MAUZAUZA
(Dkt. MUHAMMED SEIF KHATIB) Mwanadamu ameumbwa na milango ya fahamu. Milango hiyo ya utambuzi humsaidia mtu kuelewa kitu au jambo liliopo. Huweza kutambua kitu kwa kukishika, kukisia, kufikiria au kudhani. Lakini kwa vile milango hiyo ni mingi, binadamu anao uwezo wa kugusa, kuonja, kunusa au kusikia. Hata hivyo, mwanadamu huweza kumghilibu binadamu mwingine au kumdanganya kwa kutumia milango hiyo ya utambuzi na hatimaye kumpotosha. Upo uwezo wa kudanganya macho ili yaone mambo kinyume...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLFAMILIA YAKUMBWA NA MAUZAUZA
11 years ago
Tanzania Daima27 Apr
Miaka 50 ya Muungano iliyozaa mauzauza
JANA Watanzania wote walijumuika kusherehekea Jubilei ya miaka 50 ya Muungano wa nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar, uliofanyika Aprili 26, 1964 ulioasisiwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh...
11 years ago
Tanzania Daima26 May
Mauzauza ya Simba, Yanga yanachusha
‘MAUZAUZA’ ni hali ya macho kudanganyika na kuyafanya yaone kitu ambacho sivyo kilivyo. Aidha ni hali ya kutoeleweka; shaghalabaghala. Maana ya ‘chusha’ ni chukiza, udhi. Ndivyo zilivyo Simba na Yanga....
10 years ago
Vijimambo23 Jul
Mauzauza ya BVR yahamia Dar
By Waandishi Wetu, Mwananchi
Dar es Salaam. Kasoro za uandikishaji wananchi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura zilizokuwa zikitokea katika mikoa mbalimbali nchini, zimejitokeza pia jijini Dar es Salaam ikiwa ni...
10 years ago
Mwananchi02 Aug
Mauzauza kura za maoni CCM
10 years ago
GPLHAFSA AELEZA ALIVYO-TESWA NA MAUZAUZA
11 years ago
GPLMAUZAUZA IRINGA: CHUNGU CHA AJABU CHAIBUKA JUU YA KABURI KIKITOKA DAMU