Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI WA ELIMU KUONGOZA HARAMBEE YA SEKONDARI ENABOISHU, ARUSHA

Mwenyekiti wa bodi ya shule ya Enaboishu, Emmanuel Munga akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawako pichani). WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa, anatarajiwa  kuwa mgeni rasmi katika kuchangia harambee ya ujenzi wa madarasa na vyumba vya walimu wa Shule ya Sekondari Enaboishu  iliyoko wilayani Arumeru mkoani Arusha. Akiongea na waandishi wa habari leo, jijini Dar es Salaama, mwenyekiti wa bodi ya ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Shukuru Kawambwa kuwa mgeni rasmi kwenye Harambee ya shule ya Sekondari ya Enaboishu mkoani Arusha

Waziri-wa-Elimu-na-Mafunzo-ya-Ufundi-Dkt.-Shukuru-Kawambwa.

Na Beatrice Lyimo, Maelezo-DSM.

WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Dkt. Shukuru Kawambwa (pichani) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Harambee ya kuchangia kuchangia ujenzi wa nyumba za walimu vyumba vya madarasa na ununuzi wa samani katika shule ya Sekondari ya Enaboishu iliyopo mkoani Arusha.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Bodi wa shule hiyo, Bw. Emmanuel Munga wakati alipokuwa akizungumza na waandishi jijini Dar Es Salaam.

Munga amesema kuwa Harambee hiyo inatarajiwa kufanyika...

 

10 years ago

GPL

MHE LOWASSA AWASILI JIJINI ARUSHA KUONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA MSIKITI WA PATANDI

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwasili jijini Arusha kuongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa msikiti wa Patandi. Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akilakiwa na baadhi ya viongozi wa dini ya Kiislamu jijini Arusha alipowasili kwa ajili ya kuongoza harambee ya…

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI KAWAMBWA AWA "LAIGWANANI" ACHANGISHA MILIONI 35 UKARABATI WA SHULE YA ENABOISHU MKOANI ARUSHA

 .Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Dk. Shukuru Kawambwa(kulia)akikabidhiwa Usinga unaomtambulisha kama mzee wa jamii ya Kimaasai(Laigwanani) na Askofu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania(KKKT)Dayosisi  ya Kaskazini Kati mkoani Arusha,Solomon Masangwa wakati wa harambee ya kuchangia  ukarabati wa Miundombinu iliyochakaa ya Shule ya Sekondari ya Enaboishu,Shule hiyo imeanzishwa miaka  48 iliyopita na KKKT.  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Dk. Shukuru Kawambwa akitoa...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO, Dr. SHUKURU KAWAMBWA, AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI " IMPERIAL" KWA JINSI ILIVYO JIPANGA KUTOA ELIMU BORA.

Waziri wa Elimu na Mafunzo, Dr. Shukuru Kawambwa, jana Tarehe 7 July-2014, alitembelea maenesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (TANTRADE) , yajulikanayo kama maonesho ya Saba Saba, na kutembelea Banda la Shule ya Sekondari Imperial, Dr. Kawambwa ametoa pongezi kwa uongozi na waalimu wa Shule ya Sekondari Imperial, kwa Jinsi ilivyojipanga kuhakikisha inatoa Elimu Bora Nchini, inayokidhi viwango vya Kimataifa, kwa gharama nafuu.
Shule ya Sekondari Imperial, iko Msolwa-Chalinze.
Shule imejengwa...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI 'IMPERIAL' KWA JINSI ILIVYO JIPANGA KUTOA ELIMU BORA‏

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi , Dr. Shukuru Kawambwa akipokelewa na Mabalozi wa shule ya sekondari ya Imperial wakati alipowasili kwenye banda la shule hyo jana na kupata maelezo mbalimbali kutoka kwa Mkuu wa shule hiyo na waalimu. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi , Dr. Shukuru Kawambwa akiingia katika banda la shule ya sekondari Imperial.… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri awashusha vyeo ofisa elimu, wakuu wa shule za sekondari

Naibu Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Kassim Majaliwa, ametengua uteuzi wa Ofisa Elimu ya Sekondari wa Wilaya ya Mbinga, Hanji Godigodi na wakuu sita wa shule za sekondari wilayani humo kwa tuhuma za ubadhirifu Sh60 milioni.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU AFURAHISHWA NA UJENZI WA SEKONDARI YA WASICHANA WILAYANI CHAMWINO

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndungai akitoa ufafanuzi juu ya maendeleo ya ujenzi wa shule maalum ya wasichana inayojengwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma.Muonekano wa baadhi ya majengo ya shule ya sekondari maalum ya wasichana inayojengwa wabunge wa  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Chamwino Jijini Dodoma
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kuunga mkono juhudi za wabunge katika ujenzi wa shule...

 

10 years ago

GPL

SEKONDARI YA ILBORU KUFANYIWA HARAMBEE

Katibu wa Ilboru Alumni Foundation, Elianshisaria Munisi (wa kwanza kushoto) akizungumza katika kikao hicho na pembeni ni wajumbe wa kamati hiyo. Wanahabari wakiwasikiliza wanachama waliosoma Ilboru.…

 

9 years ago

Michuzi

HARAMBEE YA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YAFANYIKA WILAYANI SIMANJIRO

 Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Mahmoud Kambona akizungumza kwenye harambee ya ujenzi wa shule ya sekondari ya taasisi ya masjid Nuuru ya Mji mdogo wa Mirerani ambapo zilipatikana zaidi ya sh16 milioni (kushoto) ni Imamu wa masjid hiyo Mohames Shauri na kulia ni Willy Mushi meneja wa mgodi wa Tanzanite Africa. Mshairi wa mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Husna Hussein akimkabidhi mkuu wa wilaya hiyo Hashim Kambona, shairi alilolighani kwenye chakula...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani