALA, Dar.

Raia Tanzania jana lilitembelea vituo kadhaa jijini hapa ambapo katika Kituo cha Shule ya Msingi Umoja, Mabibo wilayani Kinondoni, kati ya mashine nane zilizokuwapo, ni nne tu zilizokuwa zikifanya kazi baada ya nyingine...

 

10 years ago

GPL

FAMILIA YAKUMBWA NA MAUZAUZA

Chande Abdallah na Deogratius Mongela
INATISHA! Familia ya Zidadu Kasimu (34) inayoishi Mlandizi, Pwani inakumbwa na mauzauza nyakati za usiku kwenye nyumba yao baada ya wageni wanaofika na kulala vyumbani kusimulia visa vya kutisha vinavyohusisha ushirikina. Baba mama na mtoto wao wakiwa na huzuni. Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, Zidadu alisema vitimbwi hivyo vilianza mwaka 2004 baada ya wageni wake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani