Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waathirika wa mafuriko wadai kutelekezwa

BAADHI ya wakazi wa Kijiji cha Bulembo ambao walikumbwa na maafa ya nyumba zao kuanguka na nyingine kuezuliwa na mazao yao kuharibiwa na mvua, wamedai kutelekezwa na serikali. Wakizungumza kwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Waathirika wa mafuriko waomba msaada

Wananchi wa Kata ya Arusha chini, Wilaya ya Moshi wamewaomba viongozi wa Serikali kuwapatia msaada wa chakula na mavazi kutokana na  vitu vyao kusombwa na maji ya mvua inayoendelea kunyesha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mil. 44/- kusaidia waathirika wa mafuriko

HATIMAYE Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalumu la Katiba imeridhia wajumbe wake kukatwa posho ya siku moja ambayo ni sh 70,000 kila mjumbe ili kuwasaidia waliokumbwa na mafuriko, Mkoa wa...

 

11 years ago

Habarileo

Waathirika wa mafuriko Kilosa wapewa chakula

TAASISI za kutoka Kuwait za African Relief Commitee , na Africa Muslims Agency, zimetoa misaada kwa waathirika wa mafuriko wa vijiji vya Taarafa ya Magole wilaya za Kilosa Dakawa na Mvomero.

 

11 years ago

Habarileo

Waathirika mafuriko wapewa mabati 689

SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limetoa mabati 689 yenye thamani ya Sh milioni 15 kwa wananchi wa wilaya za Hai na Mwanga, waliokumbwa na mafuriko. Mafuriko hayo yalisababisha zaidi ya kaya 500 kukosa makazi.

 

11 years ago

Mwananchi

Posho za wajumbe kupoza waathirika wa mafuriko

Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalumu la Katiba imepitisha utaratibu ambao kila mjumbe atachangia posho ya siku moja kwa ajili ya kuchangia wahanga wa mafuriko.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Mwanjelwa alivyosaidia waathirika wa mafuriko Kyela

MBALI na Mbunge wa Jimbo la Kyela mkoani Mbeya, Dk, Harrison Mwakyembe, kutoa misaada kwa waathirika wa mafuriko jimboni humo,  Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Dk. Mary Mwanjelwa, amejitokeza na...

 

11 years ago

Habarileo

Dar yachangia waathirika wa mafuriko Moro

KAMATI ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam, imetoa msaada wa zaidi ya Sh milioni 117 kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni na kusababisha kukatika kwa daraja linalounganisha Mkoa wa Morogoro na Dodoma. Misaada iliyotolewa ni pamoja na magodoro 450, vyakula, maji pamoja na mahitaji mengine muhimu.

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Waziri Kamani awafariji waathirika wa mafuriko

>Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge wa Busega, Dk Titus Kamani amewatembelea waathirika wa mafuriko katika Kijiji cha Lamadi na kushuhudia hali halisi ya maafa hayo.

 

11 years ago

Habarileo

Waathirika mafuriko Kilosa wahitaji misaada zaidi

SERIKALI ya Mkoa wa Morogoro inahitaji misaada zaidi ya kibinadamu, itakayowasaidia watu zaidi ya 8,000 waliokumbwa na mafuriko katika Kata tatu ya Magole, Dumila na Berega zilizopo Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa. Misaada hiyo inatakiwa kutokana na makazi yao kubomoka na kujaa maji ya mafuriko na kupoteza vyakula.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani