Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msaada: Mtoto apotea na house-girl

Picha ya hivi karibuni ya mtoto Loveness C. JulluFamilia ya Jullu ya Wazo Hill kwa Msabaha jijini Dar es Salaam inaomba msaada kutoka kwa raia wema ili kufanikisha kumpata mtoto wao Loveness Coletha Jullu aliyepotea nyumbani na msichana aliyekuwa akimlea na kusaidia shughuli za nyumbani.
Wawili hao hawajaonekana tangu juzi Jumanne. Taarifa zimefikishwa katika kituo cha polisi na RPC wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni amekiri kupata taarifa za tukio hilo.
Ikiwa una taarifa zozote zitakazosaidia...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mtoto, ‘house girl’ wa diwani wachinjwa

MTOTO wa Diwani wa Mkangano, Estoni Kimwelu (CCM), na mfanyakazi wa ndani, Sista Nyilenda (17), wameuawa na watu wasiojulikana. Tukio hilo la kinyama lililotokea juzi saa nane mchana, eneo la...

 

9 years ago

Vijimambo

MTOTO ALIYEPOTEA NA HOUSE-GIRL APATIKANA

Taarifa mpya kutoka kwa familia ya Jullu inasema kuwa mtoto wao Loveness Coletha aliyepotea na dada yake amepatikana na mzazi wake amesafiri kwenda jijini Mwanza kumchukua.Tunashukuru wote waliojumuika kuifariji familia kwa maneno ya kutia moyo, walioguswa na kuombea matumaini kwa sala, wote waliosambaza ujumbe kwa njia mbalimbali na zaidi sana, kwa watendaji wote wa mamlaka husika waliofanya kazi yao katika kufanikisha hili.Asanteni!​

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtoto apotea mazingira ya utata

KELVIN Kaijage (pichani), mkazi wa Tabata Magengeni anatafutwa na wazazi wake baada ya kutoroka nyumbani kwao tangu Desemba 19, mwaka huu. Mama wa mtoto huyo, Anna Kaijage alisema mwanaye mwenye...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mtoto apotea katika mazingira ya kutatanisha

MTOTO Baraka John (13) mwanafunzi wa shule ya msingi Hunyari katika Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, amepotea katika mazingira ya kutatanisha, wakati akiwa nyumbani kwao. Mzazi wa mtoto huyo ambaye...

 

11 years ago

Mwananchi

Kaka wa mtoto aliyefungiwa kwenye boksi naye ‘apotea’

Zimeibuka taarifa kwamba mtoto aliyekuwa amefungiwa kwenye boksi kwa miaka minne na mama yake mkubwa, Nasra Rashid (4) alikuwa na kaka aliyefahamika kwa jina la Nasoro ambaye hadi sasa hajulikani mahali halipo.

 

10 years ago

Daily News

Girl killed, three injured after wall collapses on house


Girl killed, three injured after wall collapses on house
Daily News
A YOUNG girl was killed while three other people sustained injuries after a concrete wall collapsed on a house in Kinondoni municipality, Dar es Salaam, Tuesday. In the incident, a girl identified as Catherine Silvester (11), was killed after the wall fell down on ...

 

10 years ago

CloudsFM

WAZAZI IRINGA WAPIGWA MARUFUKU KUWARUHUSU WATOTO WAO KWENDA KUFANYA KAZI ZA ''HOUSE GIRL''

MBUNGE wa jimbo la Kalenga mkoani Iringa Godfrey Mgimwa amepiga marufuku wazazi wa wanafunzi waliofanya mtihani wa taifa wa darasa la saba 2014 kuwaruhusu watoto wao kwenda mijini kufanya kazi za ndani (uyaya) kwa madai kuwa kazi hiyo ni aibu kubwa kwa wakazi wa mkoa wa Iringa. Akizungumza katika mafahali ya darasa la saba katika shule ya msingi Kalenga na Kiponzelo jana mbunge Mgimwa alisema kuwa mkoa wa Iringa umekuwa ukisifika kwa kutoa wafanyakazi wa ndani jambo ambalo ni aibu na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto aliyekosha ulimwengu apewa msaada

Mtoto aliyepigwa picha akidurusu usiku nje ya mkahawa wa McDonald huko Ufilipino amevutia msaada kufadhili elimu yake

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani