Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zanzibar kuotesha miche ya karafuu milioni 1

JUMLA ya mikarafuu milioni 1 inatazamiwa kuoteshwa kwa mwaka katika vitalu vya Serikali vya Idara ya Misitu na mali zisizorejesheka na kusambazwa bure kwa wakulima wa lengo la kuimarisha zao hilo kuendelea kuwa tegemeo la taifa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Miche 500,000 ya karafuu yapandwa

ZAIDI ya miche ya mikarafuu 500,000 imepandwa Unguja na Pemba katika kipindi cha mvua za masika, zinazoendelea kunyesha nchini kote.

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima wagawiwa miche milioni tatu ya kahawa

Kampuni ya uwekezaji wa kahawa wilayani Songea ya AVIV imetoa miche milioni tatu ya kahawa yenye thamani ya Sh30 milioni kwa vikundi vya wakulima wa vijiji vinne.

 

5 years ago

Michuzi

SAOHILL WAGAWA MICHE MILIONI MOJA KWA WANANCHI

Wananchi wakiendelea kuchukua miche ya miti kutoka Tarafa ya Nne ya Shamba la Miti SaoHill - Mgololo.



NA FREDY MGUNDA,SAO HILL.

ZAIDI ya miche milioni moja imegawiwa kwa wananchi wa vijiji vinavyolizunguka shamba la Miti SaoHill katika musimu wa mwaka wa 2019/2020 kwa lengo la kuimalisha ujirani mwema ambao umekuwa umedumu kwa miaka mingi.

Zoezi la ugawaji miche ya miti kwa ajili ya ujirani mwema hufanyika kila mwaka kipindi cha masika kwa lengo la kuhakikisha wanapanda miti hiyo na inakuwa kwa...

 

9 years ago

Vijimambo

Rais wa Zanzibar Dk Shein Azindua Mfuko wa Maendeleo ya Zao la Karafuu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizundua Mfuko wa Maendeleo ya Zao la Karafuu Zanzibar kwa kukata utepe kuashiria kuzindua Mfuko huo na kukabidhi Shirika la Bima Zanzibar Cheki ya shilingi milioni 60 kwa ajili ya mfuko huo kulipa Bima kwa Wakulima watakaoanguka katika mikarafuu wakati wa uchumaji. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheki ya shilingi milioni 60 Mkurugenzi Mtendaji wa SAhirika la...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Karafuu ya Zanzibar yazidi kupata umaarufu

MSHAURI wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar, Sadruddin Govinji, amesema karafuu ya Zanzibar imeendelea kupata umaarufu katika soko la Dunia kutokana na sifa zake za kipekee zenye ubora. Akiwasilisha...

 

11 years ago

Michuzi

ZSTC yastawisha upya zao la karafuu, Zanzibar.


 Zanzibar ni visiwa vinavyosifika kwa uzalishaji wa karafuu bora duniani. Katika miaka 30 ya nyuma pia ilisifika kwa uzalishaji karafuu nyingi, wastani wa tani 8,605 zilikuwa zikizalishwa kwa mwaka.
Jamii ya wakati huo walikuwa wakizijali, wakizithamini na wakizipenda sana karafuu ukilinganisha na kizazi cha sasa. Walihakikisha karafuu zao wakiuza vituoni tena zinakuwa safi, zimekauka vizuri na zinapata daraja la kwanza.
Katika miaka hiyo zao la karafuu lilikuwa ndiyo tegemeo kubwa la pato...

 

10 years ago

Michuzi

ZSTC na jitihada za kuinua wakulima wa karafuu Zanzibar

 SHIRIKA la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) ni Shirika la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar lililoanzishwa mwaka 1968 kwa madhumuni ya kununua na kuuza mazao ya wakulima kama vile karafuu, mbata, makonyo, pilipili hoho, makombe na mwani.
Shirika hilo tokea wakati huo wa miaka ya sitini limekuwa likitimiza wajibu huo na majukumu mengine  iliyopewa na Serikali kwa ufanisi na kwa uwazi ili kutoa huduma nzuri kwa wakulima na wauzaji wa mazao hayo ambayo kwa kiasi kikubwa yaliwapatia wananchi wa...

 

9 years ago

Michuzi

MAKALA: Zao la Karafuu laweza kuwa uti wa mgongo wa Uchumi Zanzibar

Na Pili Khatib na Zuhura Omar, MUM 
 Kuimarisha Zao la Karafuu ni sawa na kuimarisha Uchumi na Maendeleo ya nchi, jitihada za Wadau ni muihimu ili kufika lengo la Serikali la kuifanya Sekta ya Zao la Karafuu kuwa uti wa mgongo wa Uchumi liweze kufikiwa.
Kutokana na umuhimu wa Sekta ya Karafuu kwa Maendeleo ya Uchumi Serikali imefanya mageuzi makubwa katika sekta hiyo kwa lengo la kuongeza uzalishaji na tija kwa Wakulima na Taifa kwa jumla.
Katika utekelezaji wa Mageuzi hayo yaliyoanza mwaka...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AKABIDHI HUNDI KWAAJILI YA KUFIDIA WACHUMAJI WA KARAFUU

Rais wa Zanzibar Dk. Alli Mohamed Shein akikabidhi hundi ya TZS 60,000,000/- kwa Mkurugenzi wa Shirika la Bima Zanzibar kwa ajili ya malipo ya fidia kwa wachumaji wa Karafuu watakaopata ajali Zanzibar.
Watendaji wa Shirika la ZSTC wakitoa msaada wa vifaa kwa vikundi vya Ushirika vya Uwatikaji miche Mkoa wa Kaskazini Unguja.
 Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la ZSTC akiwa ameshika tunzo ya Kimataifa ya ubora wa bidhaa na huduma kutoka Spain.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani