Mahabusi afia mikononi mwa polisi kwa kipigo
Mahabusi Daniel Alfred katika kituo cha Polisi Urafiki, eneo la Ubungo, amefariki dunia kwa madai ya kupigwa na baadhi ya askari wa kituo hicho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWATU WANNE MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA WIZI WA MABILIONI YA FEDHA YA BENKI YA NBC, POLISI TISA NAO MBARONI
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu wanne waliokuwa wafanyakazi wa kampuni ya ulinzi ya G4S Security kwa tuhuma za wizi wa Sh.1.280,000,000, Dola za Marekani 402,000 na Euro 27,700 huku pia likiwashikilia askari wa polisi tisa kwa tuhuma za kuchukua sehemu ya fedha hizo kutoka kwa mmoja ya watuhumiwa.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam , Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amewataja...
5 years ago
CCM BlogMTOTO WA MIAKA 17 MIKONONI MWA POLISI KWA KWA TUHUMA ZA KUMUUA BABA YAKE
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, alidai kuwa Mei 31, saa 12 alfajiri Kitongoji cha Manyani, Kata ya Mkalama wilayani Gairo, mtu aliyejulikana kwa jina la Issaya Lameck (41), maarufu kama Kusaganika, fundi Muwashi, aliuawa kwa kupigwa na mtoto wake mwenye miaka 17 (jina linahifadhiwa kwa sababu za kimaadili).
Kamanda Mutafungwa...
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Mbowe mikononi mwa polisi
JOPO la Mawakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na wanachama wa chama hicho, leo wamepanga kumsindikiza mwenyekiti wao Freeman Mbowe aliyeitwa Makao Makuu ya Polisi kwa ajili ya...
11 years ago
Mtanzania12 Aug
Hatima ya Kibonde mikononi mwa Polisi
Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillus Wambura, amesema Jeshi hilo kwa sasa lipo katika uchunguzi dhidi ya mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Clouds FM, Ephraim Kibonde na mwenzake, Gadna Habash wa Times FM, ambao wameachiwa huru kwa dhamana.
Kamanda Wambura aliliambia MTANZANIA jana kwamba baada ya uchunguzi huo, iwapo watapatikana na hatia, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao, ikiwa ni pamoja na...
11 years ago
Mwananchi10 Dec
Mwandishi Mwananchi ajeruhiwa mikononi mwa polisi
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Mtuhumiwa wa ugaidi Arusha afariki mikononi mwa polisi
9 years ago
MichuziMAKALA YA SHERIA: HAYA YATAKUSAIDIA UWAPO MIKONONI MWA POLISI
1.JE KITU GANI KIFANYKE ASKARI ANAPOKUNYIMA DHAMANA.
Kwanza ieleweke kuwa dhamana ni haki yako. Haki ni jambo la lazima. Haki ya dhamana inaruhusiwa kunyimwa katika makosa machache sana kwa mfano uhaini, wizi wa silaha, mauaji n.k. Makosa mengine madogo madogo hasa haya ya kila siku ya kutukana, kudhalilisha, kupigana, ajali ndogo, wizi usio wa silaha, na mengine dhamana ni lazima. Hata hivyo makosa ambayo hayaruhusiuwi...
5 years ago
CCM Blog28 May
VURUGU ZAZUKA MAREKANI BAADA YA MTU MWEUSI GEORGE FLOYD KUFARIKI MIKONONI MWA POLISI
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionWaanndamanaji walifika kwenye eneo ambalo polisi wanaohusika na mauaji wanadhaniwa kufanya kaziKumekuwa na vurugu na mapambano kati ya polisi na waandamanaji katika mji wa Minneapolis nchini Marekani baada ya kifo cha mwanaume mmoja mweusi akiwa mikononi mwa polisiPolisi walifyatua gesi ya kutoa machozi na waandamanaji walirusha mawe na kupulizia mapambo ya graffiti kwenye magari ya polisi.Kilichotokea kwenye maandamanoWalianza siku ya Jumanne...
5 years ago
MichuziMWENYEKITI KAMATI YA MAZINGIRA MTAA WA TAMBUKARELI MIKONONI MWA TAKUKURU KWA KUJIFANYA OFISA ARDHI ILI KUPATA FEDHA
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Temeke jijini Dar es Salaam inamshikilia Mwenyekiti wa Kamati ya Mazingira wa Mtaa wa Tambukareli Kata ya Azimio kwa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kinyume cha kifungu cha sheria namba 302 cha sheria ya kanuni za adhabu sura ya 16 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2002.
Akizungumzia kukamatwa na kushikiliwa kwa mtuhumiwa huyo Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Temeke jijini Dar es Salaam Donacian Kessy...