Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAIBU WAZIRI WA MAJI AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI MOROGORO

Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla amemaliza ziara yake ya siku tisa mkoani Morogoro mwishoni mwa wiki.
Mhe. Makalla amemaliza ziara hiyo kwa kutembelea miradi ya maji ya Halmashauri za Wilaya za Ulanga na Kilombero na kukagua utekelezaji wake.
“Utekelezaji unaenda vizuri, isipokuwa kasi iongezwe ili miradi yote ikamilike kwa wakati, na nitafuatilia kwa ukaribu miradi yote niliyoikagua na nitarudi kuangalia maendeleo yake”. Wakati umefika kuhakikisha sekta ya maji inatekeleza sera zake...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOS MAKALLA MKOANI MOROGORO

 Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla ( wa kwanza kulia ) akisikiliza jambo kutoka kwa Mtaalamu wa  mradi wa Millennium Challenge Account (MCT), Sean Osullisan   wakati  alipotembelea  machujio ya kusafisha na kutibu maji eneo la Mafiga , kwenye  miradi ya maji ya  Mamlaka ya Majisfi na Usafi wa Mazingira Manispaa ya Morogoro (MORUWASA).
 Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla ( wa kwanza kulia ) akisikiliza jambo kutoka kwa Mtaalamu wa  mradi wa Millennium Challenge Account (MCT), Sean...

 

10 years ago

Michuzi

Ziara ya naibu waziri maji mkoani Njombe

Naibu Waziri Maji,Mh. Amos Makalla ametembelea mamlaka ya maji na usafi wa mazingira mkoani Njombe (NJUWASA) na kutembelea vyanzo vya maji vya Magoda,Hagafilo,Njenga na Kibena pia Amekagua ujenzi wa mradi wa kuboresha maji mji wa Njombe kuanzia kwenye chanzo cha Mto Njenga,ulazaji mabomba na matanki makubwa.
Mradi wa Njenga utagharimu kiasi cha sh. 3.5 bilioni na tayari umeshagharimu sh 2.2 bilioni na utakamilika mapema machi mwaka huu na kuongeza upataikanaji maji kutoka asilimia 43 hadi...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI TABORA,ALA CHAKULA CHA MAMALISHE KUWAUNGA MKONO,AHITIMISHA ZIARA YAKE KWA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA/

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Stendi Kuu ya Zamani mjini Tabora, baada ya kumaliza ziara yake ya siku 11 katika mkoa huo, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata  Ilani ya CCM, kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi Wakazi wa Mji wa Tabora Mjini  wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOS MAKALA AENDELEA NA ZIARA YAKE JIJINI DAR ES SALAAM

IMG_0979  Naibu Waziri wa Maji, Amos Makala, akifungua maji ya mradi wa kisima cha maji, Chang’ombe Unubini, wilaya ya Temeke. IMG_1007  Naibu Waziri wa Maji, Amos Makala akizungumza na wakazi wa eneo la mradi wa kisima cha maji cha Kichapwi, kata ya Kilakala, wilaya ya Temeke, kulia ni Mwenyekiti wa mtaa wa Barabara ya Mwinyi, Yahya Mnali. IMG_1011  Wakazi wa eneo la mradi wa kisima cha maji Kichapwi, kata ya Kilakala, wilaya ya Temeke, wakimsikiliza Naibu Waziri wa Maji, Amos Makala (hayupo pichani). Mradi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani