Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ame Ali kusaka makali Chalenji

AME-3NA ZAINAB IDDY

MSHAMBULIAJI wa timu ya Azam FC, Ame Ali ‘Zungu’, amesema ana imani kubwa na michuano ya Kombe la Chalenji yanayofanyika nchini Ethiopia kuanzia leo yatamrudisha kiwango chake.

Ame amejiunga na Azam katika usajili wa msimu huu kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Mtibwa Sugar ya Morogoro, baada ya kuonyesha umahiri wa kufumania nyavu msimu uliopita akiwa amefunga mabao tisa.

Tangu kujiunga kwake na Azam ameonekana kupotea katika ramani ya soka baada ya kukosa nafasi katika...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Yanga SC kusaka makali Ulaya

Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga wanajiandaa kwenda Ureno ambako wataweka kambi ya maandalizi ya mashindano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame), Ligi Kuu Tanzania Bara na ile ya Mabingwa Afrika.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga kusaka makali Barcelona

KLABU ya Yanga chini ya Mwenyekiti wake Yusuf Manji, imepanga kuipeleka timu nchini Hispania kujifua kwa raundi ya pili ya Ligi Kuu itakayoanza Januari 22 na Ligi ya Mabingwa Afrika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ndanda yahamia Dar kusaka makali

NDANDA FC ya Mtwara, moja ya timu ngeni katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara, inatarajia kutua jijini Dar es Salaam leo kuanza kambi itakayowapa makali ya kuhimili kishindo cha ligi...

 

11 years ago

Mtanzania

Stars yaenda Afrika Kusini kusaka makali

Timu ya Taifa, Taifa Stars

Timu ya Taifa, Taifa Stars

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imeondoka jana kuelekea Afrika Kusini kujiandaa na mchezo wake wa marudiano dhidi ya Msumbiji, utakaochezwa Agosti 3 katika Uwanja wa Zimpeto, mjini Maputo.

Stars imeondoka huku ikiahidi ushindi kwa Watanzania katika mchezo huo wa kusaka kucheza hatua ya makundi ya michuano ya Afrika, itakayofanyika mwakani nchini Morocco.

Awali Stars ilitoka sare ya 2-2 na Msumbiji katika mchezo wake wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Azam kuanza kusaka makali ya Ligi Kuu Jumatatu

KIKOSI cha mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC, kinatarajiwa kuanza mazoezi kesho kuelekea msimu ujao ambapo itakuwa ikitetea taji hilo na kuiwakilisha nchi katika Ligi ya Mabingwa Afrika....

 

10 years ago

Bongo Movies

JE Kajala Ame-Break The Internet Kwa Picha Hizi?!!!

Leo ikiwa ni siku ya mapumziko, tusherekea miaka 53 ya uhuru wa Tanganyika ambayo iliungana na Zanzibar na sasa inaitwa Tanzania, akionekana mwenye furaha kwa tabasamu na pozi mbalimbali maeneo ya ufukweni , Kajala Masanja  ambae ni muigizaji na mkurugenzi wa K entertainments, aliziweka picha zake hizi mtandaoni na kuandika “Wee unaniona hapa me najiona mbaaaaali” akiashilia kuwa mwenye furaha na amani tele.

Kilichofanya nizilete hapa ni likes na  comments za  ‘Followers’ wake ambao kwa kwa...

 

5 years ago

CCM Blog

KATIBU WA NEC WA CCM, PEREIRA AME SILIMA AJITOSA URAIS ZANZIBAR


KATIBU wa NEC, Idara ya Oganaizesheni ya CCM Taifa, Pereira Ame Silima,Amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ametimiza idadi ya wagombea 27


 

10 years ago

CloudsFM

MTU ASIYEFAHAMIKA AME’HACK’ NAMBA YA SIMU YA FID Q NA KUWATAPELI WATU PESA

Hivi karibuni zimeenea habari za mastaa wa Kibongo namba zao za simu kuwa ‘hacked’ tukio hilo lilishamkuta msanii Snura,ambapo kwa saa zisizozidi 48 tayari mastaa wawili wa Bongo Fleva namba zao zimekua hacked,ambao ni Ambwene Yesaya ‘AY’ na Fareed Kubanda ‘Fid Q’.Mtu huyo asiyefahamika alihack namba ya simu ya FID Q na kuwapigia watu wake wa karibu msanii huyo na kuwakopa hela.

 

10 years ago

Vijimambo

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI,PEREIRA AME SILIMA AFUNGA MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI NA UHAMIAJ

Mgeni rasmi katika ufungaji wa Mafunzo ya awali ya skari Polisi,NaibuWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Pereira Ame Silima akizungumza wakati wa sherehe za ufungaji wa mafunzo hayo zilizofanyika Chuo Cha Taaluma ya Polisi Moshi,Baadhi ya wahitimu wa mafunzo ya awali ya Askari Polisi na Uhamiaji.Naibu Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi ,Abdulrahman Kaniki akitoa hotuba yake katika siku hiyo.
Mkuu wa Chuo cha Polisi ,Commandant ,Matanga Mbushi akitoa hotuba yake katika sherehe hizo.Baadhi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani