Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto apotea katika mazingira ya kutatanisha

MTOTO Baraka John (13) mwanafunzi wa shule ya msingi Hunyari katika Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, amepotea katika mazingira ya kutatanisha, wakati akiwa nyumbani kwao. Mzazi wa mtoto huyo ambaye...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mtoto apotea mazingira ya utata

KELVIN Kaijage (pichani), mkazi wa Tabata Magengeni anatafutwa na wazazi wake baada ya kutoroka nyumbani kwao tangu Desemba 19, mwaka huu. Mama wa mtoto huyo, Anna Kaijage alisema mwanaye mwenye...

 

11 years ago

Michuzi

DEREVA TEXI ATOWEKA KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA

Na John Gagarini,Kibaha.
DEREVA wa Texi wa Maili Moja Richard Ponera (36) mkazi wa Mwendapole wilayani Kibaha mkoani Pwani amepotea katika mazingira ya kutatanisha baada ya kukodishwa na watu wasiofahamika.
Ponera alikodishwa na watu wawili ambao hawakufahamika  Agosti 5 mwaka huu majira ya saa 2:30 usiku akiwa anaendesha gari lenye usajili na T 905 BHT aina ya Corolla nyeupe.
Akizungumza na mjini Kibaha kuhusina na tukio hilo katibu wa Umoja wa madereva Texi Kibaha Mjini (KITAGURO) Fadhil...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Mzee Paul Sozigwa apotea katika mazingira ya kitatanishi

Mzee Paul Sozigwa (pichani), aliyewahi kuwa Mwandishi wa Habari  wa Rais katika serikali ya Awamu ya kwanza chini ya Mwalimu Nyerere, amepotea tangu jana mchana katika mazingira ya kitatanishi. 


Kwa mujibu wa taarifa ya familia yake ambayo Globu ya Jamii imeletewa, mara ya mwisho Mzee Sozigwa alionekana kanisani Mbezi Beach BCIC (kwa Gamanywa) jana Jumapili saa nane mchana. Kupotea huku kunaleta mashaka hasa kwa kuwa Mzee Sozigwa ni mgonjwa wa Alzheimer, na mara nyingi anapoteza...

 

9 years ago

StarTV

M/kiti BAWACHA Geita apotea kwenye mazingira ya utata

Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo BAWACHA Mkoa wa Geita Husna Said anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana Agosti 16 alipokuwa anatoka wilayani Nyangh’wale katika shughuli zake za kichama.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita Alphonce Mawazo, Husna alipotea katika mazingira ya kutatanisha baada ya kutoka Nyangwale na kupanda bodaboda kuelekea Kakola kutafuta usafiri wa kwenda Geita lakini baada ya kufika Kakola na kupanda basi haijulikani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

HUSNA MALIMA: Mtoto aliyepotea katika mazingira tata

“HUWA machozi yananitoka ,nashindwa kula wala sipati usingizi, mtoto wangu kipenzi Husna Malima ametoweka katika mazingira ya kutatanisha wakati akicheza na wenzake.” Hayo ni maneno ya baba mzazi wa Husna(2); ...

 

9 years ago

Vijimambo

Msaada: Mtoto apotea na house-girl

Picha ya hivi karibuni ya mtoto Loveness C. JulluFamilia ya Jullu ya Wazo Hill kwa Msabaha jijini Dar es Salaam inaomba msaada kutoka kwa raia wema ili kufanikisha kumpata mtoto wao Loveness Coletha Jullu aliyepotea nyumbani na msichana aliyekuwa akimlea na kusaidia shughuli za nyumbani.
Wawili hao hawajaonekana tangu juzi Jumanne. Taarifa zimefikishwa katika kituo cha polisi na RPC wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni amekiri kupata taarifa za tukio hilo.
Ikiwa una taarifa zozote zitakazosaidia...

 

11 years ago

Mwananchi

Kaka wa mtoto aliyefungiwa kwenye boksi naye ‘apotea’

Zimeibuka taarifa kwamba mtoto aliyekuwa amefungiwa kwenye boksi kwa miaka minne na mama yake mkubwa, Nasra Rashid (4) alikuwa na kaka aliyefahamika kwa jina la Nasoro ambaye hadi sasa hajulikani mahali halipo.

 

10 years ago

Vijimambo

KATIKA HALI YA KUTATANISHA BABA AMTUPA MWANAE KWENYE MAJI


Daraja
Mwanaume mmoja amefikishwa mahakamani kwa kosa la mauaji baada ya polisi kudai kuwa alimtupa mtoto wake mwenye umri wa miaka 5 kutoka juu ya daraja mjini St Petersburg.Afisa wa polisi alisema alijionea tukio hilo la kushangaza baada kumwandama John Jonchuck Jr, mwenye umri wa miaka 25, baada ya kuona akiendesha gari lake kwa kasi, alisema afisaa mkuu wa polisi Anthony Holloway.Mtoto huyo aliyetupwa ndani ya maji yenye kina cha mita 18 alipatikana akiwa amefariki saa moja baadaye.Polisi...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YA TANZANIA KUSHIRIKIANA NA UFARANSA KATIKA MAZINGIRA


 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu akisalimiana na Maseneta kutoka Ufaransa waliomtembelea Ofisini kwake Luthuli katika jiji la Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu akiskiliza kwa makini wakati alipokutana na Maseneta kutoka Ufaransa waliotembelea Ofisini kwake Luthuli jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Kiongozi wa Maseneta hao Senator Hervé Maurey. Sehemu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani