SOKA: Ngassa ajifunga Free State
>Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa amesaini mkataba wa miaka mitatu wa kuichezea klabu ya Free State Stars ya Afrika Kusini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 May
Ngassa ajiunga Free State ya Afrika Kusini

Dar es Salaam. Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa amesaini mkataba wa miaka mitatu wa kuichezea klabu ya Free State Stars ya Afrika Kusini.Ngassa alifanya majaribio katika klabu hiyo ya Afrika Kusini alipokuwa na kikosi cha Taifa Stars nchini Botswana katikati ya mwaka jana.Katika...
10 years ago
GPL
NGASSA ASAINI MIAKA MINNE NA KLABU YA FREE STATE STARS YA AFRIKA KUSINI
Mrisho Ngassa akikabidhiwa jezi na Kocha wa Free State Stars, Kinnah Phiri leo, makao makuu ya klabu hiyo, Mtaa wa 22B President Boshoff mjini Bathlehem baada ya kusaini Mkataba wa miaka minne kuichezea timu hiyo. Na Mahmoud Zubeiry, BETHELEHEM KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa amesaini Mkataba wa miaka minne kujiunga na klabu ya Free State Stars ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini leo.
Ngassa, mume...
10 years ago
Mwananchi01 Jun
SOKA: Ngassa asaka nyumba Sauzi
>Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Ngassa amewasili nchini Afrika Kusini jana kusaka nyumba tayari kuanza maisha mapya katika klabu yake ya Free State Stars ya Bethlehem.
10 years ago
Daily News11 Jan
State commits to free secondary schooling
Daily News
PRESIDENT Jakaya Kikwete has reiterated the government's commitment to provide free education at both primary and secondary levels, to make education accessible to all school age children. Addressing diplomats accredited to the country at the New ...
10 years ago
BBCSwahili10 May
Ngasa kujiunga na Free State mwezi July
Klabu ya Yanga itamkosa mshambuliaji wake,Mrisho Ngassa katika msimu wa ligi kuu na mechi za kimataifa mwakani.
10 years ago
BBCSwahili19 May
Saratani:Mwanaharakati ajifunga nyororo
Asema serikali na jamii kwa jumla inapaswa kutoa raslimali zilizopo kununua vifaa vya tiba kwa wagonjwa ambao wanangojea tiba hadi mwaka 2017.
11 years ago
Michuzi06 Jul
Wakiwezeshwa wanawake wanaweza: Msikilize Sauda Mwilima wa Radio Free Africa, Kiss FM na Star TV akitangaza soka
Ni kijana mdogo lakini maarufu sana katika Star TV, hususan katika kipindi chake cha "Bongo Beat". Pia husikika katika Radio Free Africa na Kiss FM. Akifuata nyayo za dada yake Saida Mwilima aliyekuwa mtangazaji wa TBC kabla ya kuhamia Uingereza, Sauda hivi sasa anasikika pia akitangaza mpira (Bofya mshale mwekundu umsikie). Hongera sana mdogo wetu kwa juhudi zako na kazi nzuri. Hakika unaweza kabisa kuziba pengo aliloacha marehemu Halima Mchuka, mwanamke wa kwanza kutangaza soka nchini...
10 years ago
TheCitizen10 Nov
The state of state-building in war-ravaged Somalia
A fence-mending deal signed this month by Somalia and Puntland has variously been hailed as a blueprint for stability and state-building in the wake of decades of civil war, and dismissed as a recipe for renewed inter-clan violence.
11 years ago
Michuzi
WADAU WA SOKA WAMUNZI MAREHEMU OMARY CHANGA KWA BONANZA LA SOKA


Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania