CORONA YAMREJESHA MLIMBWENDE KWENYE FANI YAKE YA UDAKTARI
![](https://1.bp.blogspot.com/-DwoNRHERP5I/Xo2bPIjowGI/AAAAAAALmfM/1ZV5v4_32X4Z3zFc5lVCTwm3TDr8cjsjwCLcBGAsYHQ/s72-c/iuj1n4b8_bhasha-mukherjee-miss-england_625x300_08_April_20.jpg)
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVBHASHA Mukherjee (24) ambaye ni mlimbwende wa Uingereza mwaka 2019 amerejea katika fani yake ya udaktari na kurejea Uingereza akitokea India ili kusaidia waathirika wa virusi vya Corona ambavyo vimesambaa duniani kote.
Mukherjee alipewa taji hilo Agosti mwaka jana (2019) na kuchukua mapumziko katika fani yake yake ya udaktari na kujikita zaidi katika shughuli za kijamii na tayari amerejea Uingereza kutoka nchini India katika safari ya shughuli za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-TSbu_X9XeH4/Xoy_w7AZJtI/AAAAAAALma0/kqM4TqfvtR4j71A4hi6-ApoEe6GBUsjqACLcBGAsYHQ/s72-c/602x338_cmsv2_5fb7f9bf-fdf2-5512-9381-5e381ad34029-4612992.jpg)
KISA CORONA WAZIRI MKUU IRISH AREJEA KWENYE FANI YAKE YA UDAKTARI
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
MIAKA saba iliyopita Waziri mkuu wa Irish Leo Varadkar aliacha fani yake ya udaktari na kuingia kwenye siasa na leo amerudi katika fani yake ya awali akihudumu kama daktari ikiwa na sehemu ya kuisaidia nchi dhidi ya mlipuko wa virusi vya Corona (Covid -19) ambapo hadi sasa taifa hilo lina visa 4994 Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na chuo kikuu cha Johns Hopkins siku ya Jumatatu.
Varadkar aliyehudumu katika sekta ya afya kama daktari kwa miaka saba ...
5 years ago
BBCSwahili16 May
Virusi vya corona: Simulizi ya mlimbwende wa zamani wa Rwanda aliyepona virusi
9 years ago
Mwananchi18 Oct
LOTA MOLLEL : Mwanamitindo asiyependa fani yake idharauliwe
10 years ago
Mtanzania30 May
Simba yamrejesha Mgosi
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
TIMU ya Simba imeendelea kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), safari hii imemrejesha mshambuliaji wake wa zamani, Musa Hassan Mgosi, huku ikimnasa pia kipa wa JKU ya Zanzibar, Mohammed Abrahman Mohammed.
Mgosi, aliyeichezea Mtibwa Sugar msimu uliopita, alitemwa kwenye kikosi hicho msimu wa 2010/11 na kutimkia DC Motema Pembe ya DRC, kabla ya kurejea tena nchini.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Mwenyekiti wa...
5 years ago
BBCSwahili06 Apr
Virusi vya Corona: Mama yake meneja wa Manchester City Pep Gardiola afariki kutokana na corona
5 years ago
BBCSwahili11 May
Virusi vya Corona: Je, Tanzania inajitenga na majirani kwenye mapambano ya corona?
5 years ago
BBCSwahili25 Apr
Virusi vya Corona: Nimekamatwa kwa kudanganya kwamba nina corona kwenye Facebook
10 years ago
Bongo Movies02 Jan
Lulu Amzawadia Nyumba Mama Yake Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael, ‘Lulu’siku ya jana alimfanyia sherehe mama yake mzazi kwa kufikisha miaka 45 ya kuzaliwa ilyofanyika kwenye hoteli ya Great Wall, Masaki ambapo mastaa kadhaa wa hapa bongo walihudhuria sherehe hiyo ambapo inadaiwa kuwa mbali kuandaa sherehe hizo mwanadada Lulu alimzawadia jumba mama yake ambayo inasemekana ipo Kimara hapa jijini Dar.
Hii ni kwa mijibu wa mwigizaji Flora Mvungi “H mama”ambae ni moja kati ya mastaa kadhaa waliohudhuria...
10 years ago
CloudsFM03 Feb
PETIT MAN AMFANYIA ‘’SURPRISE’DADA YAKE DIAMOND KWENYE SIKU YAKE YA KUZALIWA
Meneja wa msanii wa Bongo Fleva,Mirror,Petit Man kutoka kampuni ya Endless Fame chini yake Wema Sepetu jana alimfanyia Surprise mke wake ambaye ni dada yake aitwaye Esma Platinumz kwa kumzawadia zawadi ya gari kwenye sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika Samaki Samaki maeneo ya Masaki.
Katika Sherehe iliyohudhuliwa na mastaa kibao akiwemo Wema Sepetu,Petit Man wakati akimzawadia mke wake huyo hakuamini na kuanza kulia kwa furaha.
Kupitia Instagram Esma aliandika hivi....Thank u my husband for...