Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS JK APOKEA TUZO YA KUKUZA NA KUTHAMINI UTAFITI NCHINI

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, kulia akipokea zawadi kwa niaba ya Rais Jakaya Kikwete kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Dk Mwele Malecela kutokana na mchango wake mkubwa katika kukuza na kuthamini utafiti nchini, wakati wa Kongamano la 29 la Kisayansi lililoandaliwa na taasisi hiyo ili kuwasilisha na kujadili matokeo ya tafiti za tiba katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Kongamano hilo linafanyika jijini Dar es Salam kwa siku tatu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete apokea Tuzo ya Uongozi Bora nchini

mzee

 Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali Bwana Ludovick Utouh akikmabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum kwa kutambua mchango wange kwa taasisi simamizi katika kuimarisha Uwazi,Uadilifu na uwajibikaji wakati wa hafla maalum ya chakula cha jioni iliyofanyika katika ukumbi wa  wa kimataifa wa  mikutano Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam

Bwana Utouh alikabidhi Tuzo hiyo kwa niaba ya taasisi sita ambazo ni Bodi ya Taifa ya wahasibu na wakaguzi,TAKUKURU, Mamlaka ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Utafiti: Urani inaweza kuua au kukuza uchumi nchini

Tanzania inaanza kuchimba madini ya urani katika mbuga ya wanyama ya Selous, eneo lililo chini ya udhamini wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughilikia mazingira maarufu kama World Heritage.

 

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete apokea Tuzo ya Utawala Bora

 ,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum ya “Africa Achiever’s Award in The Category of Good governance in Africa,” wakati wa hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.Dkt.Migiro alimwakilisha Rais Kikwete katika hafla ya kutunukiwa Tuzo hiyo huko Afrika ya Kusini hivi karibuni.
,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum ya “Africa Achiever’s Award in The...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE APOKEA TUZO YA KIONGOZI BORA AFRIKA MASHARIKI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea Tuzo ya Kiongozi Bora Afrika Mashariki kutoka katika taasisi ya East Africa Book of Records yenye makao yake makuu jijini Kampala Uganda.Pichani kiongozi wa Taasisi hiyo Dkt.Paul Bamutize akimkabidhi Rais Kikwete tuzo hiyo wakati wa hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaanm leo asubuhi.Sambamba na Tuzo hiyo Rais kikwete amepokea tuzo ya kuitambua Tanzania kama taifa bora Afrika Mashariki kwa kudumisha Amani na Utulivu,Huduma bora za...

 

11 years ago

GPL

RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA TUZO YA KIONGOZI BORA BARANI AFRIKA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea Tuzo ya Utumishi Bora wa Umma Barani Afrika kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Benard Membe (kulia) kufuatia mchango mkubwa alioutoa  kwa maendeleo ya wananchi wa Tanzania na Bara la Afrika.…

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE APOKEA HATI YA UTAMBULISHO WA BALOZI WA DENMARK NCHINI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akipokea hati ya utambulisho ya Balozi wa Denmark nchini Tamzania Einar Hebogard Jensen (kulia) leo Ikulu jijini Dar es salaam wakati alipokwenda kujitambulisha. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kulia) akibadilishana mawazo na Balozi wa Denmark nchini Tamzania Einar Hebogard Jensen (kushoto) wakati alipokwenda kujitambulisha na kukabidhi hati ya utambulisho leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Balozi...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete apokea hati ya utambulisho wa Balozi wa Argentina nchini

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Argentina nchini Tanzania Mhe. Bibianna Lucila Johnes ikulu jijini Dar es Salaam na kisha kufanya mazungumzo mafupi na balozi huyo.(picha na Freddy Maro)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani