Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Kawambwa afanya ziara Mkoani Morogoro

Picha na Habari Na John Nditi, Morogoro
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa, amefanya ziara ya kikazi katika mkoa wa Morogoro iliyaonza  Oktoba 20 na kufikia tamati  22, 2014
Katika ziara hiyo ya kikazi, waziri baada ya kupkea taarifa ya hali ya elimu mkoa, alitembelea Shule ya  Kilakala Sekondari ya wasichana wa vipaji maalumu kwa ajili ya kupata taarifa za elimu na kukagua miundombinu ya shule.
Waziri huyo mwenye dhamana na sekta ya elimu, pia alikitembelea Chuo cha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA KATIKA MAKABURI YA WAHANGA WA AJARI YA MOTO MOROGORO


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kasimu Majaliwa akiwa katika makaburi ya wahanga wa Ajari ya Moto iliyotekea Agosti 10 Mwaka jana eneo la Msavu Mkoani Morogoro.Muonekano wa nje katika eneo la Makaburi ya kola Manispaa ya Morogoro,ambapo pia wamezikwa wahanga wa ajari ya moto.
Na Farida Saidy, Globu ya Jamii Morogoro 
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kasimu Majaliwa Amefanya ziara katika makaburi ya wahanga wa Ajari ya Moto iliyotekea Agost 10 Mwaka jana,...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Ujenzi Afanya ziara Mkoani Mbeya

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Magufuli akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Ileje Bi Rosemary Sitaki Sinyamule wakati wa Ukaguzi wa daraja la mto Songwe linalounganisha Wilaya ya Ileje na nchi ya Malawi.Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli katikati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Isongole-Itumba km 9 katika Wilaya ya Ileje Mkoani Mbeya. Kulia ni Mbunge wa Ileje Mheshimiwa Aliko Kibona. Wengine ni Mkuu wa Wilaya ya Ileje Bi Rosemary Sitaki Sinyamule, Katibu Mkuu wa Wizara...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI LUKUVI AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI TABORA

 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh William Lukuvi akisisitiza jambo wakati alipozungumza na Wakuu wa sekta mbalimbali mkoani Tabora leo kuhusiana na masuala yanayohusu sekta ya ardhi mkoani humo katika ukumbni wa mikutano wa Isike. Kulia ni mkuu wa Wilaya ya Tabora Mh Suleiman Kumchaya  na kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Bi Kudra Mwinyimvua.  Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh William Lukuvi akizungumza na Wananchi wa Eneo la Malabi katika Manispaa ya...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAJI AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI MOROGORO

Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla amemaliza ziara yake ya siku tisa mkoani Morogoro mwishoni mwa wiki.
Mhe. Makalla amemaliza ziara hiyo kwa kutembelea miradi ya maji ya Halmashauri za Wilaya za Ulanga na Kilombero na kukagua utekelezaji wake.
“Utekelezaji unaenda vizuri, isipokuwa kasi iongezwe ili miradi yote ikamilike kwa wakati, na nitafuatilia kwa ukaribu miradi yote niliyoikagua na nitarudi kuangalia maendeleo yake”. Wakati umefika kuhakikisha sekta ya maji inatekeleza sera zake...

 

11 years ago

Michuzi

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOS MAKALLA MKOANI MOROGORO

 Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla ( wa kwanza kulia ) akisikiliza jambo kutoka kwa Mtaalamu wa  mradi wa Millennium Challenge Account (MCT), Sean Osullisan   wakati  alipotembelea  machujio ya kusafisha na kutibu maji eneo la Mafiga , kwenye  miradi ya maji ya  Mamlaka ya Majisfi na Usafi wa Mazingira Manispaa ya Morogoro (MORUWASA).
 Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla ( wa kwanza kulia ) akisikiliza jambo kutoka kwa Mtaalamu wa  mradi wa Millennium Challenge Account (MCT), Sean...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI LUKUVI AFANYA ZIARA MKOANI IRINGA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Lukuvi akizungumza na watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na wale wa sekta ya ardhi na Sekretarieti ya Mkoa wa Iringa ambapo alisisitiza Shirika la Nyumba nchini kuhakikisha kuwa linaboresha mazingira ya Manispaa ya Iringa kwa kuhakikisha kuwa linajenga nyumba bora, pia aliagiza Shirika hilo kufanya utafiti ili liweze kujenga nyumba za gharama nafuu zaidi ili...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AFANYA ZIARA MKOANI MBEYA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (Mb), akiwa ziarani mkoani Mbeya, akizungumza na watendaji wa Mkoa, wa Halmashauri ya jiji, baada ya kuwawajibisha watendaji wawili wa Halmashauri kwa kuwasimamisha kazi na kuwakabidhi kwa taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kwa tuhuma za kujimilikisha viwanja 25 kinyume na sheria. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (Mb), akisisitiza jambo, wakati alipokuwa anatoa maelekezo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani