Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Misri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mpya wa Misri hapa nchini, Mhe. Yasser Ahmed Al Eldin Elshawaf. Hafla hiyo imefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2015. Mhe. Rais Kikwete akimkaribisha Balozi Elshawaf. Mhe. Rais Kikwete akimtambulisha kwa Balozi Elshawaf, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula. 
Balozi Elshawaf akisalimiana na Mkurugenzi wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi wa Misri, Singapore, Israel na Ufilipino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino nchini Tanzania mwenye makazi nchini Kenya,  Mhe. Bayani V. Mangibin. Hafla hiyo imefanyika Ikulu Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2015.  Balozi Mangibin akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam Balozi Mangibin (kulia) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi...

 

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Singapore

Balozi wa Singapore nchini Tanzania, Mhe. Tan Puay Hiang akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu kwa ajili ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mhe. Rais. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Singapore mwenye kazi yake nchini Singapore, Mhe. Tan Puay Hiang (kulia) 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberatta Mulamula (kushoto)...

 

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino nchini Tanzania mwenye makazi nchini Kenya, Mhe. Bayani V. Mangibin. Hafla hiyo imefanyika Ikulu Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2015. Balozi Mangibin akizaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam Balozi Mangibin (kulia) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberatta...

 

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Israel

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi mpya wa Israel hapa nchini mwenye Makazi yake nchini Kenya, Mhe. Yahel Vilan mara baada ya kupokea Hati zake za utambulisho. Hafla hiyo imefanyika Ikulu, Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2015. Mhe. Rais Kikwete akimtambulisha kwa Balozi Vilan, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula. Balozi Vilan akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki...

 

9 years ago

GPL

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino nchini Tanzania mwenye makazi nchini Kenya, Mhe. Bayani V. Mangibin. Hafla hiyo imefanyika Ikulu Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2015. Balozi Mangibin akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. Balozi Mangibin (kulia) akisalimiana na Katibu Mkuu wa...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA BALOZI MPYA WA COMORO NCHINI TANZANIA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi wa Comoro Mhe. Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih ikulu jijini Dar es Salaam jana Januari 11, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe kwa  balozi wa Comoro Mhe. Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih ikulu jijini Dar es Salaam jana Januari 11, 2014.…
...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE APOKEA HATI YA UTAMBULISHO WA BALOZI WA DENMARK NCHINI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akipokea hati ya utambulisho ya Balozi wa Denmark nchini Tamzania Einar Hebogard Jensen (kulia) leo Ikulu jijini Dar es salaam wakati alipokwenda kujitambulisha. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kulia) akibadilishana mawazo na Balozi wa Denmark nchini Tamzania Einar Hebogard Jensen (kushoto) wakati alipokwenda kujitambulisha na kukabidhi hati ya utambulisho leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Balozi...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete apokea hati ya utambulisho wa Balozi wa Argentina nchini

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Argentina nchini Tanzania Mhe. Bibianna Lucila Johnes ikulu jijini Dar es Salaam na kisha kufanya mazungumzo mafupi na balozi huyo.(picha na Freddy Maro)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani