Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FAMILIA YAKUMBWA NA MAUZAUZA

Chande Abdallah na Deogratius Mongela
INATISHA! Familia ya Zidadu Kasimu (34) inayoishi Mlandizi, Pwani inakumbwa na mauzauza nyakati za usiku kwenye nyumba yao baada ya wageni wanaofika na kulala vyumbani kusimulia visa vya kutisha vinavyohusisha ushirikina. Baba mama na mtoto wao wakiwa na huzuni. Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, Zidadu alisema vitimbwi hivyo vilianza mwaka 2004 baada ya wageni wake...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CCM Blog

MAUZAUZA





(Dkt. MUHAMMED SEIF KHATIB) Mwanadamu ameumbwa na milango ya fahamu.  Milango hiyo ya utambuzi humsaidia mtu kuelewa kitu au jambo liliopo.  Huweza kutambua kitu kwa kukishika, kukisia, kufikiria au kudhani.  Lakini kwa vile  milango hiyo ni mingi, binadamu anao uwezo wa kugusa, kuonja, kunusa au kusikia.  Hata hivyo, mwanadamu huweza kumghilibu binadamu mwingine au kumdanganya kwa kutumia milango hiyo ya utambuzi na hatimaye kumpotosha.  Upo uwezo wa kudanganya macho ili yaone mambo kinyume...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miaka 50 ya Muungano iliyozaa mauzauza

JANA Watanzania wote walijumuika kusherehekea Jubilei ya miaka 50 ya Muungano wa nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar, uliofanyika Aprili 26, 1964 ulioasisiwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mauzauza ya Simba, Yanga yanachusha

‘MAUZAUZA’ ni hali ya macho kudanganyika na kuyafanya yaone kitu ambacho sivyo kilivyo. Aidha ni hali ya kutoeleweka; shaghalabaghala. Maana ya ‘chusha’ ni chukiza, udhi. Ndivyo zilivyo Simba na Yanga....

 

10 years ago

Mwananchi

Mauzauza kura za maoni CCM

Mauzauza jana yalitawala mchakato wa kura za maoni kwa ajili ya kupata wagombea ubunge na udiwani kwa tiketi ya CCM kutokana na kuwapo kwa vitendo vya rushwa, vurugu, kura kuchomwa moto, makada kukamatwa, wanachama kutoruhusiwa kupiga kura na kugundulika kwa karatsi zilizokwishapigwa kura.

 

10 years ago

Vijimambo

Mauzauza ya BVR yahamia Dar

Fundi wa mashine za Biometric Voters Registration (BVR) zinazotumika kuandikisha wananchi kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura, Neema Mbwambo akiirekebisha moja ya mashine hizo katika kituo kilichopo Shule ya Sekondari ya Zawadi, Tabata Dar es Salaam jana. Picha na Venance Nestory

By Waandishi Wetu, Mwananchi
Dar es Salaam. Kasoro za uandikishaji wananchi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura zilizokuwa zikitokea katika mikoa mbalimbali nchini, zimejitokeza pia jijini Dar es Salaam ikiwa ni...

 

10 years ago

GPL

HAFSA AELEZA ALIVYO-TESWA NA MAUZAUZA

Stori: Mayasa Mariwata/Ijumaa Wikienda
MWANAMUZIKI aliyeamua kumgeukia Mungu na kuokoka, Hafsa Kazinja amefunguka kuwa alikuwa akiteswa na mauzauza ya kishirikina pindi alipokuwa katika majukwaa akiimba Bongo Fleva. Mwanamuziki aliyeamua kumgeukia Mungu na kuokoka, Hafsa Kazinja. Akipiga stori na paparazi wetu, Hafsa alisema alikumbana na mambo mengi sana ya ajabu ikiwemo kuona majoka makubwa jukwaani akiwa anatumbuiza na...

 

11 years ago

Michuzi

Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion...BAJETI KATIKA FAMILIA (Pt II)

Photo credits: moneymanagement.org Karibu katika kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Production. Katika kipindi hiki, tumeingia katika sehemu ya pili ya mjadala kuhusu BAJETI KATIKA FAMILIA ambapo mbali na historia ya bajeti, pia tumesisitizwa kuhusu umuhimu wake, namna ya kulitekeleza na mengine mengi. Wachangiaji studio walikuwa ni Amos Cherehani ambaye ni mtaalamu wa masuala ya fedha, Denzel Musumba na Mubelwa Bandio KARIBU UUNGANE NASI

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA MGODI WA BUZWAGI WASHEREKEA SIKU YA FAMILIA NA FAMILIA ZAO.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii aliyekuwa Kahama.BUZWAGI imeanzisha mkakati wa kukuza na kuboresha hali ya utendaji kazi kwa wafanyakazi wake kwa kuanzisha utaratibu wa kuwakutanisha wafanyakazi wa mgodi huo na familia zao mara moja kwa mwaka katika siku maalumu ya familia ambayo hutoa fursa kwa familia za wafanyakazi wa mgodi huo kuweza kujionea namna ambavyo shughuli za uchimbaji wa madini hufanyika na hivyo kuwa mabalozi wazuri wa kampuni kwa ujumla.
Mwaka huu wafanyakazi wa kampuni...

 

11 years ago

GPL

MAUZAUZA IRINGA: CHUNGU CHA AJABU CHAIBUKA JUU YA KABURI KIKITOKA DAMU

Chungu cha ajabu kilichokutwa juu ya kaburi la mtoto Agnes Mlawa katika makaburi ya Makanyagio mjini Iringa  leo kikiwa  kinafoka  damu. Baada ya kufunguliwa chungu hicho ndani kulikuwa  na damu, maini na kichwa cha ndege. Wananchi wakishuhudia chungu hicho cha ajabu kilichopo kushoto karibu na jembe.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani