ZSTC yastawisha upya zao la karafuu, Zanzibar.
![](http://2.bp.blogspot.com/-I9aZ0DLOn2U/U5BDnDsTA9I/AAAAAAAFnzk/jEpofW6FBNw/s72-c/unnamed+(10).jpg)
Zanzibar ni visiwa vinavyosifika kwa uzalishaji wa karafuu bora duniani. Katika miaka 30 ya nyuma pia ilisifika kwa uzalishaji karafuu nyingi, wastani wa tani 8,605 zilikuwa zikizalishwa kwa mwaka.
Jamii ya wakati huo walikuwa wakizijali, wakizithamini na wakizipenda sana karafuu ukilinganisha na kizazi cha sasa. Walihakikisha karafuu zao wakiuza vituoni tena zinakuwa safi, zimekauka vizuri na zinapata daraja la kwanza.
Katika miaka hiyo zao la karafuu lilikuwa ndiyo tegemeo kubwa la pato...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-34G9XCvFMoY/U_TKmsZ-D2I/AAAAAAAGA88/uwUKZ-wusR4/s72-c/unnamed%2B(43).jpg)
ZSTC na jitihada za kuinua wakulima wa karafuu Zanzibar
![](http://3.bp.blogspot.com/-34G9XCvFMoY/U_TKmsZ-D2I/AAAAAAAGA88/uwUKZ-wusR4/s1600/unnamed%2B(43).jpg)
9 years ago
VijimamboRais wa Zanzibar Dk Shein Azindua Mfuko wa Maendeleo ya Zao la Karafuu Zanzibar
11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
Wakulima uzeni karafuu ZSTC
ZANZIBAR ina visiwa vya Unguja na Pemba. Wakazi wake wanajishughulisha na uvuvi, ufugaji na wengine wamejielekeza katika kilimo cha karafuu. Karafuu ambayo ni muhimu katika kukuza uchumi, hivi sasa imepanda...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-7rbVGi8fN1o/Vmak6Mgol_I/AAAAAAAIK28/fwRt6OHp3mo/s72-c/IMG_5263.jpg)
MAKALA: Zao la Karafuu laweza kuwa uti wa mgongo wa Uchumi Zanzibar
Kuimarisha Zao la Karafuu ni sawa na kuimarisha Uchumi na Maendeleo ya nchi, jitihada za Wadau ni muihimu ili kufika lengo la Serikali la kuifanya Sekta ya Zao la Karafuu kuwa uti wa mgongo wa Uchumi liweze kufikiwa.
Kutokana na umuhimu wa Sekta ya Karafuu kwa Maendeleo ya Uchumi Serikali imefanya mageuzi makubwa katika sekta hiyo kwa lengo la kuongeza uzalishaji na tija kwa Wakulima na Taifa kwa jumla.
Katika utekelezaji wa Mageuzi hayo yaliyoanza mwaka...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-PguvS0TgIPY/XvXrLfqS5CI/AAAAAAALvio/jcfCWgcxwA0USMWqPO2yxWYPrsOJgXUuwCLcBGAsYHQ/s72-c/SABUNI%2B1.jpeg)
WANAWAKE WAJASIRIAMALI VISIWANI PEMBA WASHAURIWA KUTUMIA VIZURI NEEMA YA ZAO LA KARAFUU ILI KUZALISHA BIDHAA
Na Muhammed Khamis-TAMWA-Zanzibar
MKURUGENZI wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake( TAMWA- Zanzibar) Dkt.Mzuri Issa amewashauri wanawake wajasiriamali kisiwani Pemba kutumia vizuri neema ya zao la Karafuu kisiwani humo kwa kuzalisha bidhaa mbali mbali.
Dkt Mzuri aliyasema hayo leo Juni 27,2020 wakati alipokua akitizama baadhi ya bidhaa
zinazozalishwa na wajasirimaali hao kutoka Pemba huko ofisini kwake
Tunguu Wilaya ya kati Unguja.
Amesema zao la karafuu linaweza kuzalisha bidhaa mbali...
10 years ago
Tanzania Daima21 Oct
Karafuu ya Zanzibar yazidi kupata umaarufu
MSHAURI wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar, Sadruddin Govinji, amesema karafuu ya Zanzibar imeendelea kupata umaarufu katika soko la Dunia kutokana na sifa zake za kipekee zenye ubora. Akiwasilisha...
10 years ago
Habarileo31 Dec
Zanzibar kuotesha miche ya karafuu milioni 1
JUMLA ya mikarafuu milioni 1 inatazamiwa kuoteshwa kwa mwaka katika vitalu vya Serikali vya Idara ya Misitu na mali zisizorejesheka na kusambazwa bure kwa wakulima wa lengo la kuimarisha zao hilo kuendelea kuwa tegemeo la taifa.
9 years ago
MichuziRAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AKABIDHI HUNDI KWAAJILI YA KUFIDIA WACHUMAJI WA KARAFUU
![](http://3.bp.blogspot.com/-akTXyV3NpaU/Ve7TGoEufXI/AAAAAAAH3V8/rOv0c0N_FWo/s640/2-1.jpg)
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Wanawake wanavyoteswa na waume zao Zanzibar