Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KILA JUMATATU YA KWANZA YA MWEZI OKTOBA NI SIKU YA MAKAZI DUNIANI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI TAARIFA KWA UMMA

 Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inapenda kuwataarifu  Wananchi wote kwamba kila Jumatatu ya kwanza ya mwezi Oktoba ni Siku ya Makazi Duniani  ambayo huadhimishwa Duniani kote.
Nchini, mwaka huu tarehe 05/10/2015  –  Jumatatu, Maadhimisho ya siku hii yanategemewa kufanyika katika viwanja vya Karimjee kuanzia saa mbili na nusu asubuhi (2:30) mpaka saa nane mchana (8:00).


Kauli Mbiu ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KIPINDI CHA JUKWAA LANGU KINACHORUSHWA LIVE KILA SIKU YA JUMATATU

JUKWAA LANGU kutoka Kwanza Production, Vijimambo Radio na Border Media Group. Kipindi kipya kinachorushwa LIVE kila siku ya Jumatatu kuanzia saa 12 kamili jioni (6:00pm) EST kwa saa za Marekani ya Mashariki.JUKWAA LANGU ni kipindi kiinachozungumzia mambo mbalimbali yanayotokea Duniani ikiwemo maswala ya siasa na kuangalia mstakabali wa nchi yetu kuelekea uchaguzi na kupata fulsa ya kuongea na watu mbalimbali ndani na nje ya Marekani

 Piga simu 240 281 0574 utuambie ni nini maoni yako kwa...

 

10 years ago

Michuzi

NHC katika maadhimisho ya kilele cha Siku ya Makazi Duniani

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka akisikiliza maelekezo kutoka kwa Meneja wa Mawasiliano wa Shirika la Nyumba la Taifa, Yahya Charahani. Katika ujumbe wake wa siku ya makazi mwaka huu Waziri Tibaijuka ameviagiza vyombo vinavyohusika na upangaji miji kuongeza zaidi kazi ya upimaji wa makazi na kisha kuyaboresha makazi yaliyokwishavurugika kwa hivi sasa kwa mujibu wa takwimu za UN HABITAT, robo ya idadi ya watu wanaoishi mijini kote duniani na...

 

10 years ago

GPL

UFUNGUZI WA MAADHIMISHO SIKU YA POSTA DUNIANI OKTOBA 9-2014

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Mkoma, akizungumza katika mkutano huo.  Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano,  Sayansi na Teknolojia, Profesa Patrick Makungu akihutubia katika uzinduzi huo.…

 

9 years ago

Vijimambo

Kipindi cha JUKWAA LANGU Sept 28 2015 (FULL) KILA SIKU YA LEO JUMATATU KUANZIA SAA 12 JIONI ET USIKOSE

Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015
Hiki ni kipindi kilichosikika Septemba 28, 2015
Kutoka Tanzania tuliungana na Liberatus Mwang'ombe. Mgombea ubunge jimbo la Mbarali kwa tiketi ya CHADEMA
Studioni alikuwepo Dj Luke Joe, na kwa njia ya simu tukaungana na wasikilizaji wengi ndani na nje ya Marekani
KARIBU

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA ARDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI ANGELA KAIRUKI MGENI RASMI SIKU YA WAJANE DUNIANI ITAKAYOFANYIKAJUNI 23 MWAKA HUU.

Mwenyekiti  wa  Chama cha Wajane Tanzania, Rose Sarwatt akizungumza na waandishi  wa habari hawapo pichani  juu maazimisho siku ya wajane Duniani itakayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jeshini jijini Dar es Salaam Juni 23 mwaka huu. Maadhimisho hayo yatalenga  kusaidia wajane kisheria, kupata elimu pale wanapo kwama  kushawishi  jamii kuandaa wosia ili kupunguza  au kuondoa usumbusu. Kulia ni  Katibu Chama cha Wajane Tanzania John Shabani  mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Uchaguzi mwezi Oktoba

Uchaguzi Ujao Mwaka huu tutambue, mwezi wa kumi ujao, Ujao tufikirie, uchaguzi mwezi huo, Huo mwezi tuchague, viongozi  wafaao Tuchague wafaao, Watanzania wenzangu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani