Rais Kikwete apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi wa Misri, Singapore, Israel na Ufilipino
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino nchini Tanzania mwenye makazi nchini Kenya, Mhe. Bayani V. Mangibin. Hafla hiyo imefanyika Ikulu Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2015.
Balozi Mangibin akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam
Balozi Mangibin (kulia) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboRais Kikwete apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino
10 years ago
VijimamboRais Kikwete apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Singapore
10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI
10 years ago
VijimamboRais Kikwete apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Israel
10 years ago
VijimamboRais Kikwete apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Misri
10 years ago
Vijimambo07 Oct
RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI



Balozi mteule wa Msumbiji nchini Tanzania Mhe. Monica Patricio Clemente akikabidhi hati ya...
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WA USWISI NA UTURUKI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM



10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WA USWISI NA UTURUKI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO



11 years ago
Michuzi.jpg)
JK apokea hati za utambulisho ikulu kutoka kwa mabalozi wanne