Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Niyonzima apokea simu za kifo

Kiungo mchezeshaji wa Yanga, Mrwanda, Haruna Niyonzima. Na Wilbert Molandi
KIUNGO mchezeshaji wa Yanga, Mrwanda, Haruna Niyonzima, jana, Jumanne alizushiwa kifo kwa kupata ajali kubwa ya gari iliyosababisha apoteze maisha.Taarifa hizo, zilianza kuzagaa asubuhi ya juzi Jumatatu kwa njia ya simu, watu mbalimbali kupigiana simu pamoja na kutumiana meseji huku wengi wakisema kuwa amepata ajali na kufariki dunia. Mara baada ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Niyonzima awazimia Yanga simu

Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima. Omary Mdose na Mohammed Mdose
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, amegeuka mbogo na kutangaza hadharani kuwa atamchukulia adhabu kali kiungo wake, Haruna Niyonzima, ambaye mpaka sasa hajatua nchini kujiunga na kikosi cha timu hiyo, huku simu yake ikiwa haipatikani. Yapata mwezi sasa tangu kikosi cha Yanga kianze mazoezi yake ya kujiandaa na michuano ya Ligi Kuu Bara na ile ya kimataifa...

 

10 years ago

GPL

Tambwe apokea simu mazoezini, mama yake mgonjwa

Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe. Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
WAKATI kikosi cha Yanga kikiendelea kujifua kwa ajili ya mechi ya Jumapili dhidi ya Simba, mshambuliaji wa timu hiyo raia wa Burundi, Amissi Tambwe, juzi Jumatano alijikuta katika wakati mgumu mazoezini baada ya kupokea simu ya ugonjwa kutoka nyumbani kwao. Wakati mazoezi ya timu hiyo yakiendelea kwenye Uwanja wa Chuo cha Uvuvi Mbegani, Tambwe alipigiwa...

 

11 years ago

GPL

BODABODA ANUSA KIFO KISA, KUKWAPUA SIMU!

Stori: Mwandishi Wetu Za mwizi arobaini! Ule mchezo wa kukwapua vitu na kukimbia umemtokea puani dereva wa pikipiki almaarufu bodaboda aliyetambulika kwa jina la Abuu Athumani (28) ambaye amenusa kifo baada ya kukwapua simu ya bei mbaya ya mrembo aitwaye Zaituni Hamisi. Dereva wa bodaboda aliyetambulika kwa jina la Abuu Athumani ambaye amenusa kifo baada ya kukwapua simu.
Tukio hilo la aina yake lilijiri majira ya...

 

9 years ago

Michuzi

Dkt. Magufuli apokea kwa masikitiko kifo cha Mbunge wa Jimbo la Ludewa, mkoani Njombe Ndugu Deo Filikunjombe Haule,

Pichani Kulia ni Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimnadi aliyekuwa Mgombea Ubunge wa jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe (enzi za uhai wake),wakati Dkt Mgufuli alipopita kwenye jimbo hilo wakati wa kampeni Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amepokea kwa mshtuko na huzuni nyingi taarifa za vifo vya Mbunge wa Jimbo la Ludewa, mkoani Njombe Ndugu Deo Filikunjombe Haule, Kepteni William Silaa pamoja na abiria wengine wawili ambao wameaga...

 

10 years ago

GPL

JAMAA ANUSA KIFO, WIZI WA FEDHA KWA MITANDAO YA SIMU

Deogratius Mongela na Chande Abdallah/Ijumaa wikienda
Kibano! Jamaa mmoja ambaye jina halikupatikana mara moja, amejikuta akinusa kifo baada ya kula kipigo ‘hevi’ wakati akifanya jaribio la wizi wa fedha kiasi cha shilingi laki 450,000 kupitia huduma za fedha kwa mitandao ya simu. Akiomba kuachiwa baada ya kupewa kichapo kikali. Tukio hilo lililoshuhudiwa na Ijumaa Wikienda lilijiri wikiendi iliyopita maeneo ya...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS, DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA CAG YA 2018/2019, APOKEA TAARIFA YA PCCB IKULU YA CHAMWINO LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Ripoti ya Mwaka 2018-2019 kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Charles Kichere katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 26/03/2020.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisoma Muhtasari wa Taarifa ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG ya Mwaka 2018-2019 iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Charles Kichere...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS, DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA CAG YA 2018/2019, APOKEA TAARIFA YA PCCB IKULU YA CHAMWINO LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Ripoti ya Mwaka 2018-2019 kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Charles Kichere katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 26/03/2020.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisoma Muhtasari wa Taarifa ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG ya Mwaka 2018-2019 iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Charles Kichere...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA SIMU YA TECNO YAZINDUA SIMU MPYA YA PHANTOM 5 WENGI WAICHANGAMKIA

  Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana akionesha simu aina ya Phanton 5 wakati wa uzinduzi wa tolea jipya la simu hizo uliofanyika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wadau mbalimbli wakiwa kwenye uzinduzi huo. Uzinduzi wa simu hiyo toleo jipya ukiendelea.

 Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.  Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana  (kulia), akiwagawia zawadi ya simu hiyo baadhi ya waandishi waliouliza maswali mbalimbali. Wanahabari wakipokea zawadi ya simu hiyo ya kisasa toleo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani