Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto apotea mazingira ya utata

KELVIN Kaijage (pichani), mkazi wa Tabata Magengeni anatafutwa na wazazi wake baada ya kutoroka nyumbani kwao tangu Desemba 19, mwaka huu. Mama wa mtoto huyo, Anna Kaijage alisema mwanaye mwenye...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

M/kiti BAWACHA Geita apotea kwenye mazingira ya utata

Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo BAWACHA Mkoa wa Geita Husna Said anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana Agosti 16 alipokuwa anatoka wilayani Nyangh’wale katika shughuli zake za kichama.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita Alphonce Mawazo, Husna alipotea katika mazingira ya kutatanisha baada ya kutoka Nyangwale na kupanda bodaboda kuelekea Kakola kutafuta usafiri wa kwenda Geita lakini baada ya kufika Kakola na kupanda basi haijulikani...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mtoto apotea katika mazingira ya kutatanisha

MTOTO Baraka John (13) mwanafunzi wa shule ya msingi Hunyari katika Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, amepotea katika mazingira ya kutatanisha, wakati akiwa nyumbani kwao. Mzazi wa mtoto huyo ambaye...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Mzee Paul Sozigwa apotea katika mazingira ya kitatanishi

Mzee Paul Sozigwa (pichani), aliyewahi kuwa Mwandishi wa Habari  wa Rais katika serikali ya Awamu ya kwanza chini ya Mwalimu Nyerere, amepotea tangu jana mchana katika mazingira ya kitatanishi. 


Kwa mujibu wa taarifa ya familia yake ambayo Globu ya Jamii imeletewa, mara ya mwisho Mzee Sozigwa alionekana kanisani Mbezi Beach BCIC (kwa Gamanywa) jana Jumapili saa nane mchana. Kupotea huku kunaleta mashaka hasa kwa kuwa Mzee Sozigwa ni mgonjwa wa Alzheimer, na mara nyingi anapoteza...

 

9 years ago

Vijimambo

Msaada: Mtoto apotea na house-girl

Picha ya hivi karibuni ya mtoto Loveness C. JulluFamilia ya Jullu ya Wazo Hill kwa Msabaha jijini Dar es Salaam inaomba msaada kutoka kwa raia wema ili kufanikisha kumpata mtoto wao Loveness Coletha Jullu aliyepotea nyumbani na msichana aliyekuwa akimlea na kusaidia shughuli za nyumbani.
Wawili hao hawajaonekana tangu juzi Jumanne. Taarifa zimefikishwa katika kituo cha polisi na RPC wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni amekiri kupata taarifa za tukio hilo.
Ikiwa una taarifa zozote zitakazosaidia...

 

11 years ago

Mwananchi

Kaka wa mtoto aliyefungiwa kwenye boksi naye ‘apotea’

Zimeibuka taarifa kwamba mtoto aliyekuwa amefungiwa kwenye boksi kwa miaka minne na mama yake mkubwa, Nasra Rashid (4) alikuwa na kaka aliyefahamika kwa jina la Nasoro ambaye hadi sasa hajulikani mahali halipo.

 

10 years ago

GPL

UTATA MPYA MTOTO WA DIAMOND

MUSA MATEJA Utata mpya umeibuka wakati mama kijacho wa staa wa Bongo Fleva,  Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’,  akitarajiwa kujifungua muda wowote kutoka sasa, ishu ni juu ya uraia wa mtoto atakayezaliwa. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1JkKOp8

 

10 years ago

Mwananchi

Mtoto aliyezamia ndege Zanzibar utata mtupu

>Polisi Zanzibar wameanza uchunguzi kubaini mazingira ya safari tata ya mtoto Karine Godfrey aliyesafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar kwa ndege bila tiketi wala kugundulika.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtoto aliyezamia katika ndege azidi kuzua utata

Sakata la mtoto aliyezamia ndege kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar, Karine Godfrey (ambaye sasa imefahamika kwa jina la Happiness Rioba )limechukua sura mpya baada ya mama yake mzazi, Sara Zefhania kujitokeza na kusema kuwa mwanaye hakupanda ndege.

 

10 years ago

GPL

UTATA MTOTO WA NAY NA SIWEMA, MAJIBU YA DNA YAMALIZA UBISHI

MUSA MATEJA JIPU pwaaa! Baada ya utata mzito kutawala kwenye vyombo vya habari juu ya uhalali wa mtoto wa Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kwa mzazi mwenzake Siwema Edson, hatimaye kipimo cha vinasaba (DNA) kimetoka na kumaliza ubishi kwamba mtoto huyo aitwaye Curtis ni damu halisi ya msanii huyo. Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na Siwema wakiwa na mtoto wao. Hivi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani