Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamke afia kwa hawara

MWANAMKE Jane Bhoke (27) amefariki dunia nyumbani kwa hawara yake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Mary Nzuki alisema kifo hicho kilitokea juzi saa 12 jioni eneo la Zingiziwa Chanika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

DENTI AFIA KWA HAWARA

Stori: DENIS MTIMA NA MAYASA MARIWATA MSICHANA Atu Gabriel mwenye umri wa miaka 20,  mwanafunzi wa Chuo cha Eden Hill kilichopo Kwamfipa wilayani Kibaha mkoani Pwani, amekutwa amekufa chumbani kwa mtu anayetajwa kuwa ni hawara yake, Hafidh Mohammed. Mwili wa Atu ukiwa chumbani kwa mtu anayesadikika kuwa ni mpenzi wake, Hafidh Mohammed. Tukio hilo lilitokea April 26, mwaka huu na kukusanya umati huku mwanaume aliyelala na...

 

9 years ago

GPL

KWA NINI HAWARA ALE CHA MKEO?

Asalam alaikum, bwana Yesu asifiwe. Poleni kwa majukumu ya wikiendi na ni matumani yangu wazima na wale wagonjwa nawaombea dua mtapona ishallah. Nashukuru kwa kunisoma kwani napata ujumbe wenu na naona jinsi mnavyofaidika kwa mada ninazowaletea.
Ukiandika kitu ukaona watu wanakutafuta na kukupa hongera unajivunia kwani unaamini wanakipenda kile unachowaandikia. Leo nimekuja na mada hii ili kuwasema akina baba wenye tabia ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mume auawa kwa kisu na hawara wa mkewe

Mkazi wa Tarafa ya Mang’ula wilayani Kilombero, Amon Nyenja amefariki dunia baada ya kuchomwa kwa kisu na anayedhaniwa kuwa ni hawara wa mke wake mdogo.

 

10 years ago

GPL

ALIYEOMBEWA KWA GWAJIMA AFIA GESTI!

Mayasa Mariwata na Rhoda Josia Habari mbaya inamhusu mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Averina ambaye alikuwa akiombewa kwenye Kanisa la Ufufuo na Uzima la Nabii Josephat Gwajima ambaye anadaiwa kufia nyumba ya kulala wageni (gesti) ya My Fair iliyopo Kawe jijini Dar. Mwili wa marehemu Averina ukitolewa gesti. Tukio hilo lililoacha viulizo na kuzua minong’ono midomoni mwa wengi lilijiri hivi karibuni ambapo mwanadada...

 

11 years ago

Habarileo

Jambazi afia kwa mganga wa kienyeji

MKAZI wa Kijiji cha Kemakorere, Kata ya Nyarero iliyopo Tarafa ya Inchage, Tarime, Nchagwa Marwa Yusuph (35) aliyekuwa akisakwa kwa tuhuma za unyang’anyi wa kutumia silaha wilayani hapa, amekutwa amekufa nyumbani kwa mganga wa kienyeji alikokuwa akitibiwa majeraha.

 

10 years ago

Mwananchi

Mahabusi afia mikononi mwa polisi kwa kipigo

Mahabusi Daniel Alfred katika kituo cha Polisi Urafiki, eneo la Ubungo, amefariki dunia kwa madai ya kupigwa na baadhi ya askari wa kituo hicho.

 

11 years ago

Mwananchi

Mke wa polisi afia nyumbani kwa dereva wa bodaboda

Jeshi la Polisi linamshikilia dereva mmoja wa pikipiki, maarufu kama bodaboda wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro baada ya mke wa askari polisi kukutwa amekufa chumbani kwa dereva huyo.

 

11 years ago

GPL

KISA HAWARA!

Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah MY God! Mke wa mtu aliyejitambulisha kwa jina la Pamela Said (30) amedai kupigwa mchi kichwani na mumewe wa ndoa aliyemtaja kwa jina moja la Alex kisa kikiwa ni simu aliyopigiwa mumewe na hawara’ke. Mke wa mtu anayefahamika kwa jina la Pamela Said (30) anayedai kupigwa mchi kichwani na mumewe wa ndoa aliyemtaja kwa jina moja la Alex. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri Mei 23,...

 

11 years ago

GPL

MKE, HAWARA...

Stori: Waandishi Wetu KUNA matukio ambayo kama binadamu yasikie kwa wengine tu lakini yasikutokee wewe! Kama hili la mkazi wa Ukonga –Mzambarauni, Dar, Paulo Ndulu ambapo mkesha wa kuamkia Sikukuu ya Sabasaba, alijikuta katika wakati mgumu pale alipoingia kibaruani kuamua ngumi kati ya mkewe, Anitha Mapunda na Elizabeth Chacha aliyedaiwa kuwa ni hawara yake, OFM walishuhudia. Bw. Paulo Ndulu  akijaribu kuamua ugomvi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani