Mdee achangisha milioni 2.3/- kujenga daraja
MANENO SELANYIKA NA FARAJA MASINDE, DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), amefanya harambee kwa wananchi wa Kata ya
Bunju ‘A’ jijini Dar es Salaam ili kupata fedha za kujenga daraja.
Akizungumza mwishoni mwa wiki katika mkutano na wananchi, Mdee alisema fedha hizo zitatumika kujenga daraja katika kata hiyo ili kutatua kero ya usafiri kwa wananchi hao hasa kipindi cha mvua.
Mbali na harambee hiyo, Mdee aliwaahidi kuwapatia wakazi hao Sh milioni 5 kutoka mfuko wa jimbo ili...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWIZARA YA UJENZI KUJENGA DARAJA JIPYA LITAKALOPITA BAHARINI PEMBEZONI MWA DARAJA SELANDER
10 years ago
Mtanzania10 Mar
Tausi Likokola achangisha milioni 14 kusaidia albino
Na Mwandishi Wetu
BAADHI ya fedha zilizokusanywa usiku wa Tausi uliofanyika katika Hoteli ya Coral Beach Masaki jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, zimeelekezwa kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), kikundi cha Wamata na Kiwawede cha Mburahati ambacho kinatunza watoto wanaoishi katika mazingira magumu.
Usiku huo ulihudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo mwandishi mashuhuri, Jenerali Ulimwengu, mwanamitindo Mustafa Hasanali, aliyekuwa Miss Tanzania, Sitti Mtemvu na wengine...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-QnFCgYquN94/VISmXw7YG3I/AAAAAAAG1zc/hKskVlZ8p_Y/s72-c/unnamed%2B(30).jpg)
WAZIRI CHIKAWE ACHANGISHA ZAIDI YA MILIONI 22 KKKT NACHINGWEA
![](http://2.bp.blogspot.com/-QnFCgYquN94/VISmXw7YG3I/AAAAAAAG1zc/hKskVlZ8p_Y/s1600/unnamed%2B(30).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ZPFpQa6TPt4/VE3PjygJ3hI/AAAAAAAGte8/Z7jDttTiOnU/s72-c/1.jpg)
WAZIRI KAWAMBWA AWA "LAIGWANANI" ACHANGISHA MILIONI 35 UKARABATI WA SHULE YA ENABOISHU MKOANI ARUSHA
![](http://2.bp.blogspot.com/-ZPFpQa6TPt4/VE3PjygJ3hI/AAAAAAAGte8/Z7jDttTiOnU/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-WkOW3z1XvH4/VE3Pkrt0TzI/AAAAAAAGtfA/lwav7SQFtE4/s1600/2.jpg)
10 years ago
MichuziMke wa Waziri Mkuu achangisha Milioni 128 kwa ajili ya ujenzi wa Kanisa jijini Dar
9 years ago
Dewji Blog30 Sep
Makamu wa Rais Dk. Bilal achangisha Shs. 105 milioni kuhifadhi vyanzo vya maji milima ya Tao la Mashariki
![](http://3.bp.blogspot.com/-ZecOd7GQ3co/VgrU6vf7clI/AAAAAAAAKIE/fbRMji14D_8/s640/14%2B%25282%2529.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo Maalum, Mshauri wa kampuni ya VIP Engineering & Marketing, Fr. James Rugemalira, wakati wa hafla ya Uchangishaji fedha kwa Uhifadhi wa vyanzo vya maji katika Mabwawa ya kuzalisha Umeme ya Mtera, Kihansi, Kidatu, Nyumba ya Mungu na Pangani, iliyofanyika jana usiku Sept 28, 2015 kwenye Hoteli ya Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam. (Picha zote na OMR).
Na Daniel Mbega wa...
11 years ago
Mwananchi05 May
Wananchi wajitolea kujenga daraja
10 years ago
CloudsFM12 Feb
Shyrose,Halima Mdee wajitolea kujenga barabara ya Mbweni
Wabunge Shyrose Bhanji na Halima Mdee(Kawe) wamejitolea kujenga barabara ya Mbweni Malindi iliyopo nje ya jiji la Dar Es Salaam baada ya barabara hiyo kuwa kero kwa wakazi wa eneo hilo akiwemo mh.Shyrose Bhanji mwenyewe.
Shyrose alisema kuwa barabara hiyo ilikuwa kero kiasi kwamba alikuwa akilazimika wakati mwingine kulala mjini kutokana na ubovu wa barabara hiyo .
9 years ago
StarTV28 Dec
Wananchi Mbeya waokoa fedha za Serikali kwa kujenga daraja
WANANCHI wa Vijiji cha Shongo na Izumbwe kata ya Igale Mbeya Vijijini wamefanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi milioni 20 za Serikali katika kila kijiji baada ya kujenga kwa nguvu zao wenyewe madaraja mawili kwa kutumia mawe na miti bila ya kuweka nondo.
Madaraja hayo ambayo kwa mujibu wa Wataalam yangegharimu zaidi ya shilingi milioni 20 kwa kila moja endapo ujenzi wake ungefuata taratibu za Kiserikali, yamejengwa kwa gharama ya shilingi milioni Tano kila moja fedha zilizochangwa na wananchi...