Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama Karume aitetea Yanga

Mdhamini wa klabu ya Yanga, Mama Fatuma Karume amesema Yanga hawajakurupuka kukacha michuano ya Mapinduzi ila wana sababu zao za msingi na ndiyo maana wamefanya hivyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAMA KARUME APOKEA KADI YA YANGA TOKA CRDB

Bi Fatuma akisaini makubaliano na Mkurugenzi mtendaji wa CRDB, Charles Kimei. Bi Fatuma Karume akisimulia historia ya Yanga kwa wanahabari.…

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA KARUME AZINDUA MICHUANO YA KARUME CUP

Makamu Mwenyekiti wa Mpira wa Mikono Zanzibar (BAZA) Ramadhani Khamis Salmin akizungumza wakati wa ufunguzi huu wa michuano ya Kombe la Karume Cup uliofanyika katika viwanja vya Gymkhana Zanzibar na kushirikisha timu 17 za mchezo huo kwa Zanzibar 6 zikiwa za Wanawake na 11 za Wanaume. Mlezi wa Michuano ya Kombe la Karume Cup Mama Shadya Karume akitowa shukarani zake kwa Chama cha Mpira wa Mikono Zanzibar (BAZA) kufanikisha michuano hiyo kwa kipindi chote cha miaka 12 kwa kumuezi Mzee Abeid...

 

5 years ago

Michuzi

KARUME DAY KUMBUKIZI YA MIAKA 48 YA KIFO CHA SHEIKH ABEID AMANI KARUME.



By MZEE WA ATIKALI  ✍️✍️✍️


1. USULI:

Jumanne ya leo, tarehe 7.4.2020, imetimia miaka 48 toka aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar, ndugu SHEIKH ABEID AMANI KARUME,  alipouawa kwa kumiminiwa risasi nane na Luteni HOMOUD MOHAMMED BARWAN katika Afisi Kuu ya Afro Shiraz Party, Kisiwandui, Zanzibar.

Kwa mujibu wa "The Public Holidays Act, Cap. 35 (RE 2002)", sikukuu za kitaifa nchini ziko 17 na mojawapo ya sikukuu hizo ni "KARUME DAY". Hivyo, leo ni siku ya mapumziko.

Je, Mwanamapinduzi huyu...

 

10 years ago

Michuzi

MH.ROSEMARY KIRIGINI AITETEA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI


Mh. Rose Kirigini mbunge wa viti maalumu wa CCM na mkuu wa wilaya ya Maswa wakati akichangia hotuba ya bajeti ya wizara ya ujenzi amemuumbua Mh.Mkosamali aliyesema kuwa ilani ya CCM haijatekeleza  ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami inayotoka Mwigumbi - Maswa - Bariadi - Lamadi, Kolandoto - Lalago na Meatu Mjini. 
Alisema kwamba mkandarasi yuko site na tayari ameanza kazi za ujenzi sehemu ya Mwigumbi  - Maswa na   Ujenzi unaendelea kwa Bariadi – Lamadi (km 71.8) . Aidha Barabara ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Migiro aitetea Serikali uhaba wa ajira kwa vijana

>Wakati Serikali ikitupiwa lawama kwa kushindwa kumaliza  tatizo la ajira kwa vijana nchini, Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro amekiri kuwa Serikali haina uwezo wa kutoa ajira kwa vijana wote wanaohitimu masomo  nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri Benard Membe aitetea Misri maji ya Mto Nile

>Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe ameendelea kuweka msimamo kuwa Tanzania itaendelea kuitetea Misri kuhusu matumizi ya maji ya Mto Nile.

 

5 years ago

Michuzi

YANGA YATOA MSAADA WODI YA WAKINA MAMA KITUO CHA AFYA NGAMIANI JIJINI TANGA

  Afisa Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga Antonio Nugaz kulia akikabidhi msaada wa vitu mbalimbali kwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya cha Ngamiani Jijini Tanga Anjelina Mashaka kushoto kwa ajili ya wakina mama wajawazito wanaojifungua kwenye kituo hicho  katikati anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Mashindano wa Klabu ya Yanga Thabithy Kandoro  Afisa Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga Antonio Nugaz kulia akikabidhi msaada wa vitu mbalimbali kwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya cha Ngamiani Jijini...

 

10 years ago

GPL

KARUME DAY

APRILI 7 ya kila mwaka, huwa ni siku maalumu ya watanzania kuadhimisha kumbukumbu ya kuuawa kwa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Kwanza wa Baraza la Mapinduzi na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huyu si mwingine, ni Sheikh Abeid Amani Karume. Ni miaka 43 sasa, tokea kiongozi huyo alipouawa April 7, 1972 wananchi wengi wa Unguja na Pemba, bado wanasema yakini kuwa, ataendelea kukumbukwa kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani