KWA NINI HAWARA ALE CHA MKEO?
![](http://api.ning.com:80/files/Qvxzmt4uuyVFm4NfDFHjTdadEgxd8*ZtkgAXWNw7iHPiI8SOxUUa*HBbWlDDSjGoNF3HMVC79xkuxXdLiIsJbdTeDCNz7RJf/bcouplesmile.jpg?width=650)
Asalam alaikum, bwana Yesu asifiwe. Poleni kwa majukumu ya wikiendi na ni matumani yangu wazima na wale wagonjwa nawaombea dua mtapona ishallah. Nashukuru kwa kunisoma kwani napata ujumbe wenu na naona jinsi mnavyofaidika kwa mada ninazowaletea. Ukiandika kitu ukaona watu wanakutafuta na kukupa hongera unajivunia kwani unaamini wanakipenda kile unachowaandikia. Leo nimekuja na mada hii ili kuwasema akina baba wenye tabia ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dMNnaPiQ3VhB83DHIYS0FKxtJKZwaEABh8PzFAB8yZl5ERjk4pGlLKAoYsJPIzq6EPJRccIN4xWyyrCKpGCCabmcL7punI7N/5.jpg?width=650)
ETI MKEO NI KAMA GOGO FARAGHA, KWA HIYO?
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Mwanamke afia kwa hawara
MWANAMKE Jane Bhoke (27) amefariki dunia nyumbani kwa hawara yake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Mary Nzuki alisema kifo hicho kilitokea juzi saa 12 jioni eneo la Zingiziwa Chanika...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q37MmWHqZUR*0hy8472mujCN22mlG*nSkDxpUjyI6J6NJfn6VkZhGDNDwgMsfMie52hkCYqFQxv*9D3V5mHX-sx/denti.jpg?width=650)
DENTI AFIA KWA HAWARA
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Mume auawa kwa kisu na hawara wa mkewe
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u325ipbpd7p-J*XN4NvpqVJ2DDdmy4dj*BLu2bPiJq*TMtpQQQicWXaYWmsHgpDhlcIdgY-vbtYSPUfSBFSa60EFS45fagMb/mgimwa.jpg?width=650)
KIFO CHA WAZIRI MGIMWA, KWA NINI...
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Kwa nini tuishi kinyume cha uhalisia?
10 years ago
Vijimambo19 Dec
MWAKA 2014 UNAISHIA NA HUJAFANYA CHA MAANA, WHY? KWA NINI?
![](http://api.ning.com/files/iJVROLF4NIttQFVgam8gkM-KaQkp5rX*JiZjqeiMRvIhR8aztMNO4TDzKx6j3R-iVOhhaGOOTof9KfArs4LXwnPWQNx2IDVJ/yolandaspivey_blackwomanpretendstobewhitetogetjob1.jpg?width=650)
Ndugu zangu, mwaka ndiyo huo unakaribia kuisha. Najua wapo wanaoumaliza wakiwa wamefanya mambo makubwa lakini pia wapo ambao mioyo yao imesinyaa kwa kuwa, waliyopanga kuyafanikisha hayakutimia.
Mimi nataka kuwatia...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iJVROLF4NIttQFVgam8gkM-KaQkp5rX*JiZjqeiMRvIhR8aztMNO4TDzKx6j3R-iVOhhaGOOTof9KfArs4LXwnPWQNx2IDVJ/yolandaspivey_blackwomanpretendstobewhitetogetjob1.jpg?width=650)
MWAKA 2014 UNAISHIA NA HUJAFANYA CHA MAANA, WHY? KWA NINI?
10 years ago
Dewji Blog01 Jun
URAIS2015: Kwa Nini nimechagua kuzalisha ajira kuwa kipaumbele cha kwanza? — Kigwangalla
Mbunge wa Nzega, Dk Hamisi Kigwangalla (CCM) ambaye ametangaza nia ya kutaka kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2015.
Nchi yoyote ili iendelee lazima watu wake wawe na amani, uhuru, furaha, uzalendo, uwajibikaji, nidhamu ya kazi, ubunifu na uchapakazi. Ili watu wetu wawe na vitu hivi lazima tujenge misingi ya usawa na motisha. Usawa utawafanya watu waone nchi yao inawajali na hivyo watavumilia jua na mvua. Motisha itawafanya watu wawe tayari...