Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mkuu wa Lesotho anayehusishwa na mauaji ya mkewe akosa kufika kotini

Waziri Mkuu wa Lesotho, Thomas Thabane,  alikosa kufika mahakamani siku ya Ijumaa kwa ajili ya kesi ya mauaji inayomuandama, kutokana na kile kilichotajwa na familia yake kama sababu za kiafya. Polisi ya nchi hiyo siku ya Alkhamisi ilisema kiongozi huyo angeshtakiwa rasmi jana Ijumaa kwa mauaji ya mke wake wa zamani.

Potlako Thabane, mtoto wa kiume wa Thabane amesema Waziri Mkuu huyo amepelekwa nchini Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu, na wala hajakimbia nchi na mashitaka yanayomkabili...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Lesotho Thomas Thabane kushtakiwa kwa mauaji ya mkewe

Waziri Mkuu amesema atastaafu mwezi Julai, baada ya polisi kumshutumu kwa mauaji ya mkewe kwa kwanza.

 

5 years ago

BBCSwahili

Thomas Thabane: Kashfa ya mauaji ya mke yamng'oa madarakani waziri mkuu Lesotho

Waziri Mkuu wa Lesotho ni moja ya washukiwa wa mauaji ya mkewe wa zamani.

 

5 years ago

BBCSwahili

Thomas Thabane: Waziri mkuu wa Lesotho aondoka nchini huku mashtaka ya mauaji yakimkabili

Waziri mkuu wa Lesotho Thomas Thabane mekosa kufika mbele ya mahakama ambapo anakabiliwa na mashtaka ya kumuua mkewe wa zamani 2017.

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe amwakilisha Rais Kikwete kwenye hafla ya kumwapisha Waziri Mkuu mpya wa Lesotho

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) wa katikati alipokuwa anaingia kwenye uwanja uliotumika kumwapisha Waziri Mkuu mpya wa Lesotho, Mhe. Pakalitha Mosisili jijini Maseru jana. wengine katika picha, kutoka kulia ni Bibi Talha Mohammed, Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Mhe. Radhia Msuya, Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini ambaye pia anawakilisha Lesotho. kutoka kushoto ni Maafisa wa Serikali ya Lesotho.Waziri Mkuu mpya wa Lesotho, Mhe....

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Lesotho atorokea A.kusini

Waziri mkuu nchini Lesotho Tom Thabane ameiambia BBC kwamba amelitoroka taifa hilo baada ya kupata vitisho vya maisha yake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri Mkuu wa Lesotho arejea nyumbani

Waziri mkuu wa Lesotho Thomas Thabane amewasili nchini mwake baada ya jaribio la kutaka kumpindua kutibuka.

 

10 years ago

Bongo5

Rapper amuua mkewe na kujiua, mkewe alimsaliti na Trey Songz, Mayweather ashuhudia tukio zima la mauaji!

Rapper wa Marekani, Earl Hayes amemuua mke wake Stephanie Moseley aliyekuwa staa kwenye kipindi cha “Hit the Floor” cha VH1 kwa risasi na yeye kujiua kutokana na wivu wa mapenzi. Stephanie Moseley Hayes alikuwa ameumizwa na uhusiano wa kimapenzi aliokuwa nao mke wake na Trey Songz. Stephanie Moseley aliuawa nyumbani kwao na mume wake huyo […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Mheshimiwa Waziri Mkuu Pinda na mkewe wawasili Japan

PG4A5716

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana  na Balozi Mteule wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Masahiro Yoshida kwenye Hoteli ya New Otani jijini Tokyo  Machi 13, 2015 ambako Machi 14, 2015 anatarajiwa kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano Kuhusu namna ya kukabiliana na maafa  utakaofanyika Sendai. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). PG4A5728 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi Mteule wa Japan Nchini Tanzania, Mhe. Masahiro Yoshida kwenye Hoteli ya New Otani jijini Tokyo  Machi 13,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shughuli mbalimbali za Waziri Mkuu Pinda na mkewe Tunu wilayani Mlele

PG4A7542

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika  picha ya pamoja na wanafunzi  wa shule ya sekondari ya Usevya wakati alipoitembelea na kuzungumza na walimu na wanafunzi wa shule hiyo Januari 1, 2015. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A7551

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda akiwa katika  picha ya pamoja na walimu wa shule ya sekondari ya Usevya wakati alipoitembelea na kuzungumza na walimu na wanafunzi wa shule hiyo Januari 1, 2015.

PG4A7037

Mke wa Waziri Mkuu, Mama  Tunu Pinda  akionyesha DVD...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani