Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mkuu wa Lesotho arejea nyumbani

Waziri mkuu wa Lesotho Thomas Thabane amewasili nchini mwake baada ya jaribio la kutaka kumpindua kutibuka.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe amwakilisha Rais Kikwete kwenye hafla ya kumwapisha Waziri Mkuu mpya wa Lesotho

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) wa katikati alipokuwa anaingia kwenye uwanja uliotumika kumwapisha Waziri Mkuu mpya wa Lesotho, Mhe. Pakalitha Mosisili jijini Maseru jana. wengine katika picha, kutoka kulia ni Bibi Talha Mohammed, Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Mhe. Radhia Msuya, Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini ambaye pia anawakilisha Lesotho. kutoka kushoto ni Maafisa wa Serikali ya Lesotho.Waziri Mkuu mpya wa Lesotho, Mhe....

 

11 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Lesotho atorokea A.kusini

Waziri mkuu nchini Lesotho Tom Thabane ameiambia BBC kwamba amelitoroka taifa hilo baada ya kupata vitisho vya maisha yake.

 

5 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Lesotho Thomas Thabane kushtakiwa kwa mauaji ya mkewe

Waziri Mkuu amesema atastaafu mwezi Julai, baada ya polisi kumshutumu kwa mauaji ya mkewe kwa kwanza.

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu wa Lesotho anayehusishwa na mauaji ya mkewe akosa kufika kotini

Waziri Mkuu wa Lesotho, Thomas Thabane,  alikosa kufika mahakamani siku ya Ijumaa kwa ajili ya kesi ya mauaji inayomuandama, kutokana na kile kilichotajwa na familia yake kama sababu za kiafya. Polisi ya nchi hiyo siku ya Alkhamisi ilisema kiongozi huyo angeshtakiwa rasmi jana Ijumaa kwa mauaji ya mke wake wa zamani.

Potlako Thabane, mtoto wa kiume wa Thabane amesema Waziri Mkuu huyo amepelekwa nchini Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu, na wala hajakimbia nchi na mashitaka yanayomkabili...

 

5 years ago

BBCSwahili

Thomas Thabane: Kashfa ya mauaji ya mke yamng'oa madarakani waziri mkuu Lesotho

Waziri Mkuu wa Lesotho ni moja ya washukiwa wa mauaji ya mkewe wa zamani.

 

5 years ago

BBCSwahili

Thomas Thabane: Waziri mkuu wa Lesotho aondoka nchini huku mashtaka ya mauaji yakimkabili

Waziri mkuu wa Lesotho Thomas Thabane mekosa kufika mbele ya mahakama ambapo anakabiliwa na mashtaka ya kumuua mkewe wa zamani 2017.

 

5 years ago

Michuzi

KISA CORONA WAZIRI MKUU IRISH AREJEA KWENYE FANI YAKE YA UDAKTARI


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
MIAKA saba iliyopita Waziri mkuu wa Irish Leo Varadkar aliacha fani yake ya udaktari na kuingia kwenye siasa na leo amerudi katika fani yake ya awali akihudumu kama daktari ikiwa na sehemu ya kuisaidia nchi dhidi ya mlipuko wa virusi vya Corona (Covid -19) ambapo hadi sasa taifa hilo lina visa 4994 Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na chuo kikuu cha Johns Hopkins siku ya Jumatatu.
Varadkar aliyehudumu katika sekta ya afya kama daktari kwa miaka saba ...

 

5 years ago

BBCSwahili

Thomas Thabane: Waziri Mkuu wa zamani wa Lesotho 'alilipa majambazi kumuua mke wake wa zamani''

Stakabadhi zilizowasilishwa mahakamani na polisi zanaelezea jinsi Thomas Thabane alivyohusika na mauaji hayo.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA KILIMO MHE JAPHET HASUNGA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU MSAAFU MHE MIZENGO PINDA, NYUMBANI KWAKE JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa Mhe Mizengo Peter Pinda akimtembeza Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) kujionea mashamba ya zabibu alipozuru katika eneo la Zuzu leo tarehe 7 Aprili 2020 Jijini Dodoma. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa Mhe Mizengo Peter Pinda akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani