RAIS KIKWETE APOKEA HATI YA UTAMBULISHO WA BALOZI WA DENMARK NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akipokea hati ya utambulisho ya Balozi wa Denmark nchini Tamzania Einar Hebogard Jensen (kulia) leo Ikulu jijini Dar es salaam wakati alipokwenda kujitambulisha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kulia) akibadilishana mawazo na Balozi wa Denmark nchini Tamzania Einar Hebogard Jensen (kushoto) wakati alipokwenda kujitambulisha na kukabidhi hati ya utambulisho leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
JK APOKEA HATI YA UTAMBULISHO WA BALOZI WA DENMARK NCHINI



10 years ago
Michuzi
Rais Kikwete apokea hati ya utambulisho wa Balozi wa Argentina nchini


11 years ago
Michuzi17 Jul
Rais Kikwete apokea Hati za Utambulisho za Balozi wa New Zealand hapa nchini
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA BALOZI MPYA WA COMORO NCHINI TANZANIA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi wa Comoro Mhe. Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih ikulu jijini Dar es Salaam jana Januari 11, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe kwa balozi wa Comoro Mhe. Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih ikulu jijini Dar es Salaam jana Januari 11, 2014.…
...
11 years ago
GPL
RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA BALOZI WA RWANDA NA NORWAY, AMWAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI RWANDA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akimkaribisha rasmi Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania,Balozi Eugene Segore Kayihura alipowasilisha hati za utambulisho Ikulu jijini Dar es salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimkaribisha rasmi Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania,Balozi Eugene Segore Kayihura… ...
10 years ago
VijimamboRais Kikwete apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Misri
10 years ago
VijimamboRais Kikwete apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Singapore
10 years ago
VijimamboRais Kikwete apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania