Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MH.ROSEMARY KIRIGINI AITETEA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI


Mh. Rose Kirigini mbunge wa viti maalumu wa CCM na mkuu wa wilaya ya Maswa wakati akichangia hotuba ya bajeti ya wizara ya ujenzi amemuumbua Mh.Mkosamali aliyesema kuwa ilani ya CCM haijatekeleza  ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami inayotoka Mwigumbi - Maswa - Bariadi - Lamadi, Kolandoto - Lalago na Meatu Mjini. 
Alisema kwamba mkandarasi yuko site na tayari ameanza kazi za ujenzi sehemu ya Mwigumbi  - Maswa na   Ujenzi unaendelea kwa Bariadi – Lamadi (km 71.8) . Aidha Barabara ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Bunge kukwamisha bajeti Wizara ya Ujenzi’

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imesema kuwa haitapitisha bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa kile kilichoelezwa kubaini uozo wa ujenzi usiokidhi kiwango katika miradi ya miundombinu ya barabara wilayani Kyela mkoani Mbeya, ikieleza kwamba italazimika kutembea nchi nzima ili kujiridhisha na miradi hiyo.

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YAPITISHA MAKADIRIO YA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI

Kamati ya Miundombinu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mapema wiki hii ilikutana na Watendaji wa Wizara ya Ujenzi kwa ajili ya kupitia maepndekezo ya bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2014/15.   Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli awali kabla ya kuwasilisha mapendekezo hayo kwanza alianza kwa kutoa tarifa ya utekelezaji kwa mwaka wa fedha wa 2013/14 ambapo Wizara ya Ujenzi ilitengewa Shilingi 381,205,760,000.00 kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida. Hadi...

 

11 years ago

Michuzi

BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI 2014/2015

Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John P. Magufuli (Mb) akiwakisilisha bajeti ya Wizara ya Ujenzi Bungeni.


Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limepitisha Bajeti ya Wizara ya Ujenzi yenye jumla ya Shilingi 1,219,717,592,000.00 kwa ajili ya matumizi ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2014/15.


Hatua hiyo ya Bunge kupitisha Bajeti hiyo itawezesha Wizara  ya Ujenzi kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi na kuendeleza Sekta ya Ujenzi hapa nchini.


Akiwasilisha hotuba ya bajeti hiyo jana, Waziri wa...

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI WA BAJETI: Bajeti ya Ujenzi imekidhi vigezo

>Miundombinu ya usafirishaji ni muhimu kwa maendeleo ya uchumi wa nchi yoyote. Miundombinu hii ni pamoja na barabara, madaraja, viwanja vya ndege, reli, bandari na nyinginezo. Kiuchumi, hii ni miundombinu migumu (hard infrastructure) ukilinganisha na miundombinu kama ya mawasiliano ikiwamo simu na intaneti ambayo ni miundombinu laini (soft infrastructure) ya kiuchumi.

 

11 years ago

Habarileo

Kamati yapitisha bajeti ya Ujenzi

KAMATI ya Bunge ya Miundombinu, imepitisha Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka ujao wa fedha 2014/2015, ya Sh trilioni 1.2, fedha zilizoelekezwa katika matumizi ya kawaida na ya maendeleo katika wizara hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Waiponda Bajeti Wizara ya Afya

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imesema Serikali imeweka rehani wananchi wake kutokana na uamuzi wake wa kuchangia kiasi kidogo cha fedha za maendeleo za Bajeti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii mwaka 2014/15.

 

11 years ago

Mwananchi

Bajeti za wizara zinaandaliwa kisanii

Tuliwahi kusema kupitia katika safu hii kwamba vituko vingi vinavyotokea hapa nchini ni vigumu kutokea katika nchi nyingine. Tulikuwa na maana kwamba nchi yetu ina matukio mengi ya ajabu na ya aina yake.

 

11 years ago

Habarileo

Bajeti ya Wizara ya Kilimo yapita

PAMOJA na wabunge kuchachamalia makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika kwa kuondoa shilingi mara kadhaa, bajeti hiyo ilipita pamoja na maboresho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani