Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWS ALERT: Mzee Paul Sozigwa apotea katika mazingira ya kitatanishi

Mzee Paul Sozigwa (pichani), aliyewahi kuwa Mwandishi wa Habari  wa Rais katika serikali ya Awamu ya kwanza chini ya Mwalimu Nyerere, amepotea tangu jana mchana katika mazingira ya kitatanishi. 


Kwa mujibu wa taarifa ya familia yake ambayo Globu ya Jamii imeletewa, mara ya mwisho Mzee Sozigwa alionekana kanisani Mbezi Beach BCIC (kwa Gamanywa) jana Jumapili saa nane mchana. Kupotea huku kunaleta mashaka hasa kwa kuwa Mzee Sozigwa ni mgonjwa wa Alzheimer, na mara nyingi anapoteza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Mtoto apotea katika mazingira ya kutatanisha

MTOTO Baraka John (13) mwanafunzi wa shule ya msingi Hunyari katika Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, amepotea katika mazingira ya kutatanisha, wakati akiwa nyumbani kwao. Mzazi wa mtoto huyo ambaye...

 

10 years ago

Michuzi

news alert: Mchekeshaji wa Kenya Mzee Ojwanga afariki dunia


Mwigizaji wa filamu za vichekesho wa Kenya Benson Wanjau maarufu kama Mzee Ojwang (pichani) amefariki dunia Jumapili jioni katika hospitali ya Taifa ya  Kenyatta National alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Taarifa kutoka NAirobi zinasema alikuwa anaumwa "Nimonia" (Pneumonia). Marehemu Mzee Ojwang alijipatia umaarufu mkubwa Afrika Mashariki kwa vituko vyake kwenye filamu za Vitimbi, Vioja Mahakami, Vituko na  Kinyonga. Alikuwa haonekani kwa muda mrefu kwenye televisheni za Kenya na mashabiki...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Rais Mstaafu wa Zambia Mzee Dr.Keneth Kaunda alazwa Hospitali Mjini Lusaka

Aleyekuwa Rais wa mwanzo wa Zambia mkongwe wa siasa Dr.Kenneth Kaunda amelazwa katika Hosptali ya Lusaka Trust Hospital kuanzia Ijumaa wiki ya jana, Mzee Kaunda haijulikani ugonjwa gani uliokuwa unamsumbua lakini kwa sasa hali yake inaendelea vema mapema pia Rais wa sasa wa nchi Bw.Michael Sata na mkewe Bi.Dr.Christine Kaseba walenda kumjulia hali Mzee Kenneth Kaunda aka KK(pichani kama kawaida na kitambaa cheupe)

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA WILAYA WAPYA 27,WAPYA WAKIWEMO SHABANI KISU,PAUL MAKONDA,FREDRICK MWAKALEBELA


*Atengua uteuzi wa Ma-DC 12, awabadilisha vituo 64, awabakiza 42 kwenye vituo vyao vya zamani.
RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya kwa kuwateua Wakuu wapya 27, kuwahamisha vituo vya kazi 64 na wengine 42 amewabakisha kwenye vituo vyao vya kazi vya zamani.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa OWM TAMISEMI leo mchana (Jumatano, Februari 18, 2015) Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema mabadiliko hayo yamesababishwa na kuwepo kwa nafasi wazi 27 ambazo zilitokana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtoto apotea mazingira ya utata

KELVIN Kaijage (pichani), mkazi wa Tabata Magengeni anatafutwa na wazazi wake baada ya kutoroka nyumbani kwao tangu Desemba 19, mwaka huu. Mama wa mtoto huyo, Anna Kaijage alisema mwanaye mwenye...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mzee wa miaka 84 apotea majini Sydney

Maafisa nchini Australia wamesitisha zoezi la kumtafuta mzee mmoja aliyeanguka baharini mashariki mwa mji wa Sydney.

 

9 years ago

StarTV

M/kiti BAWACHA Geita apotea kwenye mazingira ya utata

Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo BAWACHA Mkoa wa Geita Husna Said anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana Agosti 16 alipokuwa anatoka wilayani Nyangh’wale katika shughuli zake za kichama.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita Alphonce Mawazo, Husna alipotea katika mazingira ya kutatanisha baada ya kutoka Nyangwale na kupanda bodaboda kuelekea Kakola kutafuta usafiri wa kwenda Geita lakini baada ya kufika Kakola na kupanda basi haijulikani...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Moto wazuka tena katika Msikiti wa Mtambani leo

Msikiti  wa  Mtambani uliopo Kinondoni jijini Dar es Saam uliungua kwa mara ya pili leo.  Msikiti huo ambao uliungua  mnamo Agosti 13, 2014 katika ghorofa yake ya juu na kuteketeza  eneo kubwa ambalo hadi sasa bado halijanza kufanyiwa  ukarabati.Leo hii moto ambao inasemekana ulianza mmajira ya saa sita na nusu mchana   katika moja ya chumba ambacho wanafunzi wa kidato cha nne  wa kike wamekuwa wakipiga kambi ya kujisomea ikiwa ni katika maandalizi ya kukabiliana na mtihani wao wa...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Mahakama yamzuia Davido kuperform katika tamasha la Fiesta

Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu, Dar es Salaam imemzuia msanii kutoka Nigeria, Adedeji Adelek maarufu kama ‘Davido’ kuperform katika tamasha la Fiesta linaloandaliwa na Clouds Fm na Prime Promotion, October 18,2014.
Amri hiyo imetolewa jana (October 17) na hakimu mkazi wa mahakama ya kisutu , mheshimiwa D. Kisoka kufuatia maombi ya dharura yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Times Fm Radio na Times Fm Promotion.Times Fm Radio na Times Fm Promotion walipeleka maombi ya dharura mahakamani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani