Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA SHEIN APOKEA MSAADA WA VYARAHANI

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (wa pili kulia) akipokea Msaada wa Vyarahani Kutoka kwa Mke wa Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mama Wu Yan Ikulu ya Migombani leo,(kushoto) Mke wa Makamo wa Pili wa Rais Mama Asha Balozi na Safia Mlinde Mke Mbunge wa Jimbo la Bumwini.(kulia) [Picha na Othman Maulid).

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAMA MWANAMWEMA SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT WILAYA YA MJINI UNGUJA KUMUOMBEA KURA DK SHEIN NA DK MAGUFULI

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Mkoa wa Mjini Bi Waridi Juma akisoma risala ya Wanawake wa Mkoa wa Mjini wakati wa mkutano na Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, Mama Mwanamwema Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar.Viongozi wa UWT Mkoa wa Mjini Unguja wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, wakati wa mkutano wake na Viongozi hao uliofanyika Afisi ya CCM Mkoa Amani Zanzibar.Naibu Katibu Mkuu...

 

9 years ago

GPL

MAMA MWANAMWEMA SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT WILAYA YA MJINI UNGUJA KUMUOMBEA KURA DK SHEIN NA DK MAGUFULI‏

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akiwahutubia Viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Mkoa wa Mjini Unguja na kuwaomba kumpigia Kura ya Ndio Mgombea wa Urais wa CCM Dk Ali Mohamed Shein na Mgombea Urais wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli na Wagombea wote wa CCM. Mke wa Rais wa Zanzibar akiwahutubia Viongozi wa UWT wa Mkoa wa Mjini Unguja wakati wa mkutano wake wa kampeni ya kumuombea...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE APOKEA MSAADA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Good One, Wu Ya Hui (kushoto), akimkabidhi msaada wa vyakula na nguo, sabuni na vyombo Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu vilivyotolewa kwa Kituo cha Kulelea Yatima cha Darul Arqam cha Tandika, Dar es Salaam jana. Msaada huo uliombwa na mbunge huyo kwa kushirikiana na aliyewahi kuwa Makamu wa Rfais wa TFF, Athuman Nyamlani. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG Mtemvu akipokea sabuni kwa ajili ya kituo hicho.
 Mtemvu akipoea  balo la nguo za...

 

11 years ago

Habarileo

DC Hai apokea tani 4 za unga wa msaada

MKUU wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga amepokea tani nne za unga wa sembe kwa ajili ya waathirika wa kimbunga cha hivi karibuni.

 

11 years ago

Habarileo

Pinda apokea msaada wa pikipiki 44 kutoka China

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amepokea pikipiki 44 zikiwa ni msaada kutoka Ubalozi wa China na Kampuni ya Fu-Tang ya kutoka China.

 

11 years ago

Michuzi

JK APOKEA MSAADA WA MAGARI 11 YA KUKABILIANA NA UJANGILI LEO


Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake kushukuru msaada magari 11 ulioyatolewa na Mkurugenzi wa Frankfurt Zoological Society (FZS) kanda ya Afrika, Robert Muir kwa ajili ya kupambana na vitendo vya ujangili katika hifadhi za Serengeti, Selous na Maswa. Rais Jakaya Kikwete wa pili kushoto akipata maelezo kuhusu msaada wa magari 11 kutoka kwa Mkurugenzi wa Frankfurt Zoological Society (FZS) kanda ya Afrika, Robert Muir (katikati)na kulia ni Balozi wa Ujerumani nchini Hans Koeppel katika...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU APOKEA MSAADA WA PIKIPIKI 44 KUTOKA CHINA

Waziri mkuu Mizengo Pinda. WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amepokea pikipiki 44 zikiwa ni msaada kutoka Ubalozi wa China na Kampuni ya Fu-Tang ya kutoka China. Amekabidhiwa msaada huo leo mchana (Jumanne, Desemba 24, 2013) mbele ya viongozi wa wilaya ya Mlele katika hafla fupi iliyofanyika kijiji cha Kibaoni, wilayani Mlele, mkoani Katavi na kushuhudiwa na wakazi wa kijiji hicho. Akizungumza na viongozi wa wilaya hiyo pamoja na wakazi...

 

10 years ago

GPL

DKT. SHEIN APOKEA MATEMBEZI YA VIJANA WA UVCCM HUKO ZANZIBAR

Vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), wakiwa wamebeba bendera na picha za Viongozi wakati wa kilele cha matembezi ya Umoja wa UVCCM yenye lengo la kuwaenzi Viongozi na kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyopokelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja.…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani