Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ziara ya naibu waziri maji mkoani Njombe

Naibu Waziri Maji,Mh. Amos Makalla ametembelea mamlaka ya maji na usafi wa mazingira mkoani Njombe (NJUWASA) na kutembelea vyanzo vya maji vya Magoda,Hagafilo,Njenga na Kibena pia Amekagua ujenzi wa mradi wa kuboresha maji mji wa Njombe kuanzia kwenye chanzo cha Mto Njenga,ulazaji mabomba na matanki makubwa.
Mradi wa Njenga utagharimu kiasi cha sh. 3.5 bilioni na tayari umeshagharimu sh 2.2 bilioni na utakamilika mapema machi mwaka huu na kuongeza upataikanaji maji kutoka asilimia 43 hadi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAJI AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI MOROGORO

Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla amemaliza ziara yake ya siku tisa mkoani Morogoro mwishoni mwa wiki.
Mhe. Makalla amemaliza ziara hiyo kwa kutembelea miradi ya maji ya Halmashauri za Wilaya za Ulanga na Kilombero na kukagua utekelezaji wake.
“Utekelezaji unaenda vizuri, isipokuwa kasi iongezwe ili miradi yote ikamilike kwa wakati, na nitafuatilia kwa ukaribu miradi yote niliyoikagua na nitarudi kuangalia maendeleo yake”. Wakati umefika kuhakikisha sekta ya maji inatekeleza sera zake...

 

11 years ago

Michuzi

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOS MAKALLA MKOANI MOROGORO

 Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla ( wa kwanza kulia ) akisikiliza jambo kutoka kwa Mtaalamu wa  mradi wa Millennium Challenge Account (MCT), Sean Osullisan   wakati  alipotembelea  machujio ya kusafisha na kutibu maji eneo la Mafiga , kwenye  miradi ya maji ya  Mamlaka ya Majisfi na Usafi wa Mazingira Manispaa ya Morogoro (MORUWASA).
 Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla ( wa kwanza kulia ) akisikiliza jambo kutoka kwa Mtaalamu wa  mradi wa Millennium Challenge Account (MCT), Sean...

 

9 years ago

Michuzi

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOS MAKALLA KATIKA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA UJENZI WA MAJI MKOA WA DAR ES SALAAM

????????????????????????????????????Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akiwa ameongozana na wakandarasi wa miradi na maofisa kutoka Wizara ya maji. wakikagua ujazo wa maji Ruvu Darajani.????????????????????????????????????Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla pamoja na wakandarasi wa miradi na maofisa kutoka Wizara ya maji. wakikagua wakiangalia kina cha maji kilipofikia.????????????????????????????????????Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (wa pili kushoto) akiwa ameongozana na Meneja mradi wa Kampuni ya WABAG kutoka India. Pintu Dutta (watatu kulia) Kaimu Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na...

 

10 years ago

Michuzi

Ziara ya naibu waziri wa maji Amos Makalla Mbeya vijijini

Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla amefanya ziara ya vijiji mbalimbali Mbeya Vijijini ambako amezindua mradi mkubwa maji vijiji vya Shongo na Igale maelfu wafurahia. Katika ziara hiyo kaagiza wakala wa visima (DDCA) kuchimba kisima kirefu kijjiji cha Mjele kutekeleza ahadi ya mhe Rais Jakaya Kikwete kuwaokoa wananchi maelfu kufuata maji umbali wa kilomita 7. Pia ametoa ahadi ya kuanza utekelezaji wa mradi wa maji wa maji vijiji vya Iwindi,Mwashiwawala na Izumbwe ambao ulisimama baada...

 

9 years ago

Michuzi

ZIARA YA NAIBU WAZIRI MAJI AMOS MAKALLA MJINI GEITA

NAIBU waziri wa maji Amos Makalla leo ametembelea mradi  unaotekelezwa kwa ushirikiano wa serikali na mgodi wa dhahabu wa Geita(GGM) wa uboreshaji huduma ya maji kwa mji wa Geita, Mradi huu unagharimu fedha sh 10 bilioni ambao kukamilika kwake kutaongeza huduma ya upatikanaji maji kutoka asilimia 13 iliopo sasa hadi  kufikia asilimia 57.
Kwa mujibu wa tathmini ya kazi iliyofanyika mradi huu unatarajiwa kukamilika  mwishoni mwa mwezi august mwaka huu na naibu waziri wa maji ameagiza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani