Mzee wa miaka 84 apotea majini Sydney
Maafisa nchini Australia wamesitisha zoezi la kumtafuta mzee mmoja aliyeanguka baharini mashariki mwa mji wa Sydney.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: Mzee Paul Sozigwa apotea katika mazingira ya kitatanishi

11 years ago
Habarileo04 Sep
Mzee wa miaka 55 aoa mtoto
MWANAMUME mwenye umri wa miaka 55 mkazi wa Kitongoji cha Nyamakokoto mjini Bunda, Joseph Nyanda amefikishwa mahakamani akidaiwa kubaka mwanafunzi mwenye umri wa miaka 12 na kumgeuza mkewe.
10 years ago
Mwananchi27 Jan
10 years ago
Habarileo25 Jan
Mzee wa miaka 74 atunukiwa shahada ya sheria
MKE wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda jana alitunukiwa Shahada ya Uzamili ya Usimamizi wa Miradi wakati wa mahafali ya 27 ya Chuo Kikuu huria cha Tanzania yaliyofanyika katika Viwanja vya Nyerere Square Mjini hapa.
10 years ago
BBCSwahili07 May
Mzee amchoma mkewe wa miaka 16 Kenya
10 years ago
Michuzi
Miaka 90 ya Mzee Ali Hassan Mwinyi

10 years ago
Vijimambo19 Dec
Mzee wa miaka 70 jela kwa kukata mti
Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imemhukumu Zuberi Lubengela (70) kutumikia kifungo cha miezi sita jela, kwa kosa la kukata mti aina mgunga wenye thamani ya Sh. 100,000, mali ya kanisa la TAG lililopo kijiji cha Kiganza.
Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, David Ngunyale, baada ya upande wa mashtaka kuiridhisha mahakama kuwa mshtakiwa huyo alitenda kosa hilo.
Hakimu Ngunyale alisema mahakama inatoa adhabu kali dhidi ya mshtakiwa ili iwe fundisho kwake na kwa wazee...
10 years ago
Mwananchi08 May
‘Happy Birthday’ Mzee Mwinyi, afikisha miaka 90
11 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Mzee wa miaka 90 afa kwa moto Dar
WATU wawili wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti jijini Dar es Salaam moja likimuhusisha Mzee Fares Makundi (90), Mkazi wa Kimara Temboni aliyeungua moto akiwa chumbani. Kamanda wa Polisi Mkoa...