WAZIRI KAWAMBWA AWA "LAIGWANANI" ACHANGISHA MILIONI 35 UKARABATI WA SHULE YA ENABOISHU MKOANI ARUSHA
![](http://2.bp.blogspot.com/-ZPFpQa6TPt4/VE3PjygJ3hI/AAAAAAAGte8/Z7jDttTiOnU/s72-c/1.jpg)
.Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Dk. Shukuru Kawambwa(kulia)akikabidhiwa Usinga unaomtambulisha kama mzee wa jamii ya Kimaasai(Laigwanani) na Askofu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania(KKKT)Dayosisi ya Kaskazini Kati mkoani Arusha,Solomon Masangwa wakati wa harambee ya kuchangia ukarabati wa Miundombinu iliyochakaa ya Shule ya Sekondari ya Enaboishu,Shule hiyo imeanzishwa miaka 48 iliyopita na KKKT.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Dk. Shukuru Kawambwa akitoa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog21 Oct
Dkt. Shukuru Kawambwa kuwa mgeni rasmi kwenye Harambee ya shule ya Sekondari ya Enaboishu mkoani Arusha
Na Beatrice Lyimo, Maelezo-DSM.
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Dkt. Shukuru Kawambwa (pichani) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Harambee ya kuchangia kuchangia ujenzi wa nyumba za walimu vyumba vya madarasa na ununuzi wa samani katika shule ya Sekondari ya Enaboishu iliyopo mkoani Arusha.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Bodi wa shule hiyo, Bw. Emmanuel Munga wakati alipokuwa akizungumza na waandishi jijini Dar Es Salaam.
Munga amesema kuwa Harambee hiyo inatarajiwa kufanyika...
10 years ago
GPLWAZIRI WA ELIMU KUONGOZA HARAMBEE YA SEKONDARI ENABOISHU, ARUSHA
10 years ago
MichuziMakalla achangisha sh 124m ujenzi wa shule ya kanisa mkoani Morogoro
Katika harambee hiyo fedha sh 124m zilipatikana kati ya hizo fedha taslimu sh 57m zilipatikana na 67m ikiwa ni ahadi. lengo la harambee ni kupata sh 120m kukamilisha majengo muhimu kuwezesha shule hiyo kufunguliwa januari mwakani.
Makalla...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-QnFCgYquN94/VISmXw7YG3I/AAAAAAAG1zc/hKskVlZ8p_Y/s72-c/unnamed%2B(30).jpg)
WAZIRI CHIKAWE ACHANGISHA ZAIDI YA MILIONI 22 KKKT NACHINGWEA
![](http://2.bp.blogspot.com/-QnFCgYquN94/VISmXw7YG3I/AAAAAAAG1zc/hKskVlZ8p_Y/s1600/unnamed%2B(30).jpg)
10 years ago
MichuziMke wa Waziri Mkuu achangisha Milioni 128 kwa ajili ya ujenzi wa Kanisa jijini Dar
10 years ago
MichuziWaziri Kawambwa afanya ziara Mkoani Morogoro
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa, amefanya ziara ya kikazi katika mkoa wa Morogoro iliyaonza Oktoba 20 na kufikia tamati 22, 2014
Katika ziara hiyo ya kikazi, waziri baada ya kupkea taarifa ya hali ya elimu mkoa, alitembelea Shule ya Kilakala Sekondari ya wasichana wa vipaji maalumu kwa ajili ya kupata taarifa za elimu na kukagua miundombinu ya shule.
Waziri huyo mwenye dhamana na sekta ya elimu, pia alikitembelea Chuo cha...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-dZ3OhqigiwM/XlYAqf_k8MI/AAAAAAAEFyQ/_RP2bC5YMuADqtoY2fffWUUAfDNZJhHzACLcBGAsYHQ/s72-c/5f862bf5-7543-4aa3-857b-df13ff516d68.jpg)
ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 154 ZATUMIKA KUJENGA VYUMBA VITATU VYA MADARASA,UKARABATI WA SHULE WILAYANI TANDAHIMBA
Akizindua madarasa hayo Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Sebastian Waryuba amesema madarasa hayo yamewekwa na madawati tayari kwa wanafunzi kuendelea na masomo
"Tumezindua madarasa haya lakini pia wametukabidhi shule ikiwa katika muonekano unaovutia ambapo kazi hii imefanywa na taasisi ya Eclat na Upendo ,"amesema Waryuba
Naye Mwenyekiti wa taasisi ya Eclat...
9 years ago
MichuziWAZIRI MAHIGA MKOANI KUFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga atafanya ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Arusha kuanzia leo Jumamosi tarehe 19 Desemba 2015.Atakapokuwa mkoani Arusha, Balozi Mahiga atafanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Dkt. Richard Sezibera. Mazungumzo yao yatahusu namna ya kutatua mgogoro wa kisiasa nchini Burundi.Aidha, Mhe. Waziri atatembelea eneo la Lakilaki ambalo limetengwa na...
11 years ago
Michuzi08 Jul
WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO, Dr. SHUKURU KAWAMBWA, AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI " IMPERIAL" KWA JINSI ILIVYO JIPANGA KUTOA ELIMU BORA.
Shule ya Sekondari Imperial, iko Msolwa-Chalinze.
Shule imejengwa...