Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UFUNGUZI WA MAADHIMISHO SIKU YA POSTA DUNIANI OKTOBA 9-2014

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Mkoma, akizungumza katika mkutano huo.  Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano,  Sayansi na Teknolojia, Profesa Patrick Makungu akihutubia katika uzinduzi huo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO SIKU YA POSTA DUNIANI YAFANA JIJINI DAR LEO

 Na Dotto Mwaibale
WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya St Mary's ya Mazinde Juu iliyopo mkoani Tanga wameibuka vinara wa shindano la uandishi wa barua lililoshirikisha wanafunzi wa shule mbalimbali nchini katika kuadhimisha siku ya posta duniani.

Shindano hilo la uandishi wa barua  limeratibiwa na Shirika la Posta Tanzania kwa kushirikiana na umoja wa posta duniani.
Akizungumza  Dar es saalam leo katika hafla ya uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya posta duniani, Mkurugenzi Mkuu wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Posta waadhimisha Siku ya Posta Duniani jijini Dar es Salaam

Wafanyakazi na wadau wa Shirika la Posta nchini (TPC), wa ndani na nje ya nchi wakiwa katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani kwenye jengo la Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), jijini Dar es Salaam jana. Maadhimisho hayo, huadhimishwa duniani kote Oktoba 9. (Picha zote na Kassim Mbarouk- www.bayana.blogspot.com)

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Elia Madulesi (kulia), akiteta jambo na mmoja wa Maofisa wa shirika hilo, wakati...

 

11 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani Tarehe 23 Machi, 2014

 Kila mwaka tarehe 23 Machi nchi wanachama wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani hujiunga na kuadhimisha kuzaliwa kwa Shirika hilo lililoanzishwa tarehe 23 Machi, 1950 kulingana na kauli mbiu.  Kauli mbiu ya mwaka huu ni ’Ushirikishwaji wa Vijana katika Masuala ya Hali ya Hewa’- ”(Weather and Climate: Engaging Youth)”. Katika kuadhimisha Siku ya Hali ya Hewa Duniani (WMO), Shirika la Hali ya Hewa linawahamasisha vijana ulimwenguni kote kujihusisha na masuala ya hali ya hewa, ili kupata...

 

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI TAREHE 0 1- 05 JUNI, 2014, KUFANYIKA KITAIFA MKOANI MWANZA.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza
Mhe. Ernest Ndikilo akiongea na wanahabari  Mkuu wa Mkoa wa Mwaza anapenda kuwafahamisha ya kwamba, siku ya madhimisho ya mazingira Duniani, hufanyika kuanzia  tarehe 01 hadi 05 ya mwezi Juni, kwa  kila Mwaka. Kwa mwaka 2014 shirika la Umoja wa mataifa linalo shughulikia mazingira limetangaza  Kaulimbiu ya maadhimisho hayo kuwa ni “RAISE YOUR VOICE BUT NOT THE SEAL  LEVEL” kwa tafsiri ni “CHUKUA HATUA KUKABILIANA NA TABIANCHI na kitaifa” TUNZA MAZINGIRA ILI...

 

9 years ago

Michuzi

Siku ya Posta Duniani kuadhimishwa nchini

Ofisa Uhusiano wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Joseph Ngowi, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu maadhimisho ya Siku ya Posta duniani, inayoadhimishwa leo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) jijini, kabla ya kumkaribisha Meneja Masoko wa shirika hilo, David George (kulia) kuzungumza masuala mbalimbali yanayohusu maadhimisho ya siku hiyo, kesho. jijini.   Meneja Masoko wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), David George, akizungumza na waandishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani