Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWAKA 2014 UNAISHIA NA HUJAFANYA CHA MAANA, WHY? KWA NINI?

Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa upendo aliouonesha kwangu na kuniwezesha kuiona siku ya leo nikiwa mzima. Nadiriki kushukuru kwa sababu, wapo waliotamani kuiona wiki hii wakiwa wazima lakini baadhi wameshaondoka kwenye ardhi hii huku wengine wakiwa hoi mahospitalini na majumbani.

Ndugu zangu, mwaka ndiyo huo unakaribia kuisha. Najua wapo wanaoumaliza wakiwa wamefanya mambo makubwa lakini pia wapo ambao mioyo yao imesinyaa kwa kuwa, waliyopanga kuyafanikisha hayakutimia.

Mimi nataka kuwatia...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MWAKA 2014 UNAISHIA NA HUJAFANYA CHA MAANA, WHY? KWA NINI?

Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa upendo aliouonesha kwangu na kuniwezesha kuiona siku ya leo nikiwa mzima. Nadiriki kushukuru kwa sababu, wapo waliotamani kuiona wiki hii wakiwa wazima lakini baadhi wameshaondoka kwenye ardhi hii huku wengine wakiwa hoi mahospitalini na majumbani. Ndugu zangu, mwaka ndiyo huo unakaribia kuisha. Najua wapo wanaoumaliza wakiwa wamefanya mambo makubwa lakini pia wapo ambao mioyo yao imesinyaa kwa...

 

10 years ago

GPL

HAUMUAMINI, UNAISHI NAYE KWA MACHALE, MAANA YAKE NINI? JIONGEZE!

NIMEFURAHI tumekutana tena katika safu yetu hii tunapata kujuzana masuala mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi.Ni mambo ya mahaba, hujakosea. Hapa tunaongeza maarifa ya mapenzi kila uchwao, karibu.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Natambua wengi tu wanaishi kwenye uhusiano wa namna hii. Utakuta mtu anaishi kwa muda mrefu na mwenzake pasipo kuwa na imani naye. Anakuwa mguu ndani mguu nje kwamba yupo tayari kwa...

 

10 years ago

GPL

HAUMUAMINI, UNAISHI NAYE KWA MACHALE, MAANA YAKE NINI? JIONGEZE!-2

WIKI iliyopita tuliianza mada yetu hii ya mtu kuishi na mtu kwa machale ambaye humuamini. Ndugu zangu kama nilivyoeleza wiki iliyopita, kuishi na mtu kwa machale ni hatari maana mwishoni utaambulia matatizo kama si kupoteza muda. Nilieleza kwamba mbali na kupoteza muda katika penzi hilo la mtu ambaye haumuamini, hautainjoi mapenzi kwani muda mwingi wewe utakuwa ukiutumia kumchunguza mwenzako. Utakuwa unaishi kwa wasiwasi kwamba...

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AHMED .Z. MSANGI-SACP ANAWATANGAZIA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA

Maelekezo Muhimu.

Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2013 na JKT Mafinga, Mlale, Ruvu, Mgambo, Bulombola, Kanembwa, Itende, Nachingwea, Mbweni, Maramba, Chita, Makutupola, Mtabila, Msange, Mgulani, Oljoro, Rwankoma na Kimbiji wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi.

Wahitimu hawa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti tarehe 28/11/2014 kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa kama ilivyooneshwa kwenye jedwali hapa chini ili...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ni nini maana ya shughuli za kimwili?

WIKI iliyopita makala ililenga sababu na faida  za mazoezi na hatari ya kukaa bila zoezi au maisha ya kutojishughulisha. Makala ya wiki hii tutajadili nini maana ya shughuli za kimwili ...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA MASWALA YA ULINZI MTANDAO WAKAMILIKA KWA KUPIGILIA MSUMARI KAULI MBIU “MWAKA 2014 NI MWAKA WA VITENDO”

Akizungumzia mkutano huo bwana Yusuph Kileo ambaye aliongoza timu ya maandalizi ya mkutano huo alibainisha hayo na kueleza mkutano huo umekamilika salama ambapo mambo mbalimbali yalipata kujadiliwa yahusuyo ulinzi mtandao “Cyber security” na kupigilia msumari kauli mbiu ya mwaka 2014 kua ni mwaka wa vitendo.  Mwanzo wa mkutano bwana Craig Rosewarne (Mwenyekiti wa kundi linalojiuhisisha na maswala ya ulinzi mtandao (ISG) katika nchi za afrika ambaye pia ni Mkurugenzi mkuu wa kampuni Wolfpack...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani