Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makalla achangisha sh 124m ujenzi wa shule ya kanisa mkoani Morogoro

Naibu waziri maji Amos Makalla leo ameongoza waumini wa kanisa kkkt dayosisi ya mashariki , viongozi wa majimbo na sharika zake katika harambee ya kuchangisha fedha za ujenzi wa shule ya Elbeneza itakayokuwa kwa ajili ya shule ya msingi na sekondari. 
Katika harambee hiyo fedha sh 124m zilipatikana kati ya hizo fedha taslimu sh 57m zilipatikana na 67m ikiwa ni ahadi. lengo la harambee ni kupata sh 120m kukamilisha majengo muhimu kuwezesha shule hiyo kufunguliwa januari mwakani. 
Makalla...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mke wa Waziri Mkuu achangisha Milioni 128 kwa ajili ya ujenzi wa Kanisa jijini Dar

Mke wa Waziri Mkuu,MamaTunu Pinda akipokea kiasi cha dola elfu moja kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko utafiti na huduma kwa wateja wa Benki ya CRDB,Tully Esther Mwampamba kama mchango wake wa kuendeleza ujenzi wa Kanisa la kiinjili Moroviani Tanzania (KKMT) Mburahati jijini Dar es salaam.kulia ni Askofu David Martin Mwalyambile wa kanisa hilo Mama Pinda alikuwa mgeni rasimi katika kuendesha harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa hilo ambapo kuliweza kupatikana kiasi cha shilingi milioni mia...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI KAWAMBWA AWA "LAIGWANANI" ACHANGISHA MILIONI 35 UKARABATI WA SHULE YA ENABOISHU MKOANI ARUSHA

 .Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Dk. Shukuru Kawambwa(kulia)akikabidhiwa Usinga unaomtambulisha kama mzee wa jamii ya Kimaasai(Laigwanani) na Askofu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania(KKKT)Dayosisi  ya Kaskazini Kati mkoani Arusha,Solomon Masangwa wakati wa harambee ya kuchangia  ukarabati wa Miundombinu iliyochakaa ya Shule ya Sekondari ya Enaboishu,Shule hiyo imeanzishwa miaka  48 iliyopita na KKKT.  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Dk. Shukuru Kawambwa akitoa...

 

11 years ago

Michuzi

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOS MAKALLA MKOANI MOROGORO

 Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla ( wa kwanza kulia ) akisikiliza jambo kutoka kwa Mtaalamu wa  mradi wa Millennium Challenge Account (MCT), Sean Osullisan   wakati  alipotembelea  machujio ya kusafisha na kutibu maji eneo la Mafiga , kwenye  miradi ya maji ya  Mamlaka ya Majisfi na Usafi wa Mazingira Manispaa ya Morogoro (MORUWASA).
 Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla ( wa kwanza kulia ) akisikiliza jambo kutoka kwa Mtaalamu wa  mradi wa Millennium Challenge Account (MCT), Sean...

 

9 years ago

Michuzi

DK. KIMEI AONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA LA KKKT USHARIKA WA SIHA MKOANI KILIMANJARO

  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa ibada maalum iliyofanyika katika Kanisa la KKKT Usharika wa Siha Sango Mkoani Kilimanjaro. Ibada hiyo ilikwenda sambamba na harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa hilo ambapo zaidi ya shs Milioni 100 zilipatikana.















Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kiijili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Cuthbert Temba akiongoza ibada. Waumini wa Kanisa hilo wakiwa katiba ibada.  Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Goodfrey...

 

10 years ago

Michuzi

Pinda aongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa Katoliki la Kibiti Mkoani Pwani

 Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipokea picha ya mji wa Jerusalemu kutoka kwa Muadhama, Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo   katika chakula cha jioni kilichoandaliwa katika makazi Muadhama, Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo Kurasini jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa kanisa Katoliki la Kibiti Mkoani Pwani Waziri Mkuu alikuwa mgeni rasimi katika shughuli hiyo ambapo kulipatikana pesa tasilimu na ahadi shilingi milioni miamoja ishirini na saba laki...

 

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA KIKAZI YA WANAHABARI KATIKA UJENZI WA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI GEREZA IDETE MKOANI MOROGORO

Mkuu wa Gereza Idete, Mkoani Morogoro Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Beno Hunja akifanya mahojiano Maalum na Waandishi wa Habari(hawapo pichani) walipotembelea Ofsini kwake Desemba 17, 2014 kujionea ujenzi unaoendelea wa mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji. Mradi huo unajengwa kwa kutumia fedha za ndani na utagharimu kiasi cha Milioni 2.8 hadi kukamilika kwake hivyo kukamilika kwa mradi huo kutalifanya Jeshi la Magereza kuzalisha mazao ya chakula kwa wingi kuliko hivi sasa.Waandishi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Lowassa achangisha zaidi ya Sh. Mil 200 ujenzi wa msikiti wa Patandi Arusha

unnamed (1)

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli mkoani Arusha, Edward Lowasa akiwapungia mikono wafuasi wake waliofika katika uwanja wa msikiti mkuu katika hafla ya harambee ya ujenzi wa msikiti wa Patandi ambapo jumla ya kiasi cha zaidi ya sh,200 milioni zilipatikana katika harambee hiyo(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).

unnamed

Umati mkubwa wa wananchi wa Arusha wakiwa wanampungia mkono Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa jimbo la Monduli mkoani Arusha ,Edward Lowasa akiwapungia mikono...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani