Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KISA CORONA WAZIRI MKUU IRISH AREJEA KWENYE FANI YAKE YA UDAKTARI


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
MIAKA saba iliyopita Waziri mkuu wa Irish Leo Varadkar aliacha fani yake ya udaktari na kuingia kwenye siasa na leo amerudi katika fani yake ya awali akihudumu kama daktari ikiwa na sehemu ya kuisaidia nchi dhidi ya mlipuko wa virusi vya Corona (Covid -19) ambapo hadi sasa taifa hilo lina visa 4994 Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na chuo kikuu cha Johns Hopkins siku ya Jumatatu.
Varadkar aliyehudumu katika sekta ya afya kama daktari kwa miaka saba ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

CORONA YAMREJESHA MLIMBWENDE KWENYE FANI YAKE YA UDAKTARI

Na Leandra Gabriel, Michuzi TVBHASHA  Mukherjee (24)  ambaye ni mlimbwende wa Uingereza mwaka 2019 amerejea katika fani yake ya udaktari na kurejea Uingereza akitokea India ili kusaidia waathirika wa virusi vya Corona ambavyo vimesambaa duniani kote.
Mukherjee alipewa taji hilo Agosti mwaka jana (2019) na kuchukua mapumziko katika fani yake yake ya udaktari na kujikita zaidi katika shughuli za kijamii na tayari amerejea Uingereza kutoka nchini India katika safari ya shughuli za...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson ni lazima apumzike, asema baba yake

Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson ametoka kwenye chumba cha wagonjwa mahututi, ofisi yake imeeleza.

 

11 years ago

BBCSwahili

Waziri Mkuu wa Lesotho arejea nyumbani

Waziri mkuu wa Lesotho Thomas Thabane amewasili nchini mwake baada ya jaribio la kutaka kumpindua kutibuka.

 

10 years ago

Bongo Movies

Faiza Kufunguka Kisa Cha Kuvaa Diaper (Pampers) Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa!!!!

KALI YA WIKI: Kwa iliyopita hii ndio ilikuwa kali ya mwaka kwa mwigizaji wa filamu Faiza Ally, kuvaa Diaper  wavaayo watoto kuhifadhi haja zao maarufu kama ‘pempasi’ kwenye kusherekea siku yake ya kuzaliwa.

Tukio hilo lilitokea juzikati katika Hotel ya Sea Cliff iliyopo Masaki jijini Dar, ambako walialikwa watu wachache kwa ajili ya kula chakula cha jioni pamoja.

Faiza ambaye amezaa mtoto na Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ leo atakuwepo kwenye kipindi cha TAKEONE, kwamujibu...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AMTEMBELEA MAMA YAKE MZAZI WAZIRI MKUU PINDA MKOANI KATAVI LEO

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mama Mzazi wa Waziri Mkuu,Mh Pinda, mapema mchana huu nyumbani kwake,Katika kijiji cha Kibaoni Wilaya Mlela mkoani Katavi,alipokwenda kumtembelea na kumjulia hali. Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Mama Mzazi wa Waziri Mkuu,Mh Pinda, mapema mchana huu nyumbani kwake,Katika kijiji cha Kibaoni Wilaya Mlele mkoani Katavi,alipokwenda kumtembelea na kumjulia hali.Kinana yuko Mkoani Katavi kwa ziara ya...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe amwakilisha Rais Kikwete kwenye hafla ya kumwapisha Waziri Mkuu mpya wa Lesotho

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) wa katikati alipokuwa anaingia kwenye uwanja uliotumika kumwapisha Waziri Mkuu mpya wa Lesotho, Mhe. Pakalitha Mosisili jijini Maseru jana. wengine katika picha, kutoka kulia ni Bibi Talha Mohammed, Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Mhe. Radhia Msuya, Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini ambaye pia anawakilisha Lesotho. kutoka kushoto ni Maafisa wa Serikali ya Lesotho.Waziri Mkuu mpya wa Lesotho, Mhe....

 

9 years ago

MillardAyo

Picha tatu kutoka kwenye kikao cha Waziri Mkuu Majaliwa na Mawaziri wote kwenye meza moja

Siku ya alhamisi December 10 2015 tulishuhudia kwa mara nyingine Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kuipanga timu yake itakayoongoza jahazi la Serikali ya Tanzania kwa awamu wa tano. Tunajua kwamba kuna Wizara ambazo hazijapata Mawaziri bado lakini Rais Magufuli alituhakikishia kwamba Wizara zitakuwa 18 na Mawaziri watakuwa 19… Wale Mawaziri na […]

The post Picha tatu kutoka kwenye kikao cha Waziri Mkuu Majaliwa na Mawaziri wote kwenye meza moja appeared first on...

 

10 years ago

Mwananchi

LOTA MOLLEL : Mwanamitindo asiyependa fani yake idharauliwe

Ukizungumzia wanamitindo wanaofanya vizuri katika tasnia ya mitindo, huku wakiwa na juhudi zakuleta maendelea katika familia zao na nchi kwa ujumla huwezi kumsahau Lota Molel.

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU AONYA WAPOTOSHAJI KUHUSU CORONA

 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameonya juu ya upotoshwaji na utoaji holela wa taarifa kuhusu ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababisha na virusi vya corona (COVID 19) unaofanywa na watu mbalimbali nchini.
Amesema kuanzia sasa taarifa hizo zitatolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na ikilazimika zitatolewa na Waziri Mkuu na ikilazimika sana zitatolewa na viongozi wakuu wa nchi ili kuepusha mikanganyiko.
Waziri Mkuu ametoa onyo hilo leo (Jumamosi, Machi 21, 2020)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani