Rais Kikwete apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Singapore
Balozi wa Singapore nchini Tanzania, Mhe. Tan Puay Hiang akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu kwa ajili ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mhe. Rais.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Singapore mwenye kazi yake nchini Singapore, Mhe. Tan Puay Hiang (kulia)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberatta Mulamula (kushoto)...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog28 Oct
Rais Kikwete apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi wa Misri, Singapore, Israel na Ufilipino
10 years ago
VijimamboRais Kikwete apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino
10 years ago
VijimamboRais Kikwete apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Israel
10 years ago
VijimamboRais Kikwete apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Misri
10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA BALOZI MPYA WA COMORO NCHINI TANZANIA
10 years ago
Michuzi
Rais Kikwete apokea hati ya utambulisho wa Balozi wa Argentina nchini


10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE APOKEA HATI YA UTAMBULISHO WA BALOZI WA DENMARK NCHINI


